Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10590

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MEATU

$
0
0
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana asimikwa uchifu wa kisukuma na kutambulika kama Chifu Kilabanja ,Katibu Mkuu alisimikwa jana kwenye uwanja wa Mwahnuzi wilayani Meatu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na mbunge wa Maswa Magharibi John Shibuda baada ya kukutana kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika kwenye kiwanja cha Mwahnuzi wilayani Meatu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10590

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>