Wateja wa Airtel money kunufaika na huduma za kibenki
Airtel Tanzania kupitia huduma yake ya Airtel money imeanzisha ushirikiano na benki mbalimbali nchini na kuwawezesha wateja wake kuhamisha pesa kutoka kwenye benki akaunti zao na kuziweka kwenye...
View ArticleTFDA KUWAENDELEZA WAJASIRIAMALI WA CHAKULA
Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Bi. Gaudensia Simwanza KUSHOTO akieleza kwa waandishi wa Habari kuhusu mpango wa mafunzo na Ufuatiliaji kwa wazalishaji wadogo wa bidhaa za Chakula...
View ArticleCLARA BAYO ALIVYO SHINDA TAJI LA REDD'S MISS TANZANIA SPORTS WOMAN 2013
Mrembo Clara Bayo akipunga mkono mara baada ya kutangwazwa kuwa mshindi wa Taji la Redd's Miss Tanzania Sports Woman 2013 juzi wakati wa tamasha la michezo la warembo wanao wania taji la Miss Tanzania...
View ArticleWAMALAWI WAMIMINIKA UHAMIAJI DAR KUJIORODHESHA JUU YA UHALALI WAO WA KUISHI...
Raia wa Malawi wakiwa katika foleni ya kuingia kujiandikisha katika Idara ya Uhamiaji, Mkoa wa Dar es Salaam jana kuhusu zoezi linaloendelea la kuwatambua wahamiaji haramu jijini Dar es Salaam. Mamia...
View ArticlePATA YALIYOJIRI MAGAZETI YA SERIKALI HII LEO
Kwa habari za kina na uhakika hakikisha hukosi nakala yako kila siku ya Daily News, HabariLeo na Spotileo (Jumatatu na Alhamisi) pia ni magazeti yaliyosheheni matangazo mbalimbali ya ajira, tenda na...
View ArticleSEVERINA LWINGA NDIYE REDD'S MISS TANZANIA PERSONALITY 2013
Mrembo Severina Lwinga juzi alifanikiwa kuwa mrembo wa tano kuingia nusu fainali ya shindano la Redd's Miss Tanzania 2013 baada ya kutwaa taji la Miss Personality 2013. Mshindi wa taji hilo anapatikana...
View ArticleNAPE: CHADEMA WAWEWESEKA
CHADEMA WAWEWESEKA! ~.Ni baada ya Kinana kupeleka neema ya wakulima wa pamba(soko na bei).~. Ujenzi wa viwanda Shinyanga wawapa homa~. Ajira kwa vijana kuwakosesha Chadema waandamanaji.~. Waishia...
View ArticleASHINDA GARI LA KUSAMBAZIA BIDHAA ZA WHITEDENT
Meneja mauzo wa Chemi &Cotex Industries Limited RiyazDewji (kulia) akikabidhi funguo yagari kwa ajili ya kusambaza bidhaaza whitedent kwaMenejawakampuni yaMulla Abdulhussein iliyopo Tanga Bw. Ali...
View ArticleRPC MORO AIBARIKI ANATORY POOL CLUB
RPC wa Mkoa wa Morogoro,Faustine Shilogile akisalimiana na Mkurugenzi wa Anatory Pool club,Anatory Makasi alipotembelea ofisini kwake kutambulisha club yake kuwa ndio wanaopeperusha bendela ya mkoa...
View ArticleWARSHA KWA BLOGGERS TANZANIA KUTOKA TCRA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwasilisha mada ya kwanza juu ya Ukubwa wa Sekta ya Mawasiliano hapa nchini wakati wa Warsha ya siku mbili kwa...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MIAKA 6 YA KIFO CHA MZEE SHAURI TIMOTHEO NATHAN
Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925-18/09/2007) Sekunde, Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na hatimaye mika mitano sasa imetimia tangu Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925-18/09/2007)...
View ArticleVOTE FOR DR.FRANCIS MHIMBIRA
Francis Mhimbira, MD, Ifakara Health InstitutePease click here to visit the site (http://applications.grandchallenges.ca/en/viewVideo/28735E6AA0E63EB356AAAECB) and vote for Dr Mhimbira.Application:...
View ArticleMAMIA WAFURIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MOSHI KUSIKILIZA KESI YA MAUAJI YA...
Maelfu ya wananchi waliofurika katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi, Mkoani Kilimanjaro, wakifuatilia kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini wa Mererani, Erasto msuya , aliyeuwawa na watu...
View ArticleKINANA AKOMAA NA MAWAZIRI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikaribishwa kwa kahawa katika kijiji cha Budalabujiga wilaya ya Itilima mkoani Simiyu ambapo Katibu Mkuu alifanya ziara ya siku moja wilayani hapo....
View ArticleRedds Miss TZ wataja wasanii na viingilio
Na Mwandishi WetuWAKATI zikiwa zimebaki siku tatu ili Redd’s Miss Tanzania ajulikane, viingilio kwa ajili ya shindano hilo linalosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania wengi vimetangazwa. Kiingilio cha...
View ArticleSIMBA YAIUA MGAMBO JKT 6-0 WAKATI YANGA LAKUVUNDA HALINA UBANI HUKO MBEYA
Mshambuliaji wa Simba Betram Mwombeki akichuana kumtoka mlinzi wa Mgambo JKT Bakari Mtama wakati wa mchezo wa ligi kuu baina ya timu hizo uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam hii leo. Matokeo ya...
View ArticleKINANA AMALIZA ZIARA YAKE BARIADI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kubeba matofali kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya balozi Joyce Safari wa shina namba 12 tawi la Isenge kata ya Dutwa. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...
View ArticleSerikali yaagiza Ununuzi wa Mahindi Safi na Bora
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe. William V. Lukuvi amewaeleza wakala wa Hifadhi ya Chakula NFRA kuzingatia ubora na usafi wa ununuzi wa mahindi kwani mahindi...
View ArticlePATA YALIYOJIRI LEO MAGAZETI YA HABARILEO, DAILY NEWS NA SPOTILEO
Hakikisha unapata nakala yako ya magazeti haya nakujua kwa kina habari zilizojiri ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Pia kuna matangazo lukuki ya Ajira, Tenda na fusra nyingine kibao za kuweza...
View Article