USHIRIKI DARFUR MIKONONI MWA SERIKALI- TENGA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amesema kuwa ushiriki wa klabu za Tanzania kwenye mashindano ya Kombe la Kagame yaliyopangwa kufanyika kwenye miji ya Darfur...
View ArticleKAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAAHIDI KUENDELEZA UDHAMINI TAMASHA LA BULABO
Kiongozi wa kikundi cha Basesilia Bujora, akionyesha umahiri wake wa kucheza na nyoka katika siku ya mwisho wa tamasha hilo ambapo kikundi chake kiliibuka washindi wa siku hiyo, Tamasha hilo lililodumu...
View ArticleAUNT EZEKIEL AKUTANA NA BODI YA FILAMU.
WASANII wa filamu nchini wameshauriwa kuwasilisha miswada ya filamu kwa Bodi ya Filamu ilkaguliwe na kupewa kibali kama unafaa,umefata sheria na haujakiuka maadili ya sheria ya Filamu na Michezo ya...
View ArticleWAKAZI WA DAR NA MWANZA WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUMEZA DAWA
Dk. Mwelecele Malecela-Mkurugenzi wa NIMR Hussein Makame –MAELEZOSERIKALI imewaomba wananchi wa mikoa ya Dar es Salaam na Mwanza wenye umri kuanzia miaka mitano na kuendelea kujitokeza kwa wingi...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KUPOKEA...
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akiongoza kikao cha Maalum ya CCM 'Kamati Kuu' kilichokutana jana usiku mjini Dodoma kwa ajili ya kuipokea Rasimu ya...
View ArticleLWAKATARE WA CHADEMA ATOKA KWA ZAMANA
Mkurugenzi wa Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare akizungumza na wanahabari baada ya kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam baada ya kupewa...
View ArticleRAIS KIKWETE AAPISHA MABALOZI WAWILI DODOMA LEO
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kuli) , anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Anthony...
View ArticleWAALGERIA KUCHEZESHA TAIFA STARS, IVORY COAST
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeteua waamuzi kutoka Algeria kuchezesha mechi kati ya Taifa Stars na Ivory Coast itakayofanyika Jumapili saa 9 alasiri kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es...
View ArticleBALOZI KHAMIS KAGASHEKI AFUNGUA MKUTANO WA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI NA...
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki akifungua mkutano wa Shirika la Hifadhi za Mbuga za Taifa TANAPA na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Wajibu wa vyombo vya habari katika...
View ArticleREDD'S MISS TANGA 2013 KUFANYIKA JUNI 22,MKWAKWANI
WAREMBO wanaowania shindano la kumtafuta mlimbwende wa mkoa wa Tanga Redd's Miss Tanga 2013 wakiwa katika pozi mara baada ya kumalizika mazoezi yao kwenye ukumbi wa Lavida Loca jijini Tanga,ambapo...
View ArticleLILIAN SOTI ATWAA TAJI LA REDD'S MISS KIGOMA 2013
Mrembo wa mkoa kigoma kwa mwaka 2013 Lilian Soti (aliyekaa) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Faidha Hamisi (kulia) na mshindi wa tatu Hapiness Arbogast (kushoto) muda mfupi baada ya...
View ArticleMKUTANO WA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI NA TANAPA WAENDELEA MKOANI IRINGA
Mkurugenzi wa Shirika la hifadhi za taifa TANAPA Allan Kijazi akijibu baadhi ya maswali kutoka kwa washiriki wa mkutano wa wahariri wa vyombo vya habari na TANAPA unaofanyika kwenye ukumbi wa Siasa na...
View ArticleKILI MUSIC AWARDS WINNERS TOUR 2013 HIYOOO INAKUJA ULIPO
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa Kili Music Tour 2013 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kala Jeramiah na Nasssib Abdalah 'Diamond'. Msanii wa muziki...
View ArticleKAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YATUNUKUIWA CHETI NA SHIRIKA LA VIWANGO LA...
Mkurugenzi wa uzalishaji na usambazaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Mark Taylor (katikati) na Meneja viwango wa SBL, Paul Kitambi wakionesha cheti walichotunukiwa na Shirika la Viwango la...
View ArticleREDD'S MISS KINONDONI 2013 WATEMBELEA WAGONJWA NA KUFANYA USAFI HOSPITALI YA...
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni Dokta Gunini Kamba (katikati) akiwa na mratibu wa shindano la Redd's Miss Kinondoni 2013, Ssebo wakitoa maelekezo kwa warembo mara baada ya warembo hao kutembelea...
View ArticleJAJI BOMANI ASHAURI KUPIGWA KURA ILI KUABAINI MFUMO WA MUUNGANO
NA BELINDA KWEKA – MAELEZO, DSJMWANASHERIA Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Mack Bomani ametoa wito wa kupingwa kwa kura ya maoni kwa wakazi wa Tanzania Visiwani ili kuona kama wanahitaji mfumo gani wa...
View ArticleMKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WANANCHI KUJIUNGA NA NHIF,CHF NA TIKA WAFANA...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza, akihutubia katika mkutano wa wadau wa kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Biama ya Afya mkoani Pwani leo.Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa...
View ArticleTUZO ZA FILAMU ZA STEPS KUFANYIKA JUMAMOSI
Na Mwandishi WetuKampuni ya usambazaji wa filamu Tanzania ya Steps Entertainment limited Jumamosi itatoa tuzo kwa wasanii, Watayarishaji, Waongozaji, na wadau mbalimbali waliopo katika tasnia ya...
View ArticleMuseveni awapongeza Mwalimu Nyerere,Karume
Na Mtuwa Salira,EANA Arusha, Juni 12,2013 (EANA)--Rais Yoweri Museveni wa Uganda (pichani juu) amewaelezea viongozi waanzilishi wa taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere na Shekhe Abeid Karume kuwa...
View Article