MAKAMU MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA AKUTANA NA VIONGOZI WA WAFANYABIASHARA...
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa CCM Taifa Ndugu Mboni Mhita Ambaye Pia ni Katibu Mkuu wa Pan African Union Ulio Chini ya Umoja wa Afrika AU Anayehusika Kushugulikia Ajira kwa Vijana, Fursa,...
View ArticleAJALI YA GARI NJIA YA KOROGWE-SAME
Ajali ya gari dogo lililokuwa likiendeshwa na Advocate Anthony Shuma kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea Moshi katika shamra shamra za siku kuu ya X Mass limepata ajali katika eneo la Njoro mkoani...
View ArticleUEFA GOO NIGHT CLUB NDIO HABARI YA MUJII HIVI SASA KUZINDULIWA LEO
Kiwanja kipya cha maraha Uefa Goo Night Club kiko tayari kuzinduliwa leo katika mkesha wa sikukuu ya Krismas jijini Dar es salaam.Kiwanja hiki ni cha Kisasa sana kama utakavyoona taswira zake...
View ArticleALEX MSAMA AMWAGA ZAWADI ZA KRISMAS KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR ES...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Bi. Honorata wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Honorata kilichopo Temeke jijini Dar es salaam leo wakati...
View ArticleTUIMARISHE ULINZI KATIKA MIKUSANYIKO YA SHEREHE ZA X MASS NA MWAKA MPYA
KESHO ni siku ya Siku kuu, pasi na shaka hakuna mtu ambaye halijui hilo.Siku kuu ya Krisimasi na mwaka mpya ni siku kuu ambazo hufuatana na kwadesturi ya ushirikiano tulio nao hapa nchini siku hizi...
View ArticleNBC yazindua mashine za ATM za kupokea pesa
Meneja wa ATM na Kadi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Wambura John (kushoto) akiweka pesa kwa kutumia ATM katika hafla ya uzinduzi wa huduma ya kuweka pesa (deposit) kwa kutumia mashine za ATM ya...
View ArticleTANGAZO LA MSIBA WA NDUGU RAYMOND KULLAYA
BI FORTUNATA RAYMOND (MENEJA NHIF LINDI) ANATANGAZA KIFO CHA BABA YAO MPENDWA MZEE RAYMOND KULLAYA KILICHOTOKEA TAREHE 21/12/2014 HOSPITALI YA DR. MVUNGI KINONDONI DAR ES SALAAM,MAZISHI YATAFANYIKA...
View ArticleMALINZI APOKEA JEZI KUTOKA KAMPUNI YA PROIN KWAAJILI YA MASHINDANO YA WOMEN...
Mkurugenzi wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza(kushoto) akimkabidhi Jezi Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Malinzi kwaajili ya Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa Wanawake...
View ArticleMVUA SHAMBA MJINI MH KEROOOOOOO KAMA HII
Haya ni mafuriko madogo yaliyotokea hii leo baada ya mvua kubwa ilyonyesha kwa saa kadhaa maoneo mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam. Mvua hizo zilileta kizaa zaa katika baadhi ya mitaa na barabara...
View ArticlePSPF KUWAKUTANISHA WACHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA NA SIMBA
MFUKO wa Pensheni wa PSPF umedhamini mchezo wa kirafki utakaowakutanisha wachezaji waliowahi kuwika katika timu kongwe nchini Simba na Yanga.Mchezo huo unatarajiwa kufanyika tarehe 1 Januari 2015katika...
View ArticleMBUNGE WA MOROGORO MJINI AZIZ ABOOD AENDELEA KUTEKELEZA AHADI ZAKE KATIKA...
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akiwasikiliza Viongozi wa CCM wa Kata ya Konga wakati wa Ofisi ya kata hiyo Mara baada ya Mh Mbunge Kufanya Ukaguzi hiyo Na Kuahidi kutoa Msaada wa Bati...
View ArticleMWAKA UNAKATIKA....TUMESONGA MBELE AMA NYUMA???
Amani, Heshima na Upendo kwa wana-blog wote.Kwanza namshukuru MUNGU kwa baraka ya uhai ambayo mimi nawe tunayo mpaka sasa.Pili nikupe pole kwa harakati za maisha ambazo sote twazipitia kufanikisha...
View ArticleTHE MBONI SHOW YAANZA KUUNGURUMA JANUARY 2 NDANI YA TBC
Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba (wa pili ktoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam wakati akitangaza kuanza kwa msimu...
View ArticleMKESHA WA MWAKA MPYA NDANI YA SAFARI CARNIVAL
Na Andrew ChaleSAFARI Carnival kwa kushirikiana na Asia Idarous Khamsin (Fabak fashions) usiku wa 31/12/2014, Wameandaa shoo maalum ya Mkesha wa mwaka mpya 'Old Is Gold taarab', Ndani ya ukumbi wa...
View ArticleSIMBA, YANGA, AZAM, MTIBWA KUCHEZA MAPINDUZI
Timu za Azam, Mtibwa Sugar, Simba na Yanga zitashiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi inayofanyika kisiwani Zanzibar kuanzia Januari 1 hadi 13 mwakani.Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)...
View ArticleMZUNGUKO WA ASKARI KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM
Hii ndio foleni ya magari katrikati ya jiji la Dar es Salaam pindi mvua inaponyesha.
View ArticleGARI T601AHG LATEKETEA KWA MOTO MAKUMBUSHO DAR ES SALAAM
Gari dogo aina ya Toyota Mark ii lenye namba za usajili T 601 AHG, likiteketea kwa moto eneo la Makumbusho Usalama kama lilivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto jana jioni. Chanzo cha ajali hiyo...
View ArticleSHIRIKISHO LA MUZIKI NA NSSF WAMKABIDHI MJANE WA GURUMO SHILINGI MILIONI 2
Mjane wa aliyekuwa msanii wa muziki Mzee Gurumo akikabidhiwa hundi ya shilingi milioni mbili na afisa mahusiano wa NSSF Juma Kintu.Shirikisho la Muziki Tanzania, ‘SHIMUTA’ likishirikiana na NSSF...
View Article