Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILIMANJARO YAVUNJA REKODI YA UDHAMINI KWA MH. LOWASSA, WANACCM 33,780...

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za wanachama 33,780 wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, waliomdhani ili aweze kupata ridhaa ya Chama chake katika kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi...

View Article


JARIDA LA WIKI NISHATI NA MADINI TOLEO LA 72

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ECOBANK YAFANYA MKUTANO WAKE WA MWAKA 27 WA WANAHISA JIJINI DAR ES SALAAM

 Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya na Menejimenti ya ECOBANK wakiongoza mkutano huo wa mwaka wa wanahisa wa benki hiyo jijini Dar es Salaam leo.Wanahisa, Bodi ya Wakurugenzi na MenejimentI ya ECOBANK...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAHABARI WA TANZANIA WATEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII NCHINI ZIMBABWE

Mungoza watalii katika mapango ya Chinhoyi katika mkoa wa Chinhoyi nchini Zimbabwe, Aleck Makumire akitoa maelezo wa timu ya waandishi wa habari kabla ya kushuka kwenye mapango hayo wakati wa ziara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA HADHARA WA CHADEMA MJINI MOSHI

Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemon Ndesamburo akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway.Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AZIDI KUPATA MAPOKEZI MAKUBWA KILA ANAKOKWENDA, SONGEA ALAZIMIKA...

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono wanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma.WAZIRI Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa amesema hana shaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUKO WA PESHNI WA PSPF WATOA ELIMU KWA MADEREVA TAXI WA WILAYA YA ILALA NA...

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma  akitoa maelezo ya kina kuhusu faida na huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTT AMIS ILIVYOSHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2015

Ofisa Mafunzo Idara ya Masoko UTT AMIS, Waziri Ramadhani (kulia) akitoa maelezo ya namna ya kujiunga na Mfuko wa Umoja wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA BANDA LA PPF KATIKA MAONESHO YA WIKI YA...

 Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembelea banda la Mfuko wa Pensheni wa PPF katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA SPORT CLUB WAZINDUA TOVUTI YAKE

AfisaMtendajiMkuuwa EAG Group Imani Kajula Akimwelezea Jambo Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva (Aliyekaa) Wakati wa Uzinduzi wa Tovuti ya Club Hiyo Anayeshuhudia ni Makamu wa Rais wa Club ya Simba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU KIONGOZI, BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA BANDA LA 'NHIF' KATIKA...

     Katibu Mkuu Kiongozi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa NHIF katika banda la maonesho ya wiki ya Utumishi. Katibu Mkuu Kiongozi akifurahi jambo na Ofisa Masoko na Elimu kwa Umma wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA USHAURI LA WATUMIAJI USAFIRI WA ANGA TCAA-CCC WASHIRIKI KIKAMILIFU...

Kikosi kazi cha Watumishi wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC) wakiwa tayari kutoa huduma kwa wageni mbalimbali watakaotembelea banda hilo katika maonesho ya Wiki ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ansaf, RCT waishauri Serikali ushuru wa mchele

Mkurugenzi Mtendaji wa Ansaf, Audax Rukonge akizungumza na waandishi wa habairi jijini Dar es Salaam, kwenye mkutano wa kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili wakulima wa mchele,Mwenyekiti wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYALANDU APATA WADHAMINI MKOANI KILIMANJARO

Katibu wa Jumuiya ya vijana wa Chama cha Mapinduzi,UVCCM wilaya ya Moshi mjini ,Joel Makwaia akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu alipowasili ofisi za CCM mkoa wa Kilimanjaro...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHC LAFANYA UHAKIKI WA VIKUNDI VYA VIJANA KATIKA MKOA WA LINDI NA MTWARA

Uhakiki wa vikundi vya vijana vilivyopewa msaada wa mashine na NHC ili kujiajiri na kusaidia wananchi kupata matofali ya kujengea nyumba bora umeanza katika Mikoa mbalimbali ukianzia na Mkoa wa Lindi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel yazindua ofa ya LUKU

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando (katikati) akiongea na waandishi wa Habari leokatikaofisiza Airtel jijini Dar Es Salaam wakati wa uzinduzi wa ofakabambeitakayowazawadiawateja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WATISHIA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA

Mwenyekiti wa kikosi kazi kutoka chama cha wasambazaji wa filamu Tanzania,Bw Moses Mwanyilu akionyesha baadhi ya filamu ambazo zinauzwa nchini bila kupata kibali kutoka bodi ya filamu Tanzania na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKWASA, MOROCCO WAPEWA MIKOBA YA KUINOA TAIFA STARS KWA MIEZI 3

BAADA YA timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Star' kufanya vibaya katika mechi zake nyingi na kupelekea kuvunja benchi lake la ufundi lililokuwa chini ya kocha mholanzi Mart Nooij, leo Rais wa TFF, Jamali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGE LAHITIMISHA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI 2015/2016

 Waziri wa Fedha, Saada  Mkuya akihitimisha Hoja ya Madirio ya Matumizi ya Wizara ya Fedha, Bungeni Mjini Dodoma Juni 23, 2015.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEDIA CAR WASH FOR CANCER JULAI 4, 2015

View Article
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>