ASKARI WA TANAPA ASHINDA TUZO YA ULINZI WA FARU AFRIKA
Askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa(Tanapa)Daraja la Pili,Malale Patrick Mwita akiwa ameshika Tuzo na Cheti alivyokabidhiwa na Mwana wa Mfalme Albert wa Pili wa Monaco nchini Afrika Kusini wiki...
View ArticleFOMU ZA WAGOMBEA URAIS ,UBUNGE PAMOJA NA UDIWANI KUANZA KUTOLEWA KESHO
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Mstaafu,Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi habari juu juu ya maendeleo mbalimbali katika kuelekea uchaguzi mkuu uliofanyika leo Makao...
View ArticleUSIKU WA HERIETH PALLANGYO ULIVYOFANA
Biharusi mtarajiwa Herieth Charles Pallangyo akiwa kwenye pozi muda mfupi kabla ya kuanza tafrija yake maalum ya kugana na familia yake kbla ya kufunga ndoa. Tafrija ya kumpongeza na kumuaga...
View ArticleSHAMIM MWASHA WA 8020 FASHIONS ATOA MADA NAMNA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII...
Mkurugenzi Mtendaji 8020 Fashion na Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano...
View ArticleMAGUFULI AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA TENGERU-SAKINA (KM 14.1) ITAKAYOJENGWA...
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) akizungumza na wakazi wa Patandi, Sangis na Tengeru kuhusu ujenzi wa barabara ya Sakina-Tengeru yenye urefu wa km 14.1 itakayojengwa kwa njia nne pamoja...
View ArticleWASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAINGIA KAMBINI
Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Tanzania Jane Foster akiwashukuru wadau mbalimbali ambao wamefanikisha mchakato mzima wa kuendesha shindano la Mama Shujaa wa Chakula, Pia Kipekee Amewashukuru wafanyakazi wa...
View ArticleMBIO ZA URAIS 2015, DOVUTWA WA UPDP,LYIMO WA TLP NA MTIKILA WA DP WACHUKUA...
MGOMBEA wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa, (kulia), akipokea mkoba wenye fomu za uteuzi wa kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleEDWARD LOWASSA AREJESHA FOMU ZA KUOMBA KUGOMBEA URAIS CHADEMA
Mtia nia ya urais kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akikabidhi fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue kugombea nafasi hiyo kwa Makamu Mwenyekiti...
View ArticleMIAKA 10 YA KUMBUKUMBU YA MAMA RHODA CLEOPA MSUYA
Mpendwa Mama Rhoda Cleopa Msuya Daima tutakupenda kamwe hatutokusahau. Ni Miaka kumi tangu ulipotangulia tumebaki na kumbukumbu za mapenzi yako ya dhati na wema wako Tumekukumbuka leo, jana, juzi na...
View ArticleAZAM FC MABINGWA WAPYA KOMBE LA KAGAME
Mabingwa wa wapya wa Kombe la Kagame timu ya Azam FC wakishangilia na kombe lao mara baada ya kukabidhiwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.Azam FC wameibuka mabingwa wa kombe hilo baada...
View ArticleMh Anne Makinda ashiriki Maadhimisho ya siku ya Mwanamke wa Afrika yaliyo...
Maadhimisho ya siku ya mwanamke wa Afrika yanayoadhimishwa kila mwaka tarehe 31 July toka tamko rasmi la Umoja wa Afrika mnamo mwaka 1962 lililotolewa jijini Dar es Salaam -Tanzania. WiLDAF Tanzania...
View ArticleMJUMITA WAZINDUA MAAZIMIO YA WANANCHI KWA VYAMA VYA SIASA KUHUSU UHIFADHI...
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu nchini (Mjumita), Rahima Njaidi akizungumza wakati wa uzinduzi wa maazimio hayo ya wananchi kwa vyama vyama vya siasa nchini ambapo...
View ArticleMAONESHO YA KILIMO NA UFUGAJI YAZINDULIWA MKOANI ARUSHA
Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima Kanda ya Kaskazini(Taso)Arthur Kitonga akisoma taarifa ya Taso inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro,Manyara na Arusha.Mkuu wa Mkoa wa Manyara ambao ni wanachama wa Taso...
View ArticleZAHARA ANENA BAADA YA KUSHINDWA KUPATA KURA ZA KUTOSHA TABORA
Baada ya kura kutotosha kumfanya apite katika kura za maoni kugombea Ubunge kwa viti vya Vijana mkoani Tabora, Zahara Muhidin Issa Michuzi (pichani) amepokea matokeo kwa moyo mkunjufu na kumpongeza...
View ArticleBODI YA USAJILI WA WAHANDISI (ERB) YAKUZA AJIRA NCHINI TANZANIA
Msajili wa Bodi ya Wahandisi nchini Tanzania(ERB) Muhandisi Steven Mlope akiongea na waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam kuelezea mafanikio ya Bodi hiyo katika kipindi cha miaka 10 hasa...
View ArticleWASICHANA WATOANA JASHO AIRTEL RISING STARS
Mchezaji timu ya soka ya wasichana ya Ilala Fatuma Salumu (Kushoto) akichuana na mchezaji wa timu ya Simba Queens Mwanaidi Hamisi katika michuano ya Airtel Rising Stars kwenye kiwanja cha kumbukumbu...
View ArticleDK MAGUFULI ACHUKUA FOMU LEO
Dkt. John Pombe Magufuli na Bi. Samia Suluhu Hassan wakionesha mkoba uliona fomu za kugombea Urais Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan...
View ArticleUTT-PID,PPF, TCAA NA HAZINA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA LINDI
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Lindi na Kilwa Mwal. Mariam R. Mtima (wa kwanza kushoto) akimsikiza Afisa Masoko na Uhusiano wa Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundo...
View Article