GLOBAL PUBLISHERS YAKABIDHI MIL 15 MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA
Mkurugenzi wa Global Publishers, Masha Bukumbi akimkabidhi mfano wa hundi hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Rosemary Lulabuka. Kulia ni Meneja Mkuu wa Global Publishers Abdallah Mrisho, na...
View ArticleDOLASED YAZUNGUMZA NA WANAHABARI DAR
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya isiyo ya kiserikali inayoshughulikia masuala ya haki za kisheria ,maendeleo ya jamii na kiuchumi(DOLASED)Gidion Mandesi(katikati) akizungumza na waandishi wa habari...
View ArticleKUTOKA TFF HII LEO
TEMEKE, MJINI MAGHARIBI KUCHEZA NUSU FAINALI COPATemeke na Mjini Magharibi zinapambana kesho (Septemba 13 mwaka huu) katika mechi ya nusu fainali ya michuano ya Copa Coca-Cola kwa vijana wenye umri...
View ArticleZIARAYA VIONGOZI WA CCM SHINYANGA VIJIJINI
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnuye akimbeba nyoka aina ya chatu mara baada ya kukagua ujenzi wa soko kubwa la mazao katika kata ya Didia wilaya ya Shinyanga Vijijini. Katibu wa NEC Itikadi na...
View ArticleVIJANA NCHINI WATAKIWA WAADILIFU ILI WAWEZE KUPAMBANA NA RUSHWA
Kiongozi wa Mbio za Mwenge taifa Juma Ali Simai akimkabidhi Mwenge wa Uhuru mkimbiza mwenge namba moja katika manispaa ya Lindi Mke wa Rais ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) Mama...
View ArticleUSAHILI WA TUSKER PROJECT FAME MSIMU WA SITA ILIKUA PATA SHIKA!
Moja ya vijana waliojitokeza katika usahili wa Tusker Project Fame aliyekonga nyoyo za majaji kwa kipaji chake.
View ArticleSEMINA YA KAMATA FURSA TWENDZETU KWA VIJANA YAFANYIKA LEO MKOANI DODOMA.
Msanii mahiri wa Kughani Mashairi kwa mtindo wa kisasa kabisa,Mrisho mpoto akizungumza mbele ya sehemu ya wakazi wa Mkoa wa Dodoma na vitongoji vyake waliojitokeza mapema leo asubuhi kwenye semina ya...
View ArticleDr Maria Kamm Public Lecture on Girls' Education
When you speak about Weruweru Girls School,you directly speak of Dr Maria Kamm. She is the iconic woman who glorified that school and groomed hundreds of today's strong women in Tanzania,in various...
View ArticleMWALIKO WA TAMASHA LA 'MTAKUJA' KWA WADAU WA ELIMU NA WASANII
Uongozi wa shule ya Sekondari Mtakuja iliyopo Kunduchi, Dar-es-salaam, unayo furaha kukukaribisha wewe ukiwa kama mdau wa elimu na burudani katika Tamasha la Wanafunzi (2013 School Bash)...
View ArticleA TANZANIAN POPULAR FASHION DESIGNER SHERIA NGOWI WILL UNVEILS HIS COLLECTION...
Sheria Ngowi Company Limited, Assistant Director and Marketing Manager, Mr Deogratius Kessy (centre) elaborate a point to reporters not in picture about the invitation of Sheria Ngowi to the New York...
View ArticleTAARIFA ZA SOKA KUTOKA TFF HII LEO
RAIS TENGA AIPONGEZA KAMATI YA LIGIRais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga ameishukuru Kamati ya Ligi kwa usimamizi mzuri tangu ilipokabidhi Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) katika...
View ArticleMSHINDI WA NYUMBA YA PILI AIRTEL YATOSHA ANNE LYMO APOKEA CHETI CHA USHINDI...
Meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmmbando (kushoto) akimkabidhi cheti Mshindi wa Nyumba wa Airtel Yatosha bi. Anna G.Lyimo mkazi (kulia) wa Dar Es Salaam akishuhudiwa na Meneja masoko wa Airtel...
View ArticleZAWADI ZA MASHINDANO YA SAFARI POOL KITAIFA HADHARANI
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kushoto) akimkabidhi,katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga, kikombe cha mshindi wa kwanza wa mashindano ya Pool Taifa yanayodhaminiwa na Kampuni...
View ArticleSERENGETI FIESTA NDANI YA JAMHURI DODOMA USIKU HUU MSWANU DU!!
Mkali Diamond akitumbuiza usiku huu katika jukwaa la Serengeti Fiesta 2013 Jamhuri mjini Dodoma.Tamasha la Fiesta linahamia Jamhuri mjini Morogoro Jumamosi hii. Mkali alierithi viuno vya RC, Rachel...
View ArticleLOWASSA AKUTANA NA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU MKOANI TABORA NA...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (katikati) akiongozana na baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Mkoani Tabora,wakati alipokuwa akiwasili kwenye Ofisi za CCM...
View ArticleLULU KUTAMBULISWA LIVE TAMASHA LA FILAMU DAR
TAMASHA Kubwa la Filamu litakaloandika historia ya tasnia ya filamu Tanzania la Dar Filamu Festival (DFF 2013) linamtambulisha Elizabeth Michael kama Official Actress for DFF 2013/14 katika muonekano...
View ArticleUKIWA NA MAJI NA NIA KILIMO KINAWEZEKANA: PINDA
Watoto wa Mkulima wakipeana ushauri...!!! Muasisi na Mwendeshaji wa Mtandao huu wa Father Kidevu Blog, Mroki Mroki 'Father Kidevu' akimsikiliza kwa makini Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda...
View ArticlePRISCA CLEMENT NDIYE REDD'S MISS TANZANIA TALENT 2013
Mrembo Prisca Clement ambaye ni mwakilishi kutoka Sinza na Kanda ya Kinondoni usiku wa kuamkia leo alifanikiwa kuwabagwa warembo wenzake 26 kati ya 30 wanao wania taji la Miss Tanzania mwaka huu na...
View ArticleKINANA AMALIZA ZIARA YAKE MEATU
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana asimikwa uchifu wa kisukuma na kutambulika kama Chifu Kilabanja ,Katibu Mkuu alisimikwa jana kwenye uwanja wa Mwahnuzi wilayani Meatu.Katibu Mkuu wa...
View ArticleTIB TOKA TAASISI YA FEDHA MPAKA BENKI YA MAENDELEO NCHINI
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro (kulika) akikata utepe kuzindua ofisi za Makao Makuu ya Benki ya Maendelea Tanzania (TIB) ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Tawi la benki hiyo Mkoa wa Mbeya...
View Article