Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kushoto) akimkabidhi,katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga, kikombe cha mshindi wa kwanza wa mashindano ya Pool Taifa yanayodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia ya Safari Lager jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kushoto) akimkabidhi katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga,medali za washindi wa Fainali za Pool Taifa yanayodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia ya Safari Lager jijini Dar es Salaam.
Wakiwa kwenye picha ya pamoja na zawadi