HOTEL YA DOUBLETREE BY HILTON YA JIJINI DAR YAFANYA USAFI WA MAZINGIRA...
Mkurugenzi mkuu wa Hotel ya Double Tree by Hilton nchini Tanzania, Bw.Ian Mclachan (wa pili kutoka kushoto) akifanya usafi katika ufukwe wa Bahari inayoizunguka Hoteli ya Double Tree huku...
View ArticleKAMPENI YA UELEWA KUHUSU TATIZO LA USONJI YAZINDULIWA JIJINI DAR
Mkurugenzi Mtendaji wa Lotus Clinic, Dialla Kassam (katikati), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi wa kampeni maalum ya kueneza uelewa kuhusu tatizo...
View ArticleTAARIFA YA MAKUSANYO UJENZI YA MSIKITI INAENDELEA
Kwa Jina la M/Mungu nina anza Andika , Nawashukuru Ndugu zangu WA TANZANIA ,KENYA na wasio kuwa hao kwa Upamoja wao wa Michango yao ya hali na Mali katika Kuimarisha UJENZI WA MSIKITI UNAONA KATIKA...
View ArticleTAMASHA LA KOMAA CONCERT LILIVYOFANA NDANI YA KIOTA CHA MARAHA CHA DAR LIVE...
Msanii Snura na Madansa wake wakilishambulia jukwaa la KOMAA CONCERT. Uongozi pamoja na Wafanyakazi wa kituo cha radio ya EFM 93.7 kwa pamoja wakikata keki kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa kituo...
View ArticleWAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA 50...
Hizi ni miongoni mwa nyumba 50 za gharama nafuu zilizojengwa na NHC katika mtaa wa Bukondamoyo kata ya Mhungula katika halmashauri ya Mji Kahama mkoani Shinyanga. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
View ArticleJAJI ANTONY BAHATI KUZIKWA LEO
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Jaji mstaafu, Antony Bahati nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam. Mazishi ya jaji Bahati yatafanyika kesho Juni 2 katika makaburi ya Kinondoni....
View ArticleMBUNGE WA UKONGA AFARIKI
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Ukonga marehemu Bi. Eugen Mwaiposa ambaye amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake mjini Dodoma. Taarifa za kifo chake zimetangazwa wakati bunge likiendelea na...
View ArticleRAIS WA FIFA SEPP BLATTER AJIUZULU
The president of 17 years has stepped down in light of the corruption scandal sweeping through the world governing body Sepp Blatter has announced he will step down as president of Fifa, calling an...
View ArticleSUMAYE ATANGAZA NIA YA URAIS HII LEO
Waziri Mkuu mstaafu Sumaye (kulia), akizungumza na wanahabari na wadau wengine wakati akitangaza nia hiyo.*****Na Mwandishi WetuWAZIRI Mkuu Mstaafu, Mhe. Fredrick Sumaye ametangaza nia ya kuwania...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MKUTANO WA...
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima akikata utepe kuzindua mkutano wa Kimataifa kuhusu Vitambulisho vya Taifa vya Kielektroniki, ulioanza leo jijini Dar es Salaam...
View ArticleKINANA KUANZA ZIARA KESHO KUELEKEA KAGERA, GEITA ,MWANZA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Nape Nnuye akizungumza na waandishi wa habari ambapo alizungumzia ratiba ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana katika mikoa mitatu...
View ArticleKONGAMANO LA KWANZA LA WANAWAKE WAFANYABIASHARA SOKONI TANZANIA LAFANYIKA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika Equality for Growth (EfG), JaneMagigita akizungumza na waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo Dar es salaam leo.Ofisa Programu Dawati...
View ArticlePSPF WAKABIDHI MSAADA KWA WANANCHI WA JIMBO LA CHUMBUNI ZANZIBAR
Ofisa wa Mfuko wa Pensheni PSPF Tawi la Zanzibar Hazina Konde akimkabidhi msaada wa Magogoro Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ame Perera kwa ajili ya Wananchi waliopata maafa ya mvua na...
View ArticleTaswa FC kujipama na Baobab Sekondari
kikosi cha baobabMchezaji wa timu ya soka wa waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa fc), Martin Peter (jezi ya kijani kulia) akipambana na mmoja wa wachezaji wa timu ya makipa, Ivo Mapunda.Na...
View ArticleMAREHEMU MWAIPOSA KUZIKWA JUMAMOSI NYUMBANI KWAKE KIPUNGUNI B
MBUNGE wa jimbo la Ukonga, dar es Salaam eugin Elishiringa Mwaiposa (55) anataraji kuzikwa Jumamosi Juni 6,2015 nyumbani kwake Kipunguni B.Taarifa kutoka kwa mmoja wa wanafamilia waliambia Father...
View ArticleSAMUEL SITA NAE ATANGAZA NIA YA URAIS
Mh Samuel Sitta akitangaza nia leo mchana Itetemia TaboraMheshimiwa Samuel Sitta leo hii alitangaza rasmi nia yake kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Alitangaza nia yake hiyo mbele ya...
View ArticleDC ILALAASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KATA YA KIVUKONI
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kushoto) akishiriki zoezi la usafi katika fukwe ya Bahari ya Hindi eneo la Aga Khan kata ya Kivukoni ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Mazingira huku akishirikiana...
View Article