MUDA WAONGEZWA KWA WAANDISHI WA HABARI KUWASILISHA KAZI ZOA TUZO ZA AJAT 2013
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa niaba ya Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za Umahiri za Uandishi wa Habari Tanzania(EJAT) 2013, imeongeza muda wa kuwasilisha kazi za...
View ArticleTBS YAENDESHA MSAKO WA BIDHAA ZISIZO NA UBORA
Askari Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam wakibeba maborota ya mitumba ya nguo za ndani kama sidiria na chupi leo katika soko la Karume katika operesheni ya kukataza kuuza nguo za ndani za...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA GEORGE LIUNDI KARIMJEE DAR
Rais Jakaya Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, George Liundi wakati wa shughuli za kuagwa mwili huo zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es...
View ArticleSpecial fare offer from Emirates
Emirates, a global connector of people and places, is offering Tanzanian travellers the opportunity to visit some of the world’s most exciting destinations with special Economy Class fares for a...
View ArticleWAKULIMA WATESWA NA SAMBAZAJI DAWA FEKI ZA KILIMO
*WAIOMBA SERIKALI KUWADHIBITI WACHAKACHUAJI Baadhi ya dawa zinazodaiwa ni fekiNA MWANDISHI WETU TANGU kuanzishwa kwa kauli mbiu ya kilimo kwanza, kumekuwa na juhudi kubwa zinazofanywa na serikali...
View ArticleUNAHITAJI UREMBO HUU NYUMBANI KWAKO AU SHULENI?
Ashery Mkama akiwa katika moja ya sanamu za twiga alizotengeneza na ipo katika hatua za mwisho kukamilika. Juu ni sanamu ya Pundamilia na mwanae ambayo nayo ipo katika hatua za mwisho. Sanamu hizi...
View ArticleSHIRIKA LA NYUMBA NHC LATOA MAFUNZO KWA VIKUNDI VYA VIJANA,LENGO NI KUBADILI...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akizungumza wakati wa maadalizi ya ufungaji wa mafunzo ya vijana wawakilishi wa vikundi kutoka mikoa mbalimbali kuhusu...
View ArticleFootball legend Pelé is Emirates’ Global Ambassador
Emirates airline, an Official FIFA Worldwide Partner, today announced that Brazilian football legend Pelé will be one of its Global Ambassadors. Coinciding with the highly-anticipated FIFA World...
View ArticleMDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI AFANYA KIKAO KIZITO BUKOBA...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw. Ludovick Utouh akitoa taarifa ya ukaguzi maalum leo Bukoba.Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri...
View ArticlePINDA AKAGUA MAREKEBISHO YA UKUMBI WA BUNGE KWAAJILI YA BUNGE LA KATIBA DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza maelezo kutoka kwa mafundi wanaokarabati Ukumbi wa Bunge la Katiba mjini Dodoma leo wanati akikagua kazi ya uwekaji viti vipya katika ukumbi wa huo ikiwa ni...
View ArticleMTEMVU ATOA MADAWATI 500 YATAKAYOGAWIWA SHULE ZA MSINGI JIMBONI TEMEKE
Madiwani wakipiga makofi ikiwa ni ishara ya kumpongeza Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (wa pili kushoto) kukata utepe wakati wa hafla ya kukabidhi madawati 500 yenye thamani ya sh. mil. 67.5...
View ArticleTangazo la Msiba wa Mzee Arnold Wilfred Nkhoma
Marehemu Mzee Arnold Wilfred Nkhoma Kambonapany (kulia) enzi za uhai wake akiwa na mmoja wa watoto wake kwenye ibada maalum ya kutoa shukrani alipotimiza miaka 100 iliyofanyika kwenye kanisa la...
View ArticleKampuni ya China Word Buz yaelezea njia mbadala zitakazopunguza gharama za...
Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu akizungumza na...
View ArticleMIAKA 25 YA NDOA YA BETTY & CHARLES MKWASA
Wana Silver Jubilee, Betty Mkwasa mabye ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma na mumewe Charles Boniface Mkwasa 'Master' Kocha msaidizi wa Yanga, wakionesha hati maalum ya ndoa kutoka kwa Papa...
View ArticleJK AWAONA MIGIRO, NYALANDU, MKUYA, MAHENGE KUFAA UWAZIRI; NKAMIA, MCHEMBA NAO...
Wakati ikiwa imesalia miezi 22 kabla ya kufanyika kwa ucvhaguzi mkuu wa Serikali mwaka 2015, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi...
View ArticleMAMIA YA WAMZIKA MTAMBALIKE
Jaji Mstaafu Mark Bomani,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mh.Stephen Wassira ni miongoni mwa viongozi mbali mbali...
View Article