KAULI YA MHE JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mfadhaiko, mshituko na huzuni kubwa taarifa za shambulio la mlipuko lililotokea katika mkutano wa Chama cha...
View ArticleKAMPUNI YA STEPS YANOGESHA TUZO ZA BONGO MOVIE.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Steps, Diresh Solanki akimpa tuzo msanii bora wa kiume katika tasnia ya filamu nchini Jacob Stevin JB wakati wa utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika usiku wa kuamkia leo na...
View ArticleIDD AZAN, HALIMA MDEE WAJIANDAA KUWAKABILI WOLPER NA JB
Halima Mdee na Idd Azan wakijifua mkoani Dodoma.Mazoezi yakiwa yamepamba moto.VideoMdee akijiimarisha kwa ajili ya kumkabili Wolper.Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na Idd Azan ambaye ni Mbunge wa...
View ArticleRedds Miss Temeke waanza kujinoa
VIMWANA 16 wa kanda ya Temeke, wameanza kujinoa leo(Juni 17) kwenye klabu ya TCC Chang'ombe, tayari kwa kinyanga'nyiro kitakochafanyika Julai 5, mwaka huu katika ukumbi huo.Idadi hiyo ya warembo ni...
View ArticleLUCY CHARLES NDIYE REDDS MISS MWANZA 2013
Redd's Miss Mwanza 2013, Lucy Charles akipozi kwa picha mara baada ya kuvikwa taji hilo. Kinyanganyiro cha kumtafuta mnyange wa mkoa wa Mwanza kwa mwaka 2013, kiliteguliwa usiku wa ijumaa baada ya...
View ArticleARUSHA MABOMU YA MACHOZI YARINDIMA LEO
Polisi wa Kutuliza ghasia wakifyatua mabomu ya machozi.(Picha ya Maktaba). Mahmoud Ahmad Arusha Jeshi la polisi limekipiga marufuku chama cha demokrasia na maendelo(CHADEMA)kufanya shughuli zozote za...
View ArticlePINDA AZINDUA MRADI WA KUIMARISHA HALMASHAURI MJINI MOSHI
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (katikati), Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini, Philippe Donger (kushoto) na waziri wa nchi Tamisemi, Hawa Ghasia(wapili kushoto) na baadhi ya washiriki katika hafla ya...
View ArticleMafunzo kwa Wakufunzi kutoka VETA na Taasisi za Teknolojia
Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia hotuba ya ufunguzi kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Ngosi Mwihava (Hayupo pichani)mafunzo hayo ni maalum kwa wakufunzi wa Vyuo...
View ArticleTANGAZO LA MSIBA WA MAREHEMU MWL. PHILIP NHIGULA
MAREHEMU MWL. PHILIP NHIGULA (1927-2013)FAMILIA YA MAREHEMU MWALIMU. PHILIP NHIGULA WA MALYA MWANZA WANASIKITIKA KUONDOKEWA KWA BABA YAO MPENZI MWALIMU PHILIP NHIGULA (86) ALIYEFARIKI TAREHE 17/06/2013...
View ArticleHABARI ZA KANDANDA KUTOKA TFF HII LEO
PONGEZI KWA WASHABIKI KUIUNGA MKONO STARSShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linawashukuru washabiki kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia kati ya Taifa Stars na...
View ArticleLANGA AZIKWA
Picha mbalimbali za Mazishi ya Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya 'Bongo Fleva' Langa Kileo katika picha.
View ArticleJAY DEE, ROMA, DIMPOZ,KIBA, PFOF J, BEN POL,LINEX NA KALA JEREMAYA KUWASHA...
Tanzania Breweries Limited (TBL) chini ya nembo yake ya Kilimanjaro Premium Lager, inaanza rasmi tamasha kubwa la muziki lijulikanalo kama ‘Kili Music Tour’ wikiendi hii mjini Dodoma.Tamasha...
View ArticleWASHINDI WA GOLDEN BRIFCASE ZA BARCLAYS BANK WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
Meneja Mawasiliano wa Barclays, Tunu Kavishe, (katikati), Kaimu Mkurugenzi wa Benki, Kitengo cha Wateja Binafsi, Musa Kitoi wakiwa na washindi wa droo ya pili ya Golden Briefcase Campaign jijini Dar...
View ArticleEBSS KUANZA KUTIMUA VUMBI JUNI 29
Mshindi wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2012, Walter Chilambo akizungumza na waandishi habari jijini Dar es Salaam. Mshindi wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2012, Walter Chilambo (katikati)...
View ArticleMWANDISHI HILILA WA CHANNEL TEN AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa Mwandishi wa habari wa Kituo cha Channel ten Bw.Charles Hilila amefariki dunia saa saba usiku katika Hospitali ya mkoa wa Shinyanga ambako alikuwa amelazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya...
View ArticleTANGAZO LA SHUKRANI YA MWAL. ADELIA NKWITA
Familia ya Mzee Issa Nakaunda Mangosongo inapenda kutoa shukrani kubwa kwa wotewalioshiriki kwa namna moja au nyingine katika msiba wa mama yetu mpendwa Mwl. Adelina Ambrose Nkwita, pichani hapo...
View ArticleTIGO PARTNERS WITH THE GUARDIAN LIMITED TO LAUNCH NEWS SMS SERVICE
The Guardian Limited, Marketing Manager Mr. Simon Marwa (righ) speaking with media people in Dar es salaam yesterday on the new product ‘News SMS service’, known as ‘GUARDIAN SMS’ and ‘NIPASHE SMS’ to...
View ArticleGRAND MALT YAPANDA MITI SHULE YA MSINGI MLIMANI JIJINI DAR LEO
Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni,Bi. Merry Komba akishirikiana na Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Fimbo Butallah kupanda mti kwenye eneo la Shule ya Msingi Mlimani...
View ArticleBRIGETTE KUVUA TAJI LA PILI KESHO REDD’S MISS KINONDONI
Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania,Hashim Lundega akiongea na warembo wanaowania taji la Redd's Miss Kinondoni 2013 mara baada ya kuwatembelea kambini kwao ili kuona Maendeleo yao. Lundenga aliwaasa...
View ArticleAirtel yakabidhi vifaa kwa timu zinazoshiriki Airtel Rising Stars
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando (kushoto) akikabidhi vifa vya michezo kwa Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF Sunday Kayuni na Mwenyekiti wa DRFA Almasi Kasongo kwa ajili ya timu...
View Article