DK KAMANI: AFUNGUKA, AWATAKA WAFANYAKAZI WASIOENDANA NA KASI YAKE WAJIONDOE...
Na Mukhsin MamboWaziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dr. Titus Kamani, amesema ili kwenda na kasi ya maboresho ya wizara hiyo, inahitajika dhana ya uwajibikaji na uwazi sambamba na kujitolea kwa...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA WANANCHI WA MIONO KATIKA MAZIKO YA ALIYEKUWA MBUNGE WA...
Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kushoto) na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, wakati wakiwa...
View ArticleSERIKALI YAPIGA MARUFUKU UTARATIBU WA KUKODISHA WAFANYAKAZI UNAOFANYWA NA...
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka akitoa tamko la Serikali kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya usitishwaji wa utaratibu wa kukodisha wafanyakazi unaofanywa na baadhi ya mawakala...
View ArticleMWANDISHI WA HABARI LEOKILIMANJARO, ARONLD SWAI, aMWENYEKITI MPYA UVCCM...
Arnold Swai (wa kwanza kushoto)wakati wa upigaji kura, zoezi lilofanyika juzi, wilayani Hai kuziba pengo la nafasi ya Mwenyekiti.Mjumbe wa Halmshauri kuu CCM wilaya ya Hai, Fuya Kimbita, akizungumza...
View ArticlePLUS SIZE CLOTHING SASA ZINAPATIKANA Zurii FASHION BOUTIQUE. KARIBUNI SANA
Wale wateja wetu wa Plus Size tumesikia kilio chenu na sasa Zurii Fashion & Beauty Boutique kuna Stock Mpya kwa ajili yenu Plus Size ladies (wale mlio jaliwa neema hahaha). Size 14-20 sasa...
View ArticleWAZIRI MKUU PINDA ALIPOTEMBELEA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA VURUGU ZA GESI
Waziri mkuu Mizengo Pinda akiangalia moja kati ya magari yaliyo chomwa moto nyumbani kwa Mbuge wa Masasi Mariam Kasembe wakati wa vurugu mwaka moja uliopita alipotembelea wilaya hiyo. Waziri Mkuu...
View ArticleNYALANDU ASHIRIKI KONGAMANO LA UMUHIMU WA KUTANGAZA UTALII
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizindua jumuia ya Wanafunzi wa mawasiliano ya Umma na matangazo katika chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo (SAUT) Tabora wakati alipokuwa...
View ArticleSerikali kusambaza tabuleti za kufundishia sekondari
Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Dkt Shukuru Kawambwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya WAMA Nakayama Dkt Ramadhani...
View ArticleMUIGIZAJI WA FUTUHI MZEE DUDE AFARIKI
MUIGIZAJI WA KUNDI LA VICHEKESHO LA FUTUHI LA JIJINI MWANZA, LINALORUSHA MCHEZO WAKE KUPITIA RUNINGA YA STAR, MZEE DUDE, AMEFARIKI DUNIA, JANA SAA 12 JIONI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO, BAADA...
View ArticleAAR Insurance yatoa misaada ya vyakula kwa wahanga wa Maafa Kilosa Morogoro
Kufuatia tukio la maafa lilotokea Kilosa Morogoro, kampuni ya bima ya AAR yaungana na serikali kusaidia wahanga wa mafuriko walipoteza makazi yao na wanakabiliwa na uhaba wa chakula.Kampuni iyo...
View ArticleMwanafunzi wa Ardhi atoa changamoto kwa vijana kupitia kitabu chake
Nguku anaelezea kwamba kitabu hicho yenye kauli mbiu“Sio Serikali ni Mimi, Wewe na Sisi,” inatoa hamasa kwa watu hasa hasa kundi la vijana waweze kuwa na uthubutu wa kutimiza malengo yao katika maisha....
View ArticleMAHMOUD THABIT KOMBO KUUNGURUMA LEO UWAMJA WA BUSTANINI
Na Andrew Chale, ZanzibarCHAMA cha Mapinduzi CCM, leo Januari 28, kinatarajia kufanya kampeni yake ya Sita (6) ya mkutano wa hadhara kwenye eneo la uwanja wa Bustanini, katika kampeni za Uchaguzi...
View ArticleMaelezo ya Dk Lwaitama akisimulia mkasa wake na ndege ya PrecisionAir
Akiwaandikia wanachama katika kundi la Wanazuoni, Mwl Lwaitama amesema:- Ndugu wanazuoni maelezo niliyotoa mtandao wa wanamabadiliko juzi Jumapili haya hapa chini. Kesho Jumatano kwenye The Citizen ,...
View ArticleJESHI LA POLISI LASAKA JAMBAZI LILILOUA WATU WANANE HUKO RORYA, TARIME
Ndugu zangu waandishi wa habari, nimewaiteni hapa kwa dharura, ili kuweza kuwafahamisha hali halisi ya mauaji yaliyotokea katika siku za hivi karibuni katika mkoa wa Kipolisi wa Tarime Rorya. Mnamo...
View ArticleJK AFURAHISHWA NA HUDUMA ZA NMB KATIKA MPANGO WA KILIMO WA STAKABADHI GHALANI
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkuu wa kitengo cha Masuala ya Kilimo katika Benki ya NMB Bw. Robert Pascal alipotembelea banda lao leo baada ya kufungua kongamano la kilimo Afrika Mashariki...
View ArticleBAKI NJIA KUU
HII KAMPENI IMEANZIA JIJINI DAR ES SALAAM NA SASA IPO HUKO MIKOANI LAKINI SWALI NI JE INAHUSU NINI?
View ArticleCCM YAJIVUNIA MAFANIKIO WALIYOPATA, KUADHIMISHA MIAKA 37 JIJINI MBEYA
Wakati CCM inatimiza miaka 37 tangia kuanzishwa kwake februari 5 mwaka 1977,Chama hicho kinajivunia sana mafanikio makubwa kiliyopata hasa katika kudumisha Umoja na Mshikamano kwa Watanzania ,kutunza...
View ArticleMAYOR JERRY SILAA KUBARIKI UZINDUZI WA KAMPUNI YA GRACING AFRICA LEO
Mwanamitindo anayefanya vizuri sana nchini, Danny David atazindua kampuni yake mpya ya Gracing Africa inayojihusisha na ukuzaji na uendelezaji wa vipaji nchini hasa vya mitindo na fashion ijumaa hii...
View ArticleMSAADA WAKO UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA MTOTO MARYAM
Kuna mdada wa miaka 18 Ambaye amejifungua binti anaeitwa Maryam kwa bahati mbaya sana mtoto Huyo alipozaliwa hakua na sehemu ya kutoa choo kikubwa hali ya kwamba sehemu hiyo imefunga. Kwa ujuzi wa ma...
View Article