MSAMA AMPONGEZA JK UJENZI WA KIDONGO CHEKUNDU DAR
Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati akitoa pongezi kwa Rais Jakaya Kikwete baada ya kuzindua Kituo cha Michezo cha Kidongo...
View ArticleTANZANIA NA BURUNDI ZA SAINI MKATABA WA MIAKA 50 KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA...
Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania , Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto) na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza wakisaini mkataba huo. Waziri wa Nishati na Madini,...
View ArticleDK KINGWANGALA ASHIRIKI BONANZA LA MBIO ZA AMANI DAR ES SALAAM...
Mbunge wa Nzega mkoani Tabora ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamiti ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, Dk. Hamisi Kingwangala(watatu kulia mstari wa mbele) akishiriki katika mazoezi ya viungo na umoja wa...
View ArticleMSONDO NGOMA MUSIC BAND WATIMIZA MIAKA 50
Safu ya waimbaji wa Bendi ya Msondo Ngoma ikiongozwa na Nguli Shaaban Dede (katikati) wakifanya vitu vya mbele ya mashabiki wao lukuki waliofika kwenye Viwanja vya TCC Club,Chang'ombe jijini Dar. Bendi...
View ArticleKIPANDE KIDOGO KILICHOBAKIA KATIKA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA KUKAMILIKA...
Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge akifanya kazi ya kuchanganya cementi na udongo katika baadhi ya maeneo katika kipande hicho cha barabara.Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi...
View ArticleHOSPITALI YA KAIRUKI YAPATA TUZO YA UBORESHAJI VIWANGO VYA HUDUMA YA AFYA
Mkurugenzi Mkuu wa Hospital ya Kairuki, Dk. Asser Mchomvu akiwa amebeba tuzo aliyokabidhiwa na na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal (katikati). Kushoto ni...
View ArticleBENKI YA MKOMBOZI YATANGAZA MAUZO YA AWALI YA HISA ZAKE,YAWAOMBA WATANZANIA...
Pichani kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Mkombozi,Bwa Masha J. Mshomba akizungumza mbele ya Wanahabari (hawapo pichani),mapema leo jijini Dar kuhusiana na kuwafahamisha Watanzania kuhusu mauzo...
View ArticleBIRTHDAY PARTY YA PETER WALDEN YAFANA HUKO BOWIE MD
Designer wa nguo (PSW) Peter Walden na mkewe Frida Walden wakiwa wenye nyuso za furaha wakati kusheherekea Birthday yake nyumbani kwake huko Bowie Md Jumamosi Novemba mosi,2014. Birthday boy akiwa na...
View ArticleIGP MSTAAFU PHILEMONI MGAYA ASHEREHEKEA MIAKA 85 YA KUZALIWA KWAKE
IGP Mstaafu Philemoni Mgaya akikata keki huku amezungukwa na wajukuu wake Mara Baada ya Ibada katika Kanisa la Azania Front wakati wa kuadhimisha miaka 85 ya kuzaliwa ya aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la...
View ArticleTOYOTA TANZANIA YAWATUNUKU FANYAKAZI WAKE BORA
National Service Manager wa Kampuni ya Toyota Tanzania Ltd, Jose Alvares (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Toyota Tanzania, Mahmood Karimjee (katikati) wakimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa jumla,...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AZINDUA UTOAJI WA HUDUMA KWA WALEMAVU WA USIKIVU (VIZIWI)...
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha mwanafunzi mlemavu wa kusikia (kiziwi) Bertha Samwel wa darasa la tatu Shule ya msingi Buguruni, Kifaa maalum...
View ArticleWAISLAM WA SHIHA DAR ES SALAAM WAMKUMBUKA IMMAM HUSSEIN BIN ALI
Imamu wa Msikiti wa Kigogo jijini Dar es Salaam, Shikh Hemed Jalala akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam hii leo muda mfupi kabla ya kuanza maandamano ya amani ya kuazimisha kifo cha Imam...
View ArticleZIETLOF AVUNJA REKODI NYINGINE YA DUNIA AKIWA TANZANIA, KUCHANGIA VIJIJI VIWILI
Dereva Toka Nchini Ujerumani Rainer Zietlof(katikati)Akizungumza na Wanahabari kuhusiana na rekodi yake ya kusafiri umbali mrefu Duniani Mara baada ya kuwasili nchini Tanzania kwenye Ofisi za...
View ArticleMEYA WA ILALA FANYA UKAGUZI WA UJENZI WA BARABARA HII YA UKONGA MAZIZINI -...
Napenda kuanza porojo zangu hii leo kwa kuweza wazi kuwa nina maslahi makubwa sana na jambo ambalo leo naenda kulipigia porojo.Ndio nina maslahi maana mimi ni mkazi wa Bombambili Kivule jijini Dar es...
View ArticleTAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) MWAKA 2014...
Katibu Mkuu Mtendaji wa Baraza la Mitahani la Tanzania (NECTA) Dk. Charles Msonde leo ametangaza matokeo ya mhihani wa kumaliza elimu ya Msingi 2014. KUONA MATOKEO HAYO BOFYA MATOKEO STD 7
View ArticleTanzania Yapokea Huduma Mpya ya Kutuma Pesa
Kiongozi wa Dau-Pesa, Dk Dauda Salmin (katikati) akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo ya kutuma fedha iliyozinduliwa na Chama cha wafanyakazi wa sekta binafsi Dar es Salaam. Wengine ni...
View ArticleDC MUFINDI AIPONGEZA SHULE YA SOUTHERN HIGHLANDS MAFINGA KWA KUONGOZA MTIHANI...
.. DC Mufindi Evarita Kalalu Na matukiodaima.co.tzSERIKALI wilayani Mufindi mkoani Iringa imeipongeza shule binafsi ya Southern Highlands Mafinga kwa...
View ArticleNSSF YAWAKABIDHI NYUMBA WASANII WA ORIJINO KOMEDI
Meneja Mipango na Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdallah Mselly (kulia) akimkabidhi msanii wa Orijino Komedi, Mjuni Silvery 'Mpoki funguo ya moja ya nyumba za gharama nafuu...
View ArticleHATIMAYE BARABARA YA UKONGA MAZIZINI- MOSHI BAR YAANZA KUFUMULIWA
Siku chache baada ya mtandao huu kupitia kolam maalum ya POROJO ZA ANKO KIDEVU iliyobeba kichwa cha habari MEYA WA ILALA FANYA UKAGUZI WA UJENZI WA BARABARA HII YA UKONGA MAZIZINI - MOSHI BARhuenda...
View ArticleDANGOTE AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIWANDA CHAKE KIKUBWA CHA SARUJI MTWARA
Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Group of Industries), Alhaji Aliko Dangote akiwa kwenye gari huku akipata maelezo ya ujenzi wa kiwanda hicho kutoka kwa mafundi na...
View Article