SIMBA DAY 2015 SIMBA KUCHEZA LA LEOPARDS, KIINGILIO BURE !
Afisa Mtendaji Mkuu wa EAG Group Imani kajula Akiwa Pamoja na Rais Wa Simba Sport Club Evans Aveva wakati wa Uzinduzi wa Simba Day.********** Dhima ya Simba Sports Club ya kuendeleza mabadiliko ndani...
View ArticleMWANASHERIA LUSAJO WILLY AJITOSA UBUNGE KINONDONI
Mgombea ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CCM, Lusajo Willy akichukua fomu ya kuwania jimbo hilo kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya ya Kinondoni, Othuman Salum Shesha jijini Dar es Salaam....
View ArticleNEEMA AHAIDI KUWAINUA VIJANA ARUSHA KIUCHUMI
Katibu wa vijana umoja wa vijana UVCCM wilaya ya Arusha mjini Jamali Khimji akimkabidhi fomu ya ubunge viti maalum Bi.Neema Kiusa katika ofisi za umoja huo jijini Arusha, ahaidi kuinua vijana kiuchumi...
View ArticleTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2015
ACSEE 2015 EXAMINATION RESULTS BOYFA HAPA >>>NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
View ArticleMAKENE AJITOSA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI
Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mwanasheria wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi...
View ArticleKAMPENI YA SHAMIRI KUSOMESHA WATOTO 112
Katikati ni Meneja Mahusiano shirika la The Foundation For Tommorow ,Anton Asukile akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Arusha juu ya Kampeni ya SHAMIRI inayolenga kuchangisha milioni 50 kwa...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE KUTETEA KITI CHAKE CHA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE, KUCHUKUA...
Mh. Ridhiwani Kikwete mbunge wa jimbo la Chalinze akisalimiana na Diwania wa Kata ya Bwilingu Bw, Ahmed Masser wakati alipowasili katika eneo la mkutano uliofanyika mji mdogo wa Chalinze jana ukiwa na...
View ArticleMWANASHERIA MAKENE AREJESHA FOMU KUGOMBEA JIMBO LA KINONDONI
Mwansheria na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Emmanuel Makene (katikati) akiwa ameambata na mkewe Dk. Sarah Makene kurejesha fomu za kuomba ridhaa ya wana CCM Kinondoni kuteuliwa kugombea Ubunge katika...
View ArticleBANZA STONE AFARIKI DUNIA, KUZIKWA KESHO MAKABURI YA SINZA DAR ES SALAAM
Mwanamuziki wa muziki wa dansi aliyepata kushika chati za juu katika utunzi na uimbaji katika bendi mbalimbali nchini za muziki wa Dansi, Ramadhani Masanja 'Banza Stone' amefariki dunia hii leo m,chana...
View ArticleAMON MPANJU AJITOSA KUGOMBEA JIMBO LA KAWE
Mwenyekiti wa wa Shirikisho la vyama vya Watu wenye ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) Amon Anastaz Mpanju ambaye pia alikuwa Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba Mpya amejitokeza hii leo sambamba na wana CCM...
View ArticleRais Kikwete azungumza na Watanzania waishio Uswisi
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na watanzania waishio Switzerland katika hoteli ya Intercontinental jijini Geneva-Julai 16, 2015.Watanzania waishio Switzerland.Rais Dkt.Jakaya Mrisho...
View ArticleSTEVE NYERERE ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE KINONDONI
Msanii wa filamu na kuigiza sauti, Steven Mengele 'Steve Nyerere' (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika...
View ArticleEID MUBARAK WADAU WOTE WA FATHER KIDEVU BLOG
Uongozi wa Father Kidevu Blog na ule wa MD Digital Company unawatakia Waislam wote Ulimwenguni Heri na fanaka katika kusherehekea kumalizika salama kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. EID MUBARAK.
View ArticleCATHERINE MAGIGE SASA KUWANIA UBUNGE VITI MAALUM UWT MKOA WA ARUSHA
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akichukua fomu ya kuwania ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha,...
View ArticleMUSTAFA PANJU ACHUKUA NA KURUDISHA FOMU YA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA ARUSHA...
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha Mustafa Panju ambaye ni mmoja wa wagombea wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama cha mapinduzi CCM akimkabidhi Katibu wa CCM...
View ArticleCOASTAL UNION KULA IDD PILI NA FRIENDS CORNER MKWAKWANI KESHO
MABINGWA wa Ligi kuu soka Tanzania bara mwaka 1988 Coastal Union ya Tanga kesho Iddi Pili inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na timu ya Friends Corner ikiwa ni maandalizi ya kuelekea msimu mpya wa...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA BANZA STONE
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akilakiwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrer Mngereza alipowasili kujiunga na familia na waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki...
View ArticleDK.SHEIN AHUTUBIA BARAZALA IDD NA SWALA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi na wananchi wakiitikia Dua iliyoombwa na Kadhi Mkuu wa zanzibar Sheikh Khamis Haji baada...
View ArticleYANGA! MNAANDIKA LAKINI? YACHAPWA 2-1 NA GOR MAHIA
Kikosi cha Yanga ambacho leo kimekubali kichapo cha bao 2-1 na Gor-Mahia ya Kenya.Wababe wa Yanga timu ya Gor-Mahia Mchezaji wa Yanga, Amis Tambwe akiwa chini huku wachezaji Collins Okoth (kulia) na...
View Article