Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10583 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA WATUMIAJI HUDUMA SUMATRA LASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA MIAKA 40...

Afisa wa Elimu kwa Wateja kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Nicholous Kinyariri  akitoa maeklezo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Monica...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJIRA ZA VIJANA WANAOAJIRIWA KATIKA UTUMISHI WA UMMA ZAONGEZEKA

Ofisa Habari wa Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Kassim Nyaki (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.*******Na Dotto MwaibaleSERIKALI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARSENAL FC YATEMBELEA PSPF KWA LENGO LA KUSAKA FURSA ZA MAHUSIANO YA KIBIASHARA

Mkurugenzi wa Mahusiano ya kimaendeleo wa Klabu ya Arsenal Bw. Sam Stone (Kulia) akimkabidhi jezi ya timu hiyo Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu. Kushoto ni Bw. Daniel...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE: WANAOTAKA URAIS CCM, WAPAMBE WAO WANAONEZA TAARIFA ZA UONGO KUADHIBIWA

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari, Katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibara asubuhi hii, kuhusu moja ya maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM, ya kuwataka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA UWEKEZAJI YA UTT YAHIMIZA USHIRIKIANO WA SOKO LA HISA KWA NCHI ZA...

Ofisa Mkuu wa Uendeshaji wa Kampuni  ya Uwekezaji ya UTT, Migangala Simon (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu ushirikiano wa uwekezaji katika soko la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI ZINAZOWAJIBIKA KWA JAMII KUTAMBULIWA MACHI, 2015

Katibu wa Kamati ya Tathmini wa Taasisi ya Ushauri wa Biashara, Ernest Mwamwaja (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kampuni zinazowajibika kwa jamii...

View Article

IN LOVING MEMORY OF MARTIN LUTHER KING JR

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONESHO YA MIAKA 40 YA CHUO CHA USAFIRISHAJI (NIT) YAENDELEA DAR ES SALAAM

 Maonesho ya miaka 40 ya Chuo cha Usafirishaji (NIT) yanaendelea katika viwanja vya chuo hicho Mabibo Dar es Salaam ambapo taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Uchukuzi zinashiriki maoanesho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI WAUAWAWA KATIKA TUKIO LA UMAVIZI KITUONI IKWIRIRI NA SILAHA KUIBWA

 Kamishana wa Polisi Oparesheni na Mafunzo, Paulo Chagonja, katika picha hii ya maktaba akizungumzia tukio la uvamizi wa kituo cha Polisi Ushirombo.***** Watu wanaosadikika kuwa ni majambazi yamevamia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHC YAWAPA SOMO MAMENEJA WA MIKOA NA WATENDAJI WA SHIRIKA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikabidhi zawadi ya simu ya kisasa ya I Phone 6 kwaajili ya kuboresha ufanisi kwa Ofisa Mwandamizi Uendelezaji Biashara Fatima...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYALANDU AZIDI KUFANYA MAKUBWA MALIASILI NA UTALII, MAREKANI NA UJERUMANI...

Meneja wa Mbuga ya wanyama ya Selous, Benson Kibonde akimpatia maelezo kuhusu masalia ya injini ya mvuke iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazao Nyalandu (kushoto), waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARABARA YA ST MARY'S TABATA IMESAHAULIKA TENA

 Gari likipita katika barabara ya St Mary’s, Tabata  baada barabara hiyo  hiyo yenye urefu wa kilometa 1.6 kubomolewa baada ya ujenzi wake wa awali wa kiwango cha lami kulipuliwa na kuharibika ndani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMAVUBI WATUA MWANZA LEO HII, WAFANYA MAZOEZI KATIKA UWANJA WA CCM KIRUMBA.

Na Faustine Ruta, Mwanza Timu ya Taifa ya Rwanda (Amavubi) Imewasili leo Jijini Mwanza, Januari 21 kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Taifa Stars Maboresho itakayochezwa kesho kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODABODA ZETU NA MAKOSA YAO

Mwendesha pikipiki akiwa amewapakia abiria watatu kwa staili ya mshikaki huku yeye mwenye pamoja na abiria wake wakiwa hawajavaa kofia ngumu jambo ambalo ni hatari kwa usalama wao pindi chombo hicho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa amuaga muasisi wa TANU Monduli

Waziri mkuu wa zamani mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa  na mkewe mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu mzee Lazaro ole Ngoilenya Laizer aliyefariki juzi na kuzikwa leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pata Filamu ya Mdundiko kupitia Mtandao.

Katika maisha tunayoishi duniani sio vizuri kufanyiana mabaya, Kwani hujui kesho itakuaje. Malipo ni hapahapa Duniani . Fuatilia hii kupitia mtandao .......Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI UJENZI AKAGUA KIVUKO CHA MV UTETE

Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge(wa kwanza) akishuka ngazi  baada ya kukagua kivuko cha MV-Utete ambacho hakitoi huduma ya usafirishaji kutokana na kupungua kwa kina cha maji cha mto...

View Article


PATA NGOMA MCHANGANYIKO ZA ZAMBIA FLEVA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGE KUANZA VIKAO VYAKE JUMANNE JANUARI 27-FEBRUARI 7, 2015 DODOMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTIAJI SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA KUKIUNGANISHA CHAMA CHA SPLM CHA SUDAN...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Salva Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto), Makamu wa Rais wa zamani wa Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) na Bw. Deng Alor Kuol wakitia saini...

View Article
Browsing all 10583 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>