Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10588

WAMALAWI WAMIMINIKA UHAMIAJI DAR KUJIORODHESHA JUU YA UHALALI WAO WA KUISHI NCHINI

$
0
0
Raia wa Malawi wakiwa katika foleni ya kuingia kujiandikisha katika Idara ya Uhamiaji, Mkoa wa Dar es Salaam jana kuhusu zoezi linaloendelea la kuwatambua wahamiaji haramu jijini Dar es Salaam. Mamia ya wakazi hao walimiminia katika ofisi hizo leo kujiorodhesha ikiwa ni agizo la Rais Jakaya Kikwete.
Akina mama na watoto wakisubiri kujiorodhesha.
Ofisa wa Uhamiaji akiwaelekeza jambo Raia wa Malawi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10588

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>