TCAA WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KWA KITUO CHA KULEA YATIMA CHA HNEW HOPE...
Watoto wanaolelewa katika kituo cha New Hope Family wakiwa wamebeba mzigo ya vyakula mbalimbali baada ya kukabidhiwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga( Tcaa) kwa ajili ya kusherehekea mwaka mpya. Afisa...
View ArticleBi. Fatma Moh’d Salim (Jinja) azindua vitabu vyake vitatu vya simulizi za kale
Mtunzi mkongwe wa vitabu Zanzibar Bi. Fatma Moh’d Salim (Jinja) akionyesha vitabu vya hadithi za kale alivyovitunga, katika sherehe za uzinduzi wa vitabu hivyo zilizofanyika nyumbani kwake Chukwani...
View ArticleMTUHUMIWA ALIYEJARIBU KUTOROKA MAHAKAMA YA KISUTU APIGWA RISASI
Na Father Kidevu Blog Mshitakiwa wa kesi ya kukutwa na dawa za kulevya Abdul Koroma (33) amekufa papo hapo baada ya kupigwa risasi alipokuwa akijaribu kutoroka chini ya ulinzi katika Mahakama ya Hakimu...
View ArticleWAFANYAKAZI WA PPF IDARA YA UENDESHAJI WAFANYA SHEREHE YA KUFUNGA MWAKA...
Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Assumpta Maina Mallya akifungua sherehe iliyoandaliwa na idara yake kwaajili ya kupongezana kwa kazi za mwaka mzima, sherehe...
View ArticleTMA YATOA TAARIFA JUU YA MWELEKEO WA MVUA KWA KIPINDI CHA JANUARI, FEBRUARI,...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk.Agnes Kijazi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana, kuhusu mwelekeo wa mvua kwa...
View ArticleHII NDO DASLAM
Kariakoo ni moja ya sehemu zilizo na maduka mengi na eneo lenye pilika pilika za kila namna za kibiashara, hapana shaka kuwa eneo hilo linawalipa kodi wengi kuliko eneo lolote la jiji la Dar es Salaam...
View ArticleSHEIKH SHARIF AZUA MAPYA YA URAIS 2015
Sheikh Shariff Matongo akizungumza leo na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam(hawapo pichani)kuhusu ndoto yake ambayo ameoteshwa kuelekea mwaka 2015.*****NA CHALILA KIBUDA,GLOBU...
View ArticleVIWANGO VYA KUBADILISHA FEDHA -DOLA YAZIDI KUPAA
Mkazi wa Dar es Salaam akiangalia viwango vya kubadilisha fedha katika moja ya maduka ya jijini Dar es Salaam jana ambavyo vilionesha dola kupanda hadi kufikia shilingi 1,720 kulingana na 1,570 ya...
View ArticleTATHMINI YA PAPA KAIJAGE KUHUSU MATUKIO MAKUBWA YA MUZIKI WA DANSI KWA MWAKA...
BENDI MPYA •Vijana Ngwasuma ilizinduliwa ndani ya Letasi Lounge (zamani Business Park ,Victoria) Ijumaa ya tarehe 07-Mar-2014.•Yamoto Band yazinduliwa rasmi tarehe 21-Sep-2014 ndani ya ukumbi wa Dar...
View ArticleDIAMOND NA ZARI WAZURU MAKUMBUSHO YA MAUAJI YA KIMBARI NCHINI RWANDA
MSANII nguli wa Bongo Fleva, Nassib Abdul 'Diamond' na rafiki yake wa kike mganda Zari Hassan wamezuri makumbusho ya taifa ya mauaji ya kimbarti nchini Rwanda.Diamond yupo mjini Kigali Rwanda kwaajili...
View ArticleABOOD ATOA WIKI MBILI MTENDAJI WA KATA KURUDISHA FEDHA ZA WANANCHI
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiongea Kwa Msisistizo Akimtaka Mtendaji wa Kata ya Luhungo Iliyopo Mzee Makame Kai Kurudisha Fedha za Wananchi wa Kata Hiyo Shilingi Milioni 1.4...
View ArticleWAKAZI WA TEMEKE NA VITONGOJI VYAKE WALIPOKEA VYEMA TAMASHA LA TUO8JANUARY,...
Hii ilikuwa ni picha ya pamoja ya wasanii na mashabiki waliojitokeza kuunga mkono tamasha hilo la bure ambalo lina lengo la kuhamasisha vijana kushiriki katika maamuzi yenye mustakabali wa...
View ArticleBILALI AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA MKESHA WA MPWA PYA NA KULIOMBEA TAIFA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wananchi alipowasili Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jana usiku Disemba 31, 2014/2015 kwa ajili...
View ArticleWAKAZI DAR WAFURAHIA MWAKA MPYA 2015 KWA KUOGELEA BAHARINI
Mamia ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam walimiminika jana katika ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Coco Beach kufurahia mwaka mpya wa 2015 kwa kuogelea.Huku pakiwa na ulizni mkali wa Polisi, wakazi...
View ArticleVYAMA 10 VILISIVYO NA UWAKILISHI BUNGENI VYAWATAKA VIONGOZI WA DINI...
Katibu Mkuu wa Chama cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kwa niaba ya vyama 10 visivyo na uwakilishi wa wabunge Bungeni...
View ArticleMaelezo ya Mwanasheria wa Uhamiaji kuhusu sheria mpya za uhamiaji nchini...
Mwanasheria wa uhamiaji Fatmata Barrie akizungumza na wanaDMV kwenye mkesha wa mwaka mpyaKatika mkesha wa mwaka mpya (2014-2015), Jumuiya ya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia ,...
View ArticleFUNGA MWAKA YA JUMUIYA DMV YAFANA
Aliyekuwa mwakilishi wa Diaspora bunge la katiba Mhe. Kadari Singo akielezea shughuli za bunge hilo na jinsi gani alivyopigana kutetea swala la uraia pacha huku akiwasihi wanaDiaspora kubadili mtizamo...
View Article