Castle Lite ‘yawabeba’ Watanzania kwa Timbaland
Meneja wa bia ya Castle Lite, Victoria Kimaro kulia akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kufanyika kwa Tamasha kubwa la musiki kwenye jiji la Johannesburg nchini Afrika kusini...
View ArticleHAFLA FUPI YA KUWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU DAR LEO
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Adam Malima, kuwa Naibu Waziri wa Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo. Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Charles...
View Articlewatu 9 wafariki dunia na 30 kujeruhiwa katika ajali mkoani lindi leo
BASI Likiwa limeanguka na maiti bado zilikuwa hazijatolewa chini Baadhi ya abiria ambao walikuwemo katika basi hilo wakiwa wametoka bila kujeruhiwaKamishna msaidizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa...
View ArticleMwanajeshi feki atiwa mbaroni Tanga akimtapeli DC
'Koplo' feki akichukuliwa maelezo na Luteni Yahya Wangwe na Mteule daraja la pili Albano Semfuko. Na Mashaka Mhando,TANGA VIKOSI vya Ulinzi na Usalama Wilayani hapa,vinamshikilia Edwin John Mponji...
View ArticleJOHNNIE WALKER YAFANIKISHA IRELAND SOCIETY OF TANZANIA GOLF CHAMPIONSHIP
Katka picha ya pamoja Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Biaya Serengeti Steve Gannon(kushoto)pamoja na mwandaaji wa mashindano ya Ireland Society of Tanzania Golf Championship(kulia) Mkurugenzi...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA KONGAMANO LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU MATUMIZI YA...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baadhi ya viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Dini waliohudhuria Kongamano la siku mbili linalohusu Rasilimali za Gesi Asilia, Mafuta na Madini kwa Amani na...
View ArticleMAPOKEZI YA NAIBU WAZIRI WA HABARI, JUMA NKAMIA OFISINI
Waziri Wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akimkaribisha Naibu wake Juma Nkamia ofisini.Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Fennela Mukangara...
View ArticleMAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MAMA WA MZEE MAKAMBA
Mzee Yusufu Makamba akishauriana jambo na mwanae January Makamba wkati wa shughuli za mazishi zikiendelea.Mzee Yusufu Makamba amefiwa na mama yake mzazi aliyefahamika kama Mariam Masau Kivugo...
View ArticleAirtel ‘Mimi ni Bingwa’ yazidi kuwapa watanzania wengi faraja
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Bw. Jackson Mmbando (kulia) akimpigia simu Bw. Edwin Edmund Kajimbo mkazi wa Iringa aliejishindia tiketi mbili ya safari iliyogharamiwa kila kitu ya kwenda kuangalia...
View ArticleINDIAN SWEET MEMORY EVENT WITH JOHNNIE WALKER
Moja ya mabalozi wa kinywaji cha Johnnie Walker kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti wakiwamiminia wageni waalikwa kinywaji cha Johnnie Walker katika hafla ya Wahindi ya kuadhimisha Kumbukumbu...
View ArticleSEMINA YA WAFANYA BIASHARA NA KAMPUNI YA CHINA WORLD BUZ YAMALIZIKA LEO TRPLE...
Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina ya siku mbili kwa wafanya biashara hao...
View ArticleLowassa amfariji Makamba
Katibu mkuu mstaafu wa ccm mzee Yusuph Mkamba akimtambulisha dada zake Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa,wakati Mh Lowassa alipokwenda kumpa pole mzee Makamba kwa kufiwa an...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtambulisha mgombea wa Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki CCM Mahamoud Thabit Kombo...
View ArticleTaasisi ya Catherine kulisha watoto wa Levolosi mwezi mzima
Mwemyekiti wa Taasisi ya Catherine Foundation ya mjini Arusha ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum, Catherine Magige (kushoto) akikabidhi masaada wa unga wa sembe kwaajili ya uji wa wanafunzi shule ya...
View ArticleWAZIRI MKUU MSTAAFU SUMAYE ATEMBELEA CLOUDS MEDIA GROUP LEO
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group,Ruge Mutahaba akimkaribisha Waziri Mkuu Mstaafu,Mh.Frederick Sumaye alipowasili mapema leo kwenye makao makuu ya ofisi hizo zilizopo Mikocheni...
View ArticleTAARIFA YA CCM KWA VYOMBO VYA HABARI
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandihi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti ,Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo...
View ArticleLigi kuu ya Vodacom – Mzunguko wa pili kupitia AzamTV pekee
Ligikuuya Vodacom sasa itarushwa moja kwa moja kupitia Azam TV ili washabiki wa mpira wa miguu Tanzania waweze kujionea mechi kali za ligi kuu muda wowote na mahali popote zitakapochezwa. Ligi hizi...
View ArticleMPIGIE KURA MTU/WATU UNAODHANI WAMEJITUMA KIKAMILIFU KUOKOA MAISHA YA MAMA NA...
Kuna TUZO maalum kwa wadau waliojituma zaidi ili kuokoa mama zetu na vichanga. Yaweza kuwa mtu mmoja mmoja au taasisi na vikundi. Ni TUZO ya Afrika kwa hiyo shime tupendekeze majina ili Watanzania...
View ArticleWERUWERU ALUMNAE FOUNDATION LIMITED NOTICE OF GENERAL MEETING
TO: All MembersRE: NOTICE OF GENERAL MEETINGNOTICE IS HEREBY GIVEN that a General Meeting of the Foundation will be held at Cine Club, Mikocheni/Msasani, Dar Es Salaam on Saturday, 8th...
View Article