Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10770 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEMBE ANUSURIKA AJALI YA NDEGE ZANZIBAR

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (pichani) , amenusurika kifo baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kutoka Iringa kwenda Zanzibar kutaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMKO LA WANAHARAKATI WA KIJINSIA: BAJETI YA 2015/16

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamba aitikisa Ruvuma, udhamini wa watu 3550 wavunja rekodi

 Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa Bumbuli, January Makamba amewataka makada wote waliomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea nafasi ya urais ndani ya Chama  kuwa wanakiacha chama hicho kuwa salama baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF YAWANUFAISHA YATIMA NA WAHUDUMU WA WAGONJWA MAHOSPITALIN

Mhasibu Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdulkarim Kisuguru akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi misaada ya vyakula pamoja na vifaa vya shule katika Kituo cha Kulelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. MALECELA ASAKA WADHAMINI KATIKA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk. Mwale Malecela  pichani kabla ya kuingia  katika chumba cha habari katika Redio ya Mwambao iliyopo Tanga eneo la Kange ndani ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KINANA MKOANI KAGERA

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipanda mti wa kumbukumbu, katika Kituo cha Afya cha Kashinga, kata ya Nyakisasa, alipokagua ujenzi wa kituo hicho cha afya akiwa katika ziara ya kukagua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIKIBA ANGARA TUZO ZA KILI MUSIC AWARD 2015

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda(kulia) akimkabidhi ndugu wa karibu wa Mwanamuziki, Ally Kiba Tuzo ya tano katika hafla ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards iliyofanyika Mlimani City jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ACT WAZALENDO WAZINDUA AZIMIO LA TABORA

 Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya ,Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BM HAIR & BEAUTY CLINIC WAZINDUA HUDUMA MPYA JIJINI DAR

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akikata utepe kuzindua huduma mpya za BM Hair and Beauty Clinic huku akisaidiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya BM Hair & Beauty Clinic, Benno Chelele leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

23 WAFA KATIKA AJALI YA BASI LA ANOTHER G MKOANI IRINGA

WATU 23 wamefariki papo hapo huku wengine 34 wakijeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupinduka wakati likijaribu kuyapita magari mengine katika kijiji cha Kinyanambo A, Wilayani Mafundi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA...

Wake wa Marais wa nchi mbalimbali za Afrika wakibadilishana mawazo kabla ya kuhudhuria mkutano wa siku mbili wa Marais wa Afrika unaofanyika huko Johannesburg. Waliokaa kutoka kushoto kwenda kulia ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NASSAR AISHUKURU BENKI YA NMB KWA MISAADA INAYOENDELEA KUTOA KWA WANANCHI...

Meneja wa Benki ya NMB tawi la Usa River,Bernadeta Mmary akikabidhi msaada wa madawati kwa mwakilishi wa afisa elimu,Jumanne Masuke uliotolewa na benki kwa shule ya msingi ,Sura iliyopo kijiji cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH SHAABAN ISSA SIMBA AFARIKI DUNIA ASUBUHI HII

Habari zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki dunia.Akidhibitisha kutokea kwa kifo hicho Shehe Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhadi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHC YAPATA TUZO YA MWAJIRI BORA 2014

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga (wa kwanza kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), James Rhombo tuzo ya Mwajiri Bora wa Mwaka 2014 mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUFTI WA TANZANIA SHEIKH SHAABAN ISSA SIMBA KUZIKWA KESHO JUMANNE MAJENGO,...

  Sheikh Shaban Issa Bin Simba (78)  (Picha hii ilipigwa 28/7/2014 Wakati wa Swala ya Eid El Fitir, viwanja vya Mnazi Mmoja).  MWILI wa Mufti na Sheikhe Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaban Issa Bin Simba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA ADHAMINIWA KWA KISHINDO MJINI BUKOBA

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Edward Lowassa akipongezwa na Bibi huyu (ambaye jina lake halikuweza patikana kwa haraka) mara baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA, AONGOZA MAMIA MAZISHI YA BABA YAKE MSANII STEVE NYERERE

 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Francis Mengele. Waombolezaji wakiwasili makaburi ya Kinondoni tayari kwa mazishi. Marehemu Francis Festus Mengele, enzi za uhai wake. Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jokate awataka wasanii kuwa wabunifu ili kupata mafanikio

Jokate (kushoto) akizungumza katika mkutano wa jukwaa la sanaa. Katikati ni katibu mkuu wa Chama cha  Waandishi wa Habari za Sanaa na Utamaduni nchini, (CAJAtz), Hassan Bumbuli na mbunifu mkongwe wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AUNGURUMA WILAYANI CHATO

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Chato ikiwa siku yake ya kwanza ya ziara mkoani Geita baada ya kumaliza ziara ya siku 10 mkoa wa Kagera.Katibu Mkuu wa CCM anazunguka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMII ISHIRIKIANE KATIKA MALEZI YA WATOTO

JUNI 16 ya kila mwaka bara la Afrika huadhimisha siku ya mtoto wa  Afrika ikiwa ni tukio la kuwaenzi na kuwakumbuka watoto wa Soweto nchini Afrika Kusini waliofariki wakati wa maandamano ya kutaka haki...

View Article
Browsing all 10770 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>