GrandMalt yadhamini Uhuru Marathon
Katibu wa kamati ya serikali ya maandalizi ya mbio za Uhuru marathon Tanzania Innocent Melleck Katikati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya udhamini wa kampuni ya bia nchini...
View ArticleMWILI WA DK. MVUNGI KUWASILI NCHINI IJUMAA MAZISHI JUMATATU KISANGARA JUU
Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais Jakaya Kikwete (wapili kulia) wakiwa msibani leo nyumbani kwa marehemu Kibamba Msakuzi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Wengine pichani kutoka kulia ni...
View ArticleWAKUU WA WILAYA MKOANI LINDI WAAGIZWA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA CHF-RC...
Mkuu wa mkoa wa Lindi Ludovick Mwananzila akitoa maagizo kupitia hotuba yake,wakati wa mkutano wa siku ya wadau wa mfuko wa NHIF/CHF ,kulia ni mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa NHIF Charles Kajege .Mkuu...
View ArticleSHEHENA YA PEMBE ZA NDOVU ILIYO KAMATWA BANDARINI ZANZIBAR
Kamanda wa Kikosi cha Polisi Bandarini Zanzibar akiongoza Operesheni wa kukagua magunia yaliokuwa na Pembe za Tembo yaliokamatwa katika bandari hiyo leo yakiwa katika harakati ya kusafirishwa nje ya...
View ArticleKINANA, NAPE NA DK. MIGIRO WAWASILI TANDAHIMBA NA MASASI
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dj. Asha-Rose Migiro naKatibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiungana na wananchi kutembea kwa mguu katika barabara ya Mtwara Masasi, ambayo...
View ArticleDeus Kulwa appointed Branch Manager for Julius Nyerere International...
The Arusha International Conference Centre (AICC) announces the appointment of the Branch Manager for its JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE (JNICC)Mr. Deus Kulwa with effect from 4...
View ArticleDELINA GROUP DGE YATOA VIFAA VYA MAMILIONI YA PESA KUSHINDANISHA UHURU CUP...
Mwakilishi wa kampuni ya Delina Group (DGE) kushoto,Bw. Emmanuel Mzava,akionyesha waandishi wa habari vifaa vya michezo vilivyotolewa na Bw. Davis Mosha. Kulia ni Mkurugenzi wa Swahili Media...
View ArticleCALL FOR PROPOSAL FOR TAFSUS
Tanzania Financial Services for Underserved Settlements (TAFSUS) is a Local Finance Facility which provides credit enhancement to Community Driven Settlement Upgrading Projects in the form of Guarantee...
View ArticleKITUO CHA KISUKARI CHA ST. LAURENT DIABETES CENTRE CHA ZINDULIWA RASMI.
Muuguzi katika kituo hicho cha St. Laurent Diabetes Centre, akimpima Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Ask. Dk. Alex Malasusa huku Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein...
View ArticleMWILI WA MAREHEMU DK.MVUNGI WAPOKELEWA KWA MAJONZI JIJINI DAR ES SALAAM USIKU...
Mwili wa Marehemu Dk. Sengondo Mvungi ukifanyiwa maombi mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Wanachama wa NCCR-Mageuzi wakiwa wamelibeba sanduku...
View ArticleMREMBO WA MISS TANZANIA AMEREMETA KATIKA NDOA YAKE
Maharusi Mahmoud Shoo na mkewe ,Leila (Jennifer) Kakolaki wakiwa na nyuso za bashasha na raha tele wakati wa tafrija yao ya kuwapongeza mara baada ya kumeremeta,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa...
View ArticleZIARA YA KINANA TUNDURU.MKOANI RUVUMA
Ndugu Kinana na Ujumbe wakienda kukagua ujenzi wa jengo la Wodi ya Wazazi ya akina mama na Watoto,kwenye hospitali ya Wilaya ya Namtumbo.Pichani kulia ni Mbunge wa jimbo la Namtumbo,Mh.Vita...
View ArticleBEATRICE MROKI APATA KIPAIMARA KANISA LA KKKT UKONGA
Novemba 17, 2013 ilikuwa siku ya furaha sana kwa Beatrice Mroki (kushoto) kwa kupata sakrementi yake ya Kipaimara baada ya kuhitimu mafunzo ya miaka miwili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
View ArticleWABUNGE WA EALA KUTOKA TANZANIA WAMPONGEZA RAIS KIKWETE, WASISITIZA...
WABUNGE wanaoiwakilisha Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki wamesema suluhisho la matatizo ya nchi za Maziwa Makuu yatapata ufumbuzi wa kudumu iwapo kutakuwa na utaratibu wa kukaa meza moja kwa...
View ArticleKINANA AWASILI SONGEA MJINI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi mbalimbali wa CCM waliofika kumlaki alipowasili kwenye eneo maarufu linalojulikana kama Nonga Nonga wilaya ya Songea mjini. Katibu...
View ArticleWENYE MADUKA KARIAKOO WAINGIA KATIKA MGOMO KUPINGA MASHINE ZA TRA
Jiji la Dar es Salaam hususani eneo la Kariakoo leo wafanyabishara wake katika maeneo hayo waliingia katika mgomo wa kutofungua maduka yao kupinga mashine za kutolea risiti za elektroniki (EfDs) ambazo...
View ArticleKINANA AITEKA BOMBA MBILI SONGEA MJINI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa wilaya ya Songea mjini wakati akiwasili viwanja vya Bombambili tayari kuhutubia wananchi wa wilaya hiyo. Katibu wa NEC Itikadi...
View ArticleUFOO SARO:MWENYEZI MUNGU PEKEE NDIO KANIEPUSHA NA KIFO
Mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo Saro akisoma somo kwenye biblia wakati wa ibada maalumu ya shukrani kwenye Kanisa la (KKKT ) Usharika wa Kibamba nje kidogo ya Jiji la Dare...
View ArticleKINANA AKUTANA NA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU SONGEA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu vya SAUT, St.Joseph na Chuo cha Ualimu Matogoro kwenye ukumbi wa Songea Club. Wanafunzi wapatao 650 wakimsikiliza...
View Article