DIWANI MATHIUS WA KATA YA MALANGARINI AFUNGA KAMPENI ZA UCHAGUZI KATANI KWAKE
Diwani wa kata ya Mlangarini, Mathius Manga akizungumza na wananchi wa kata hiyo katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa CCM kwa ajili ya kuwachagua viongozi wa serikali za...
View ArticleALAT YAZINDUA MCHAKATO WA MAADHIMISHO YA MIAKA 30
Mwenyeki wa ALAT Taifa na Meya Wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi.
View ArticleTAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE...
Kama mnavyofahamu kesho tarehe 14/12/2014 ni siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ni uchaguzi muhimu sana kwani ndiyo uchaguzi unaowaweka madarakani viongozi ambao wapo karibu zaidi na...
View ArticleSIMBA YAIUA TENA YANGA 2-0 TAIFA HII LEO
Awadh Juma na Jonas Mkude wakishangilia moja ya magoli ya Simba. (Picha ya maktaba). HALI ya mji kwa upande wa soka la Tanzania leo itakuwa shwari baada ya Yanga kukubali kichapo cha goli 2-0 kutoka...
View ArticleTAASISI ZA NPS NA TYCEN ZAWAKUTANISHA VIJANA KWENYE MKUTANO WA MABADILIKO YA...
Picha ya pamoja ya washiriki wa mkutano wa Vijana wa Mabadiliko ya Tabianchi uliofanyika kwenye ukumbi wa Eco Sanaa, Mikocheni Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umeandaliwa na Global Power Shift...
View ArticleMGODI WA RESOLUTE WAKABIDHIWA KWA CHUO CHA MADINI DODOMA
Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia Madini, Mhe Stephen Masele (aliyesimama katikati na pama) akishuhudia halfa fupi ya kusaini makabidhiano ya eneo la Mgodi wa Resolute kwa Chuo cha...
View ArticleTANGAZO LA KIFO CHA MAMA MZAZI WA AKINA MWAIBALE
Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wakeFamilia ya Mwaibale inatangaza kifo cha mama yao mpendwa, Twitikege Mlagha Mafumu kilichotekea leo saa 5 usiku wakati akipelekwa Hospitali ya Hindu Mandal...
View ArticleMAHAFALI YA 12 YA CHUO CHA UHASIBU TANZANIA (TIA) YAFANA, JIJINI DAR ES SALAAM
Wahitimu wa Shahada ya Uhasibu kutoka Chuo cha Uhasibu (TIA), Hiltruda Tarimio (kushoto) na Halima Ally wakiwa katika mahafali ya chuo hicho Dar es Salaam juzi. Wahitimu wa Chuo cha Uhasibu Tanzania...
View ArticleGwiji wa masuala ya mtangamano EAC afariki
Balozi Ndayiziga katika mojawapo ya warsha ya EAC hivi karibuni. Kulia ni mtaalamu wa habari na mratibu wa mafunzo ya wandishi wa habari EAC, Bw. Sukhdev Chhatbar.Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi...
View ArticleMatukio Msiba wa Mama Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale Jijini Dar
Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake. Mama mzazi wa wanahabari Kulwa Mwaibale wa GPL, Dotto Mwaibale wa Jamboleo na Nico Mwaibale wa TBC. Baadhi ya waombolezaji wakitoa pole kwa ndugu na jamaa...
View ArticleSECURITYGROUP (T) LTD (SGA) WAFANYA USAFI KUADHIMISHA MIAKA 30 YA UTENDAJI...
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya ulinzi ya Security Group (T) Ltd (SGA), Eric Sambu akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo muda mfupi kabla ya kuanza kuufanyia usafi ufukwe wa Bahari ya Hindi, eneo la...
View ArticleUCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA JIJINI DAR ES SALAAM HII LEO
Maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam hii leo wamefanya uchaguzi wa Serikali za Mtaa ambapo wananchi wengi waliojitokeza wamejitokeza kutumia haki yao ya msingi ya kidemokrasia ya kupiga kura. Picha...
View ArticleMREMBO ROLENE STRAUSS WA AFRIKA KUSINI TWAA TAJI LA MISS WORLD 2014
Malkia wa 64 wa Dunia amepatika usiku huu huko jijini London Uingereza ambapo Mnyange wa Afrika Kusini, Rolene Strauss amenyakua taji hilo na kuibuka Miss World 2014.Nafasi ya pili na yatatu...
View ArticleALIYEPOTELEWA NA MBUZI WAKE
Mfugaji yeyote aliyepotelewa na mbuzi wake Beberu wa Maziwa, Awasiliane na Ndugu Manyerere Jacton kwa simu 0713335469. Mwenye mbuzi anatakiwa awe na uthibitisho wa umiliki wake. Mbuzi huyo kwa sasa...
View ArticlePSPF YATOA MKONO WA X MASS KWA VITUO VYA WATOTO WENYE UHITAJI MAALUM
Kulia ni Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Mkoa wa Shinyanga Erick Chinimbaga na wa kwanza kushoto ni Afisa Fedha kutoka PSPF Makao Makuu Samweli Haule wakiwakabidhi zawadi za Krismasi...
View ArticleWANANCHI WAFURIKA KATIKA BANDA LA DEGE ECO VILLAGE, MLIMANI CITY- DAR
Muuzaji kutoka Hifadhi Builders Ltd akiongea na mteja kuhusu mradi wa Dege Eco Village jijini Dar es salaam hivi karibuni Adam Jusab, Afisa Masoko akihojiwa na waandishi wa habari hivi karibuni na...
View ArticleMSANII MAARUFU WA KIZAZI KIPYA NEY WA MITEGO AKIWA STEJINI
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ney wa Mitego anatarajiwa kulipamba Tamasha la amani linalotarajiwa kufanyika mapema jumamosi hii desemba 20 katika viwanja vya Sheik Amri Abeid lililoko mkoani...
View ArticleWADAU WAJITOKEZA KWA WINGI TAYARI KUSHIRIKI MAONESHO YA KWANZA YA KIMATAIFA...
Wadau wa Elimu ndani na nje ya nchi wamejiandikisha kwa wingi tayari kwa kushiriki maonesho ya kwanza ya kimataifa ya elimu nchini ambayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Wizara ya Elimu,...
View Article