POLISI KUIMARISHA ULINZI MJI WA DODOMA KATIKA KIPINDI CHA MKUTANO MKUU WA CCM
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIATAARIFA YA KAMANDA WA POLISI MKOA WA DODOMA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 06/07/2015Nina imani kila mmoja anayo...
View ArticleMKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA AWAFUTURISHA WAFANYAKAZI
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifuturu pamoja na wageni waalikwa kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya NHC (NHC PLACE) jijini Dar es slaan Julai 3, 2015 ambapo mgeni...
View ArticleBANDA LA ASAS DAIRIES LTD LAVUTIA WENGI MAONYESHO YA SABA SABA DAR ES SALAAM
Rais Dr Kikwete akitazama baadhi ya bidhaa zenye ubora za kampuni ya Asas Daireis Ltd.Rais Dr Kikwete akipata maelezo ya bidhaa za Asas Daireis Ltd kampuni hii ni ndio kampuni bora ya...
View ArticleWANAHABARI TUJITOE KWA MAMBO YANAYOTUHUSU TUACHE KUTUMIKA
MWANDISHI wa habari ni mtu muhimu sana katika jamii, na wakati mwingine amekuwa akitambulika kama Mhimili wa nne usio rasmi wa serilali, ukiacha Bunge, Mahakama na Serikali.Waandishi wapo mstari wa...
View ArticleDR. TWAHA MWENYEKITI MPYA COASTAL UNION
TIMU ya Coast Union yenye maskani yake mjini Tanga, leo imefanya uchaguzi wake mkuu na kumchagua Dk Ahmed Ally Twaha kuiongoza Clabu hiyo.Dk Twaha alipata kura 192 na kumshinda mpinzani wake Steven...
View ArticleBENKI YA POSTA YATOA HUDUMA KWA UMAKINI MAONESHO YA SABASABA
Wateja wakipatiwa Huduma katika Banda la Benki ya Posta. BAADHI ya Wananchi wakikodolea macho huduma zinazotolewa na Benki ya Posta. WAKIJISAJILI kuwa na akaunti katika Benki hiyo. WAKIJISAJILI kuwa...
View ArticleMAFUNZO YA TAKWIMU KWA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAFANYIKA ARUSHA
Mkurugenzi wa Taasisi ya Takwimu nchini Dr Albina Chuwa akiongea na vyombo vya habari jijini Arusha katika mafunzo ya siku tano kuhusu suala la takwimu zinazohusu hali ya mazingira, ikiwemo uharibifu...
View ArticleKAMPUNI YA MICHEZO YA BAHATI NASIBU YA GIDANI INTERNATIONAL YAJIZATITI...
Mkurugenzi Mkuu wa michezo ya Bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Tarimba Abbasi akiteta jambo na Mwenyekiti wa michezo ya kubahatisha ya Gidan International Profesa , Bongani Aug Khumalo wakati wa...
View ArticleJOSHUA NASSARI APATA AJALI YA CHOPA JIMBONI KWAKE
Mbunge wa Jimbo la Arumeri Mashariki, Joshua Nassari amepata ajali ya Helkopta aliyokuwa akiitumia kufanya ziara jimboni kwake hii leo.Habari kutoka Arum,eru zinasema kuwa Helkopta hiyo ilipoteza...
View ArticleUTT AMIS YASHIRIKI MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA 39 NA KUTOA ELIMU YA...
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akisikiliza na kufurahia maelezo kutoka kwa Bi Martha Mashiku, Afisa Masoko na Mawasiliano Mwandamizi UTT AMIS(katikati), Kushoto ni bi Sophia Mgaya afisa...
View ArticleDEGE ECO - VILLAGE YAFANYA VYEMA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR
Wafanyakazi wa Dege Eco – Village akimpa maelekezo mteja aliyefika bandani kwao kuchangamkia fursa ya kununua nyumba.Wafanyakazi wa Dege Eco – Village amkimpa maelekezo mteja aliyefika bandani kwao...
View ArticleMWANDISHI MARIAM MKUMBARU AFARIKI DUNIA
Mwandishi wa habari, Mariam Mkubaru amefariki dunia.Mkubaru alifikwa na umauti katika ajali ya gari inayodaiwa kutokea jana Ruangwa, mkoani Lindi akiwa katika shughuli zake.Simu yake ilipojaribu...
View ArticleAICC YASHIRIKI MAONESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA DAR ES SALAAM...
AfisaMasokonaUtafiti, Andes Seiyaakiwaelezeawadauwaliotembeleabanda la AICC hudumazinazotolewana AICC katika maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu sabasaba.. MwenyekitiwaBodiya...
View ArticleKAMPUNI YA TTCL YASAIDIA MIFUKO YA SARUJI KITUO CHA YATIMA
Kaimu Mkuu wa Biashara TTCL Kanda ya Dar es Salaam, Bw. David Dirisha (wa pili kulia) akiwakabidhi watoto wa Kituo cha watoto yatima cha Mama wa Huruma, kilichopo eneo la Madale Wazo Hill nje kidogo ya...
View ArticleTFF YAWEKA MSISITIZO AIRTEL RISING STARS
Mkurugenzi wa ufundi wa TFF Salim Madadi akiongea wakati wa wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars kwa viongozi wa mikoa iliyofanyika leo (Julai 7, 2015) jijini Dar es Salaam. Katikati Meneja...
View ArticleWAJUMBE BODI YA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI (WCF) WAPATIWA MAFUNZO NA ILO
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi nchini (WCF) Emmanuel Humba (wapili kulia) akiwa na mkufunzi kutoka ILO Canada Bw. Gilles Binet pamoja na mjumbe wa bodi hiyo Bw. Athumani Hamisi...
View Article