MISS TANZANIA 2014 SITTI MTEMVU AVUA TAJI RASMI
Mrembo aliyetawazwa umalkia wa Tanzania 2014, 'Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtevu (pichani kushoto) leo ametangaza rasmi kujivua taji hilo. Pamoja nae ni Mkurugenzi wa Lino International Agency...
View ArticleMABONDIA SAMSON MAISHA NA IBRAHIMU TAMBA WATAMBIANA KUZIDUNDA JUMAPILI...
Bondia Maisha Samson kushoto wakitunishiana misuli na Ibrahimu Tamba wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika jumapili ya novemba 9 katika ukumbi wa Manyara park Tandale CCM.Bondia Maisha...
View ArticleHII NDIO BARABARA ILIYOKARABATIWA KWA MILIONI 90 UKONGA MAZIZINI- MOSHI BAR
Hii ndio ile barabara ya Ukonga Mazizini- Moshi Bar ambayo inadaiwa kugharimu kiasi cha shilingi Milioni 90 kuikarabati kwa kiwango cha changarawe kwa umbali wa kilometa tatu. Picha hizi ni madimbwi...
View ArticleSHY-ROSE BHANJI AZUNGUMZA NA WANAHAVBARI DAR LEO
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji akizungumza na waandishi wa habari hii leo. Kulia ni Mbunge mwenzake wa EALA kutoka Tanzania, Twaha Isa Tasilima. Shy-Rose Bhanji akionesha moja ya...
View ArticleRais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume Marekani, hali yake inaendelea...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Dkt.Edward Shaeffer wa hospitali ya Johns Hopkins (kushoto) na Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi...
View ArticleSIMBA WAANZA KWA USHINDI MWEMBA TAIFA LEO
BAO pekee lililofungwa na mshambuliaji wa kimataifa raia wa Uganda Emmanuel Okwi lilifanikiwa kuipa timu ya Simba ushindi wa kwanza tangu kuanza kwa msimu huu baada ya kutoa sare mfululizo katika mechi...
View ArticleDJ JD na DJ FAST EDDIE WAFANIKIWA KUREJESHA MUZIKI WA DISKO KILELENI TENA
DJ JD akiwa kazini katika ukumbi wa Isumba Lounge jijini Dar es salaam usuiku wa kuamkia leo. Yeye na DJ Fast Eddie wameweza kurejesha utamu wa wapenzi wa muziki kwenda disco kwa wingi kama ilivyokuwa...
View ArticleAIRTEL KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY YAJA NA MIKOPO YA MUDA MFUPI KWA NJIA...
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wa nne kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa tatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi...
View ArticleMABONDIA TAMBA NA KISARAWE WANYAKUWA MIKANDA YA TPBO
Bondia Mrisho Adam kushoto akipambana na Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Adam alishinda kwa point mpambano huo Bondia Mrisho Adam kulia akipambana na...
View ArticleTANGAZO LA MSIBA WA NDUGU.ROBERT VICTOR LENGEJU
Familia ya Lengeju wa Kipera Mkoani Morogoro wanasikitika kutanga kifo cha mdogo wao ROBERT VICTOR LENGEJU kilichotokea mchana wa leo katika Hospitali ya TMJ Dar es Salaam.Mipango ya mazishi inafanyika...
View ArticleMBUNGE WA MBEYA VIJINI LUCKSON MWANJALE (REV) AANGUKA GHAFLA BUNGENI
Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya kudondoka ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge leo mchana.Chanzo cha kuanguka kwake huko bado...
View ArticleTCRA yakutana na wamiliki wa Blogs (Bloggers) Tanzania leo
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Prof. John Nkoma akitoa hotuba yake wakati wa ufungumzi wa Mkutano wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini na wamiliki wa Blogs (Bloggers) Tanzania...
View ArticleSEMA KUTUMIA MILIONI 396/- KUWEKA SAWA MAZINGIRA MASHULENI IRAMBA
Meneja wa shirika la SEMA, Ivo Manyanku, akizungumza kwenye uzinduzi wa siku ya kunawa mikono duniani, siku ya choo duniani na wiki ya usafi wa mazingira nchini uliofanyika katika kijiji cha Tulya...
View ArticleRATIBA YA KUAGA MWILI LEO NA MAZISHI YA ROBERT VICTOR LENGEJU
Familia ya Lengeju wa Kipera Mkoani Morogoro na Dar es Salaam inapenda kuwatangazia ndugu jamaa na marafiki wote wa marehemu ROBERT VICTOR LENGEJU na Familia ya LENGEJU kuwa kijana wao mpenda...
View ArticleMWILI WA MAREHEMU ROBERT LENGEJU WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KESHO...
Hili ndilo sanuku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa...
View ArticleLOWASSA , CCM WANAKUBALIKA - UTAFITI TANZANIA KUELEKEA 2015
Mwananchi mmoja kati ya watatu (33%) Tanzania Bara hajui ni nani atayekuwa chaguo lake la Rais kwenye uchaguzi mkuu ujao. Hakuna mgombea hata mmoja anayependwa na wapiga kura kwa zaidi ya 15%. Kwa...
View ArticleMwenyekiti wa Chadema aunguruma mikoa ya KIGOMA na KATAVI
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kazuramimba mkoani Kigoma, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.Naibu...
View ArticleKANGI LUGOLA NA WANASHERIA
Mawakili wa kujitegemea, Nyaronyo Kicheere (kushoto) na Iman Madega (katikati) wakizungumza jambo na Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola walipokutana mtaa wa Samora Jijini Dar es Salaam jana.Kulia ni...
View Article