WAKAZI DAR WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR
Ilikuwa ni simanzi kwawale hasa waliokuwa wakipata Burudani kutoka kwa Albert Mangwair na hakika aliyethibitisha kwa kuona kuwa sasa amelala na hainuki hadi Masiha atakapo rudi walishindwa kujizuia...
View ArticleRedds Miss Sinza 2013 inatisha- Lundenga
Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashim “Uncle” Lundenga akisisitiza jambo na kwa warembo wa Redds Miss Sinza 2013 alipotembelea kambi ya mazoezi hayo. Warembo hao watapanda jukwaani Ijumaa...
View ArticleTBL YANGARA KILELE SIKU YA MAZINGIRA DAR
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick akimkabidhi tuzo Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu baada ya kampuni hiyo kuibuka mshindi wa kwanza kwa kusaidia utunzaji wa...
View ArticleRais Kikwete awatunuku Nishani Askari 29 wa Magereza kanda ya Nyanda za Juu...
Kamishina Jenerali wa Magereza CGP John C. Minja Akikagua Gwaride maalum lililoandaliwa na maaskari wa Jeshi la Magereza kwa ajili yake mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo kwa ajili ya...
View ArticleUJUMBE WA KIKOMUNISTI CHA VIATNAM WATUA DAR ASUBUHI HII
Balozi wa Vietnam Tanzania, NguyenThien akimtambulisha Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Kimomunisti Cha Viatnam (CPV), Hoang Binh Quan kwa katibu Mkuu wa Umoja...
View ArticleMALKIA WA TAARAB HADIJA KOPA AFIWA NA MUMEWE LEO
Jafari Ally enzi za uhai wake akiwa na mkewe Malkia wa Mipasho nchini Tanzania, Khadija Omar Kopa wakifuatilia onesho la Mshauzi Classic ndani ya Mango Garden. Habari zilizoufiki mtandao huu hivi...
View ArticleWAJUMBE WA BODI YA NHIF WAFANYA ZIARA MAKAO MAKUU
Wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) jana walifanya ziara katika ofisi za Makao Makuu ya Mfuko huo kwa lengo la kutembelea ofisi hizo na kuangalia mazingira ya kazi. Wajumbe...
View ArticleHADIJA KOPA NI KILIO BAADA YA KUPOKEA TAARIFA ZA KIFO CHA MUMEWE
Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza kuapanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija Omar Kopa kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya kupewa...
View ArticleAFRICA BARIC GOLD WAIMWAGIA FEDHA REDD'S MISS MARA 2013
Ofisa kutoka kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano wa Barrick Gold Mining Fatuma Mssumi akimkabidhi Kaimu Ofisa Tawala wa Mkoa wa Mara mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi milioni 10, ikiwa ni...
View ArticleKENYA YATWAA UBIGWA NA KUING`ARISHA AFRIKA MASHARIKI PAN-AFRICAN GUINNESS...
Haijawai kutokea mpambano mkali katika GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE kama uliooneshwa jana katika fainali za mchuano Pan-African Guinness Football Challenge kupitia televisheni za ITV na Clouds TV...
View ArticleVijana wengi wajitokeza kwenye usaliji wa Airtel Rising Stars
USAJILI wa timu za mikoa inayoshiriki mashindano ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars mwaka huu umekuwa na mwitikio mkubwa miongoni mwa vijana wa umri huo katika mikoa ya...
View ArticleNYUMBA YA MILELE YA ALBERT MANGWEHA
Hili ndilo kaburi la Msanii Albert Mangweha aliyefariki ghafla Mei 28, mwaka huu nchini Afrika Kusini na kuzika leo Kihonda mkoani Morogoro. M2 THE P amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa...
View ArticleMATEMBEZI BARCLAYS YA Step Ahead Walk 2013 KUFANYIKA TAREHE 08 JUNE, 2013
Kila mwaka Benki ya Barclays inaandaa matembezi ya kuchangisha fedha yaliyobatizwa kwa jina la Step Ahead Walk. Mchakato huu umekuwa ukiendelea toka mwaka 2006 na Tanzania walifanya Step Ahead yao ya...
View ArticleNGUMI KUPIGWA SIKU YA TAMASHA LA MATUMAINI
Bondia Thomas Mashali (kulia) akitia saini ya dole gumba kwenye mkataba wa kupambana kwa ajili ya kuchangia elimu siku ya Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Julai 7, mwaka huu katika uwanja...
View ArticleKENYATTA AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI KENYA
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta leo ameongoza kikao cha kwanza cha baraza lake jipya la Mawaziri na kuwataka mawaziri hao kufanya kazi zao ipasavyo na kutimiza ahadi za serikali ilizoahidi wakati wa...
View ArticleBASATA MNAISAIDIAJE FAMILIA YA NGWEAIR KWA MAHARAMIA HAWA
Ikiwa ni takribani siku kumi tu tangu mauti yamfike Msanii Albert Mangweha a.k.a Mimi tayari CD na VCD za kazi zake zimeanza kuuzwa mitaani kama njugu hasa katika maeneo mbalimbali ya mikusanyiko na...
View ArticlePOULSEN: MOROCCO INAFUNGIKA KWAO
Na Mwandishi Maalumu,Marrkech, MoroccoHuku Timu ya Taifa Taifa Stars ikikabiliwa na mechi muhimu kesho (Jumamosi) dhidi ya Morocco kusaka tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia, Kocha Kim Poulsen...
View ArticleWAREMBO WATATU BORA WA REDD'S MISS TANZANIA 2012 KUVULIWA MATAJI YAO LEO
Redd's Miss Tanzania, Brigitte Alfred (katikati) akiwa sambamba na Mshindi wa Pili wa Taji hilo Eugenia Fabian (kushoto) na Edna Sylvester wakati warembo hao walipo twaa nafasi tatu za juu za Redd's...
View Article