WAFUASI 30 WA CHAMA CHA CUF WATINGA MAHAKAMANI HII LEO
Wanachama 30 wa Chama cha Wananchi CUF, leo wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam na kusomewa mashitaka matatu yanayo wakibili.Washitakiwa hao waliofikishwa mbele ya Hakimu Mkazi,...
View ArticleSAUTI ZA BUSARA WAMTAMBULISHA RASMI ALI KIBA
Msanii wa Bongo fleva nchini, Ali Kiba akiimba akapela moja ya nyimbo zake wakati wa mkutano huo na wandishi wa habari (Hawapo pichani), katika mkutano huo juu ya ushiriki wake kwenye tamasha hilo...
View ArticleAirtel yatoa msaada wa Vitabu shule ya Secondary Nanj Monduli,Arusha
Meneja Mauzo wa Airtel Kanda ya Kaskazini Brighthon Majwala akikabithi vitabu kwa Afisa Elimu wa shule za sekondari halimashauri ya Monduli Bwana Shaban Kasim Mgunya kwaajili ya shule ya sekondari...
View ArticleKUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akifurahia jambo na Mbunge wa Viti Maalumu, Zainabu Vullu katika viwanja vya bunge walipohudhuria kikao cha pili cha mkutano wa 18 wa Bunge...
View ArticleTemeke mabingwa Wa Proin Women Taifa Cup
Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo, Mh Dkt Femella Mukangara (wa pili kushoto) akiwasili katika uwanja wa Azam Complex Chamanzi wakati wa fainali ya Mashindano ya Proin Women Taifa Cup...
View ArticleMIAKA 38 YA CCM MJINI SONGEA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wakati akiingia kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM ambapo kitaifa...
View ArticleVIJANA IRINGA WAMCHANGIA FEDHA FRANK KIBIKI ZA KUCHUKULIA FOMU YA UBUNGE...
Kibiki akibadilishana mawazo na mmoja wa wanachama wa tujiwezeshe cha kituo kikuu cha mabasi mjini Iringa Katibu wa kikundi cha tujiwezeshe chenye wanachama zaidi ya 560, wa kituo kikuu cha mabasi...
View ArticleHAMAD RASHID AWAASA WANAFUNZI KUJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF
Mgeni rasmi Hamad Rashid ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Wawi kupitia CUF akizunguza na wanafunzi walioudhuria kwenye siku ya Career Day iliyofanyika kwenye viwanja vya chuo cha Biashara (CBE) jijini Dar...
View ArticleFRANCIS CHEKA AHUKUMIWA MIAKA MITATU JELA
Mwanamasumbwi maarufu Francis Cheka akiwa chini ya ulinzi wa Polisi baada ya kuhukumu ya miaka 3 jela. Akikwea gari la polisiBONDIA nyota wa ngumi za kulipwa nchini aliyewahi kuwa Bingwa wa Dunia wa...
View ArticleKUTOKA BUNGENI DODOMA HII LEO
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akijibu maswali wakati wa kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni leo.Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anne Kilango...
View ArticleVITA ZIDI YA UJANGILI VIMEZAA MATUNDA : KAMATI YA BUNGE
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira James Lembeli akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Kamati yake kwa Kipindi cha Mwaka 2014, Bungeni mjini Dodoma. Hussein...
View ArticleDRFA,YAIFAGILIA TEMEKE KUTWAA UBINGWA TAIFA CUP
Chama cha kandanda mkoa wa Dar es salaam DRFA, kimeipongeza timu ya Temeke kwa kutwaa Ubingwa wa Taifa Wanawake,baada ya kuifunga Pwani kwa bao 1-0,kwenye mchezo wa fainali uliopigwa jumapili ya...
View ArticleRAIS WA UJERUMANI JOACHIM GAUCK AKARIBISHWA IKULU NA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mgeni wake Ikulu Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck ambaye ameongozana na mke wake Bibi schadt leo tarehe.03.02.2015 Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleWateja wa Airtel kushinda gari Moja Kila Siku
Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Levi Nyakundi (kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni hiyo, Beatrice Singano Mallya (kulia) wakionyesha kipeperushi...
View ArticleWAMILIKI WA VIWANDA WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADADISI WA SENSA YA VIWANDA.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Maria Bilia akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya wadadisi 200 wa Sensa ya Viwanda itayofanyika nchi nzima mwezi huu. Mafunzo hayo yanafanyika...
View ArticleKUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma. Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhandishi Athumani...
View ArticleNCHIMBI ASEMA CCM HAINA TATIZO LA KIMUUNDO WALA MFUMO
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Sherehe za Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea, Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza katika maadhimisho ya miaka 38 ya CCM,...
View Article