Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza katika Kongamano la umuhimu wa mipango mkakati ya kimahusiano katika kutangaza Utalii Tanzania katika wa chuo Kikuu kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo (SAUT) Tabora juzi. kulia ni Mkuu wa Chuo, Dk Juvenale Asante Mungu
↧
NYALANDU ASHIRIKI KONGAMANO LA UMUHIMU WA KUTANGAZA UTALII
↧