LOWASSA: NAUCHUKUA SANA UMASIKINI
''Nina shauku kubwa ya kuunganisha nguvu na uwezo wa kila Mtanzania katika kupambana na umasikini wa nchi hii.Umasikini wa watu wetu siyo amri ya Mwenyezi Mungu.Nina Imani kabisa, kwa pamoja tunaweza...
View ArticleDC MAVUNDE AZINDUA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU MPWAPWA
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Adv. Anthon Mavunde akizungumza wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa Miguu kuwania Kombe la DC na kushirikisha timu 24 kutoka maeneo mbalimbali ya...
View ArticleAPPRECIATION
The family of the late Judge(Rtd) Anthony Bahati of Oysterbay - Dar es-salaam would like to express our heartfelt thanks to relatives, friends, neighbours, and well wishers who joined us...
View ArticleRAIS KIKWETE NA WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA WAZINDUA KIWANDA CHA KUDHIBITI...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua rasmi kiwanda cha kuzalisha viuadudu vya kuua viluwiluwi vya mbu...
View ArticleGLORIA TESHA WA HABARILEO ALAMBA NONDO YA UZAMILI MAWASILIANO YA KIMATAIFA CHINA
Mwandishi wa gazeti la HabariLeo, Gloria Tesha akiwa mwenye furaha baada ya kutunukiwa cheti cha Shahada ya Uzamili ya Mawasiliano ya Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Mawasiliano cha China. Mahafali...
View ArticleAIRTEL YATANGAZA OFA KABAMBE - NUNUA AIRTEL HOME WI-FI NA UPATE NYINGINE YA BURE
Ofisa uhusiano na Matukio wa Airtel, Bi Dangio Kaniki akionyesha kifaa cha HOME Wi-Fi wakati wa kutangaza ofa kabambe ya Sabasaba itakayo wawezesha watanzania kupata kifaa cha bure cha ziada pindi...
View ArticleSIMBA SPORT CLUB YAZINDUA HUDUMA MPYA YA SIMBA NEWS
Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva (katikati) Akizungumza katika Uzinduzi Huo Akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya EAG Group LTD Imani Kajula (Kushoto) Pamoja na Meneja Uendeshaji wa Premier...
View ArticleNSSF WAIBUKA WASHINDI WA JUMLA MAONYESHO YA SABASABA
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi tuzo Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume baada ya kuibuka washindi wa jumla katika Maonyesho ya Biashara ya...
View ArticleUTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA NDANI YA BANDA LA WIZARA YA FEDHA
Afisa Masoko Bi. Kilave Atenaka (Kulia) wa Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundo Mbinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT –PID) akiwasikiliza wateja waliotembelea katika banda kwenye maonyesho ya 39...
View ArticleRC DAR AONGOZA HARAMBEE YA WAANDISHI YA MEDIA CAR WASH FOR CANCER DAR ES SALAAM
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecky Sadick akiosha pikipiki ya Blogger Mroki Mroki 'Father Kidevu' (kushoto kwake) wakati wa harambee kuosha Magari katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya...
View ArticleBENKI YA CRDB YARAHISISHA MAISHA VIWANJA VYA SABASABA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB...
View ArticleWAZAZI NA WANAFUNZI WAIPONGEZA GLOBAL EDUCATION LINK KWA KUWAPATIA VYUO BORA...
Mkurugenzi wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Bw. Abdulmalik Mollel akiongea na Mwanafunzi ambae aliambatana na wazazi wake (kulia) kupata huduma ya vyuo vya nje ya...
View ArticleMEYA JERRY SILAA WA ILALA ATANGAZA RASMI KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA
Meya wa Ilala, Jerry Slaa akifuatilia kwa karibu burudani zilizokuwa zinatolewa na vikundi mbalimbali katika mkutano huo. Pamoja nae ni Mbunge wa Afrika Mashariki na Mjumbe wa NEC wa CCM, Diwani wa...
View ArticleDC MAVUNDE AIASA JAMII KUACHA UKATILI DHIDI YA WATOTO
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde akizungumza wakati wa tamasha la kupinga na kukataa vitendo vya kikatili dhidi ya watoto, lililofanyika katika viwanja vya mnara wa Mashujaa...
View ArticleMRAMBA, YONA JELA MIAKA 3, MGONJA OUT
Basil Mramba (kushoto) na Daniel Yona wakiwa Mahakamani MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam, imewatia hatiani na kuwahukumu kifungo cha miaka 3 kila mmoja jela aliyekuwa Waziri wa...
View Article