Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10590

MREMBO WA MISS TANZANIA AMEREMETA KATIKA NDOA YAKE

$
0
0
  Maharusi Mahmoud Shoo na mkewe ,Leila (Jennifer) Kakolaki wakiwa na nyuso za bashasha na raha tele wakati wa tafrija yao ya kuwapongeza mara baada ya kumeremeta,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Shengeni,Mbezi Beach jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Leila aliwahi kushiriki shindano la Miss Tanzania 2011 na kuingia hatua ya tano bora.
  Maharusi Mahmoud Shoo na mkewe,Leila (Jennifer) Kakolaki wakijadiliana jambo kwa furaha wakati wa tafrija yao ya kuwapongeza mara baada ya kumeremeta,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Shengeni,Mbezi Beach jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wakipata kinywaji kwa namna yao.
Maharusi wakiwa na wapambe wao wakati wa tafrija yao ya kuwapongeza mara baada ya kumeremeta,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Shengeni,Mbezi Beach jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10590

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>