

Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akifafanua jambo wakati wa semina hiyo kwenye hoteli ya Palace jijini Arusha, kulia ni Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu na kushoto ni mmoja wa maofisa wa kampuni hiyo China.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo hapa nchini Bw. Shafii Mwaijande akionyesha kipeperushi kinachoelezea moja ya makampuni makubwa ya bishara ambayo yamesaini mikataba ya kibiashara na kampuni ya China World Buz, katikati ni Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu na wa pili kutoka kushoto ni Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda


Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akielezea mfumo ambao kampuni hiyo itautumia kuwagizia bidhaa za wafanyabiashara ambao hautampa gharama kubwa mfanyabiashara kama vile Usafiri , Chakula, Hoteli kwani hatalazimika kusafiri kwenda chini ili kununua biashara badala yake kampuni hiyo itamuagizia na kumfikisha mahali alipo, Katikati ni Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu na kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo hapa nchini Bw. Shafii Mwaijande

Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akielezea mfumo wa soko kwa Watanzania nchini China kwa sasa ambao unawapa gharama kubwa wafanyabiashara.

Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika semina hiyo leo

Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo hapa nchini Bw. Shafii Mwaijande akitambulisha kampuni hiyo kwa waandishi wa habari jijini Arusha leo wakati wa semina hiyo.