Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya isiyo ya kiserikali inayoshughulikia masuala ya haki za kisheria ,maendeleo ya jamii na kiuchumi(DOLASED)Gidion Mandesi(katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu haki mradi wa haki za walemavu katika ukumbi wa Idara ya Habari –MAELEZO leo.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa MAELEZO,Vincent Tiganya na kulia ni Afisa Mipango wa DOLASED Risala Msemo.
↧