Bayport Financial Services yamfuta machozi Latifa Said
Mratibu wa Bima ya Elimu kwa Uwapendao kutoka Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, Ruth Bura, kushoto akimkabidhi hundi Latifa Juma yenye thamani ya Tsh 3,000,000, baada ya mzazi wake Juma...
View ArticleSACCOS YA WALIMU MOSHI VIJIJINI WAPATA VIONGOZI WAPYA WA BODI
Baadhi ya wanachama waliojitokeza kuomba nafasi ya kuwania kuwa wajumbe wa Bodi ya Saccos hiyo wakiwa wameshika karatasi zeneye majina yao.Secretariety ya mkutano huo wakihesabu kura kwa ajili ya...
View ArticleRAMADHANI MASANJA 'BANZA STONE' YUPO HAI
Taarifa zinazoenea katika mitandao ya kijamii ya facebook, Twitter na WhatsApp juu ya kifo cha Mwanamuziki mnguli wa Mziki wa dansi hapa nchini Ramadhani Ramadhani Masanja 'Banza Stone' sio za kweli....
View ArticleWAWEKEZAJI KUTOKA CHINA WAVUTIWA NA ENEO LA VIWANDA WILAYANI KISARAWE MKOANI...
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Brendan Maro (kushoto), akizungumza na viongozi wa Halmshauri ya Wilaya ya Kisarawe, Wabia wa eneo la mradi wa Kampuni ya World...
View ArticleMBUNGE WA GEITA DONALD KEVIN MAX AFARIKI
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Geita (CCM) Mheshimiwa Donald Kevin Max (58)(picha) amefariki dunia. Kufuatia taarifa iliyotolewa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda...
View ArticleAIRTEL YATOA 20M/- KUFUTURISHA VITUO VYA WATOTO YATIMA NCHINI
Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi akikabidhi hundi yenye dhamani ya sh.milioni 20 kwa Naibu katibu Mkuu wa Bakwata, Sheikh Mohamed Khamis Said kwa lengo la kusaidia futari kwa...
View ArticleBALOZI MISS KILIMANJARO KUTAFUTWA MWEZI UJAO KATIKA UKUMBI WA KILI HOME RESORT
Baadhi ya warembo watakawo wania taji la Kilimanjaro Ambassador litakalofanyika Julai 24 katika ukumbi wa Kili Home Resort mkoa wa Moshi wakiwa katika picha ya pamoja leo katika hoteli ya Colosseum...
View ArticleMKWASA AITA 26 KUUNDA STAR, BENCHI LA UFUNDI YUPO KIBADENI
KOCHA wa Mpito wa Timu ya taifa Taifa Star, Mzawa kutoka Uluguruni, Charles Boniface Mkwasa ‘Master’ (pichani kulia na msaidizi wake) ametangaza kikosi cha wachezaji 26 wanaoingia kambini jijini Dar...
View ArticleLOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO JIJINI ARUSHA LEO, WANACCM 120,335 WAMDHAMINI
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, akizungumza na Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Jiji la Arusha waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa ulipo...
View ArticleTPB YAZINDUZ HUDUMA LAAMU YA AKAUNTI KWA VIKUNDI VISIVYO RASMI
Katika jitihada za kuwafikia Watanzania mbalimbali Benki ya Posta Tanzania (TPB) imezindua akaunti maalum kwa ajili ya Vikundi Visivyo Rasmi. Uzinduzi huo ulifanywa na Katibu Mtendaji wa Shirika la...
View ArticleTANGAZO LA MSIBA TANZANIA NA MAREKANI (MRS MARIAMU -MWAJUMA MUSISA (NEE MZIGE)
DR. ALI MZIGE wa Mikocheni, Dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha Dada yake MRS MARIAMU -MWAJUMA MUSISA (NEE MZIGE) kilichotokea Raleigh, North Carolina Marekani tarehe 21-06-2015. Mwili wa...
View ArticleMISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AKABIDHI MSAADA NA KUTOA ELIMU YA AFYA KWA WATOTO...
Miss Universe Tanzania 2014 Caroline Bernard akiwa katika moja ya madarasa ya shule hiyo leo.Miss Universe Tanzania 2014 Caroline Bernard leo amekabidhi msaada pamoja na kutoa elimu ya afya ya uzazi...
View ArticleMJENGWA KUUNGANISHA WATANZANIA WAISHIO NJE NA NDANI YA NCHI
Mratibu wa Kipindi cha Diaspora,Maggid Mjengwa akizungumza na waandishi wa habari juu ya kipindi cha Diaspora kitachoanza kuruka katika kituo cha TBC hivi karibuni katika ukumbi wa idara ya Habari...
View ArticleMAKAMBA AZOA WADHAMINI WILAYANI MISENYI MKOANI KAGERA
Mbunge wa Bumbuli na naibu waziri wa mawasilano, sayansi na teknolojia, January Makamba na mkewe, Ramona Makamba wakisalimiana na wanchama wa CCM wilayani Misenyi moani Kagera mara baada ya kuwasili...
View ArticleMWANDISHI EDSON KAMUKARA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA MOTO
Mwandishi wa habari Edson Kamukara (pichani) amefariki dunia leo.Taarifa zilizotufikia zinaarifu kuwa Mwandishi huyo aliyepata kuandikia gazeti la Tanzania Daima na baadae kuhamia Mwanahalisi amefikwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS BURUNDI ADAIWA KUKIMBIA
Makamu wa Rais wa Burundi, Gervais Rufyikiri ameondoka nchini humo kwa kile alichodai kukimbia kusumbuliwa baada ya kupingana na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi kutaka kuongeza kipindi cha tatu cha...
View Article