WAZIRI BERNARD MEMBE AENDELEA KUPATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MKOA WA RUVUMA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (katikati) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa...
View ArticleMBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE MGENI RASMII NUSU FAINALI YA MTEMVU CUP
Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wajitokeza katika viwanja vya Mwembe Yanga wakifuatilia mpambano kati ya timu ya Mtoni dhidi ya Kata ya 14, zilipokuwa zikichuana ambapo katika mchezo huo,...
View ArticleBOA YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA UENDELEZAJI ARDHI YA AVIC
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Masia Mushi, akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa pamoja na Kampuni...
View ArticleRC GAMA AKANA KUFANYA UDALALI WA ARDHI
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akizungumza na wanahabari (hawako pichani) juu ya tuhuma zilizoibuliwa bungeni dhidi yake.Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa na mkuu wa wilaya ya...
View ArticleMWANAHABARI JAMILA KILAHAMA AFARIKI DUNIA
MWANDISHI wa habari, Jamila Kilahama ‘Jinamizi’ amefariki dunia.Taarifa iliyotufikia hivi punde inaarifu kuwa Mwandishi wa habari wa siku nyingi aliyepata kufanya kazi katika Kampuni ya Magazeti ya...
View ArticlePROF MUHONGO APATA WADHAMINI JIJINI DAR ES SALAAM
Profesa Sospeter Muhongo (aliyesimama), akimshuhudia mmoja wa wanachama wa CCM, Juma Minde (kulia), wakati alipokuwa akijaza jina lake kwenye fomu za kumdhamini, Ofisi za CCM, Wilaya ya Temeke, Dar es...
View ArticleJK ALIPOKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UHOLANZI JIJIJINI THE HAGUE
Rais Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi Rais Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi Ujumbe wa Rais Kikwete Balozi wa...
View ArticleWAZIRI BERNARD MEMBE APOKELEWA KWA KISHINDO MBEYA NA KUPATA WADHAMINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya...
View ArticleDKT.MAGUFULI AZIDI KUPATA WADHAMINI MIKOA YA KAGERA, MARA NA MWANZA
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya...
View ArticleTAARIFA YA UANDIKISHAJI MIKOA IFUATAYO
MKOAKUANZAKUMALIZAGEITA, SIMIYU, MWANZA na SHINYANGA.09/06/2015 09/07/2015MARA,ARUSHA,MANYARA,KILIMANJARO,MOROGORO na TANGA.16/06/2015 16/07/2015PWANI25/06/2015 /07/2015TABORA,KIGOMA,SINGIDA...
View ArticleWIMBO WA KUMUAGA JK KUTOKA UJERUMANI KWA NGOMA AFRKA BAND
SI WENGINE NI NGOMA AFRICA BAND AKA FFU -Ughaibuni yenye maskani kule ujerumani Mtunzi:Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja Waimbaji: Kamanda Ras Makunja Afande Chris-B ambaye pia ni mpiga solo...
View ArticleMEMBE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA UMOJA WA AKINAMAMA WA KIKRISTO, ZANZIBAR
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Umoja wa Kinamama wa Kikristo (UMAKI) wa Kanisa Angikana Dayosisi ya Zanzibar mjini...
View ArticleKAMPUNI YA MASOKO, NEC, OSIEA PAMOJA NA WASANII WAZINDUA KAMPENI YA...
Mmoja wa Wakurugenzi wa Kampuni ya Masoko inayojihusisha na masuala ya mawasiliano na masoko, Conctantine Magavila (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo,...
View ArticleLOWASSA APATA UDHAMINI MNONO SHINYANGA
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na motto mwenye ulemavu wa ngozi, Kabula Zacharia, anayetunzwa kwenye kituo cha kulea watu wenye ulemavu wa ngozi cha...
View ArticleWATOA HUDUMA MKOANI LINDI WAASWA KUCHANGAMKIA MIKOPO INAYOTOLEWA NA NHIF
Meneja wa Mfuko Mkoa wa Lindi Fortunata Raymond akifafanua dhamira ya mfuko katika kuleta mabadiliko kwenye sekta ya afya,kupitia mikopo iliyoboreshwa ,kwani hadi kufikia mwezi mei.2015 watoa huduma wa...
View ArticleMWAMNYANGE AZINDUA BARAZA LA USHAURI TCAA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Monica Mwamyange akizungumza wakati wa uzinduzi wa Baraza la Ushauri wa Watumiaji wa Huduma ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA-CCC) na semina ya wadau wa usafiri wa...
View Article