Kuna TUZO maalum kwa wadau waliojituma zaidi ili kuokoa mama zetu na vichanga. Yaweza kuwa mtu mmoja mmoja au taasisi na vikundi. Ni TUZO ya Afrika kwa hiyo shime tupendekeze majina ili Watanzania wang'are. kwenye tuzo ya MSambazeni ujumbe na watu wasome link hii kwa taarifa zaidi http://bit.ly/1dy8i5h
↧