DK. REGINALD MENGI AZINDUA TASWE SACCOSS JIJINI DAR
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Media, Dk. Reginald Mengi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tanzania Saccos For Women Entrepreneurs ( TASWE - Saccoss) uliofanyika katika ukumbi wa St. Peter's jijini Dar...
View ArticlePSPF NA TPB ZAZINDUA HUDUMA YA MIKOPO YA ELIMU NA KUANZIA MAISHA KWA...
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu (wapili...
View ArticleWakuu wa Mkoa wamtembelea na kumjulia hali Rais Kikwete
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa mikoa waliowawakilisha wenzao kwenda ikulu leo kumjulia hali na kumpa pole kufuatia upasuaji alifanyiwa mwezi uliopita...
View ArticleMDAU ANGELA AKILIMALI NA WENZAKE WALA NONDO YA MAWASILIANO YA UMMA
Kaimu Mgukurugeni wa Uhuru FM, Angela Akilimali (katikati) akiwa na wahitimu wenzake wa Shahada ya Mawasiliano ya uma ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) katika mahafali yaliyofanyika hivi katibuni...
View ArticleWLAC NA UNICEF WAZINDUA RIPOTI YA MWAKA MMOJA YA WATOTO WALIOPO MAGEREZANI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Maimuna Tarishi (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC), Grace Daffa, wakionesha vitabu vyenye ripoti ya mwaka mmoja...
View ArticleRC - MULONGO AKERWA NA HALI YA USAFI ISIYO RIDHISHA JIJINI MWANZA
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akiwa katika Eneo la Soko kuu. Eneo la hili ni la NHC ambapo RC ametoa agizo la kuendelezwa hadi ifikapo Desemba 30. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo...
View ArticleTIMU YA TANZANIA WAICHAPA EALA MABAO 4-0
Timu ya Tanzania jana wailiichapa timu ya EALA mabao 4 kwa 0 ambapo Mh. Joshua Nassari alifunga bao la kwanza na bao la pili kufungwa na na mchezaji mahiri Yusuph Gogo na la tatu kufungwa na Ahmed...
View ArticleRUSSELL SIMMONS AMSHIKA MKONO TENA FLAVIANA KUITAMBULISHA FLAVIANA MATATA...
Flaviana Matata Mwanamitindo wa kitanzania afanyae shughuli zake za Mitindo Nchini Marekani, Jana alijiunga na rafiki, mshauri, mwekezaji na hip- hop legend , Russell Simmons, Na...
View ArticleDK PINDI CHANA (MB) KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, MKOANI...
Dkt. Pindi Chana akiwanadi wagombea wa Uongozi kwa Tiketi ya CCM wa Mtaa wa Kihesya na Kwivaha, Njombe Mjini.Mheshimiwa Dkt Pindi Chana(Mb.), Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto,...
View ArticleTIMU YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO...
Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ikiwa ndani ya MV Liemba mara walipofika kujionea mandhari ya meli hiyo kongwe duniani.Nahodha wa MV Liemba, Kapteni Mathew...
View ArticleVIJANA ELFU 10 WAMIMINIKA DIAMOND JUBILEE KUFANYA USAILI WA AJIRA ZA TRA LEO
Vijana takriban elfu kumi kutoka kila pembe ya nchi leo wamemiminika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam kusailiwa katika nafasi mbalimbali za ajira katika Mamlaka ya mapato Tanzania...
View ArticleDEO FILIKUNJOMBE AZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA DODOMA
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akinywa maji kwa majani ya miti baada ya kuzindua mradi wa maji na kukabidhi vifaa vya kuvuta maji vyenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 14.5 kwa wakazi...
View ArticleMAPUNDA AWALIPUA CHADEMA
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) na mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (M-NEC) Ndugu Sixtus Mapunda amesema kuwa Chadema wamepanga njama haramu za kuvuruga uchaguzi wa...
View ArticleAJALI YA GARI YAJERUHI MMOJA QUALITY CENTER
Mkazi huyu wa Dar es salaam ambaye jina lake halikupatikana akivija dani usono baada ya kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea hii leo mchana katika maegesho ya magari ya Quality Center. Gari...
View ArticleLAPF WASAIDIA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE YA MIHANDE WILAYANI KIBAHA
Kaimu Meneja wa LAPF Kanda ya Mashariki, Isaya Mwakifulefule (kushoto), akimkabidhi, Ofisa Elimu wa Vifaa na Takwimu wa Wilaya ya Kibaha, Doris Semkiwa (kulia), bati na rangi zenye thamani ya...
View Article