PANAMA FC,BOOM FC,KUANIKA 18 BORA LIGI YA MKOA WA DAR ES SALAAM
Mechi ya kiporo katika michuano ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam kati ya klabu za Panama FC dhidi ya Boom FC, itapigwa kesho kwenye uwanja wa Airwing,ukiwa ni mchezo ambao utatoa fursa kwa DRFA...
View ArticleZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA PEMBA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiweka kifaa cha umeme kwenye transfoma wakati wa uzinduzi wa uwekaji nguzo za umeme katika Kijiji cha Chanjaani, Jimbo la Mtambwe, Wilaya ya Wete, Mkoa wa...
View ArticleWANACHI WALALAMIKIA UGUMU WA MAISHA LICHA YA KUWA NA RASILIMALI ZA KUTOSHA
WILLIAM MUNGAI ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la mufindi kasikazi akiwa ametoka kumpokea makamu mwenyekiti wa BAVICHA taifa Ole Sosopi makamu mwenyekiti wa BAVICHA taifa Ole Sosopi...
View ArticleMSIPO TUTETEA BUNGENI NASI HATUTA WATETEA KWENYE KURA
POROJO HII PIA IMETOKA KATIKA GAZETI LA HABARILEO LA LEO KAMA WAZO LA MWANDISHI UK WA 6.
View ArticlePata Filamu ya I LOVE MWANZA kupitia Mtandao
Mapenzi yanamfanya mtoto wa senetor Michael Nsonko kutoka Nairobi Kenya na kuja katika jiji la mwanza Tanzania. Alivutiwa sana na jiji hilo nakujiona ni mwenye bahati. Je kila kiang'aacho ni Dhahabu?....
View ArticleVETA YASAINI MKATABA WA UJENZI WA KITUO CHA MAFUNZO YA UDEREVA CHA "ANZEN...
Mkuu wa Chuo cha VETA,Samuel Ng'andu (kushoto) na balozi mdogo wa Japan nchini, Kazuyoshi Matsunaga, wakitia saini mkataba wa Ujenzi wa Kituo cha mafunzo ya udereva cha "Anzen Unten"kilichopo Temeke...
View ArticleWAZIRI WA NISHATI NA MADINI NA NAIBU WAKE WAANZA KAZI RASMI KWA KUTEMBELEA...
Meneja Mradi wa Kinyerezi I kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco), Simon Jilima (katikati) akielezea maendeleo ya mradi wa Kinyerezi I kwa Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene...
View ArticleKUTOKA BUNGENI HII LEO MJINI DODOMA
Mwanasheria Mkuu wa Serikali akiapa Bungeni mjini Dodoma Januari 27, 2015. Spika wa Bunge, Anne Makinda akiongozwa na Mpambe kuingia kwenye ukumbi wa Bunge Januari 27, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo...
View ArticlePOLISI DODOMA WAKATAMA WAHAMIAJI HARAMU
Mnamo tarehe 26/01/2015 majira ya 15:55hrs katika eneo la Nala kwenye Mzani wa Magari (Weight Bridge) Kata ya Nala Tarafa ya Zuzu Manispaa ya Dodoma walikamatwa watu wanne (4) raia wa Ethiopia wakiwa...
View ArticleTANZANIA LAUNCH TOURISM PROMOTION CAMPAIGN IN THREE CITIES OF AMERICA'S WEST...
Permanent Secretary, Ministry of Natural Resources and Tourism Dr. Adelhelm Meru delivering his speech during the launching of the tourism promotion campaign in the US West Coast at the Peninsula Hotel...
View ArticleLIPUMBA AFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU LEO
Mwenyekiti wa Chama cha Wanachi CUF, Prof Ibrahim haruna Lipumba akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo alipofikishwa kusjibu shitaka la kuhamasisha wanacham awa chama chake kufanya...
View ArticleUTT YAANZA KUUZA VIWANJA NEW CHALINZE CITY
TANGAZO KWA UMMAMkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyo chini Wizara ya Fedha anautangazia Umma juu ya upimaji na uuzaji wa viwanja katika mji wa Chalinze (New Chalinze...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE MGENI RASMI MAADHIMISHO SIKU YA SHERIA
Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Othman Chande (Kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini mwaka 2015. Maadhimisho hayo yanaongozwa na maudhui yasemayo “...
View ArticleKINANA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUIKEMEA CUF KUWAITA MAKAFIRI WANAOHAMIA CCM
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Pujini wilayani Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi...
View ArticleJanuary Makamba na ndoto ya vituo vya Michezo vya Kanda
Na Mwandishi WetuMbunge wa Bumbuli na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Habari na Masoko ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambaye hivi karibuni pia ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya...
View ArticleMKUTANO WA KIMATAIFA WA TAASISI YA USAFIRISHAJI NA UCHUKUZI TANZANIA (CILT)...
Balozi wa Heshima wa Taasisi ya Kimataifa ya Usafirishaji na Uchukuzi Tanzania (CILT), Waziri wa Jumuia ya Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe (kulia), akizungumza katika mkutano wa maandalizi ya...
View Article