LOWASSA, JUMA DUNI KUIPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA UCHAGUZI MKUU
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe (wa nne kulia) akiwa ameshikana mikono na Mgombea wa Urais alieteuliwa na chama hicho, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia)...
View ArticleWAKULIMA WATAKIWA KUFUATA USHAURI WA WATAALAMU NA KUFANYIA KAZI MAFUNZO...
Afisa kilimo daraja la kwanza wa halmashauri ya mbulu Peter Sangawe akiwa anaomuonyesha Mkuu wa mkoa wa Manyara Dk Joel Bendera jinsi ya kuifadhi nafaka bila kutumia kemikali Mkuu wa mkoa wa...
View ArticleLIPUMBA AJIUZULU UENYEKITI CUF
Aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha CUF Taifa, Profesa Ibrahimu Haruna Lipumba akizungumza na Wandishi wa habari katika moja ya ukumbi wa mikutano ndani ya Peacok hotel jijini Dar leo kuhusiana na...
View ArticleMORO KIDS MABINGWA AIRTEL RISING STARS
Naodha wa timu ya Moro Kids Dissy Job akinyanyua kombe la ubingwa la Airtel Rising Stars baada ya kutawazwa mabingwa wa mkoa wa Morogoro. Timu ya Moro Kids waki pozi na kombe la ubingwa baada ya...
View ArticleKIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU PETER KISUMO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa Mwanasiasa Mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, aliyefariki dunia Jumatatu katika Hospitali ya...
View ArticleMKWASA AITA 29 TAIFA STARS
Kocha Mkuu mpya wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni msaidizi wake, Hemed Morocco....
View ArticleDIRISHA LA USAJILI SASA KUFUNGWA AGOSTI 20
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limesogezwa mbele kufungwa kwa dirisha la usajili wa wachezaji kwa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja la Pili (SDL) mpaka...
View ArticleWATATU WASHIKILIWA NA POLISI KWA MAUAJI YA ASP ELIBARIKI PALANGYO
Jeshi la Polisi Kanda Maaluma ya Dar es Salaam linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya ofisa wake Marehemu ASP Elibariki Palangyo huko Yombo Kilakala Dar es Salaam. Mkuu wa...
View ArticleWASANII WA MUZIKI NA FILAMU WAMUAGA KIKWETE JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Dr. Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kupitia CCM wakati alipowasili Mlimani City jijini Dar es salaam kwa ajili ya...
View ArticleTCRA YAHIMIZA WANANCHI KUTUMIA KWA USAHIHI HUDUMA ZA MAWASILIANO
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA) Kanda ya Kaskazini,Annette Mahimbo Matindi.Wananchi wanaofika kwenye maonesho ya wakulima na wafugaji(Taso)Nane nane Njiro jijini Arusha wametakiwa kufika kwenye...
View ArticleKIKWETE AZINDUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO (TADB)
Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akihutubia wakati akizindua Benki ya Maendeleo ya Kilimo Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Waziri wa Fedha,...
View ArticleADC YAFANYA MKUTANO WA HADHARA KUWATAMBULISHA WAGOMBEA WA URAIS KUELEKEA...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Lutasola Yemba (katikati), akimtambulisha kwa wananchi mgombea mwenza Said Miraj (kulia) na mgombea urais wa chama...
View ArticleJANETH MBENE ATEMBELEA KIWANDA MARMO & GARNITO MINES MBEYA
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,Janet Mbene,akiangalia baadhi ya bidhaa zilizotengenezwa na kampuni ya Marmo and Garnito Mines kwa ajili ya matumizi mbalimbaliNaibu Waziri wa Viwanda na...
View ArticleNHIF WATOA MSAADA WA MASHUKA 120 HOSPITALI YA MANISPAA YA TEMEKE
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wa mkoa wa Temeke (NHIF),Constantine Makala akieleza jambo wakati wa kukabidhi mashuka 120 katika hospitali ya Temeke leo jijini Dar es Salaam, Kulia ni Kaimu...
View ArticleUTT-PID YASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE NGONGO LINDI
Afisa Masoko UTT-PID, Bi Kilave Atenaka akihudumia mteja katika banda lao lililo chini ya wizara ya Fedha katika Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi. Muonekano wa...
View ArticleSIMBA DAY 2015 RAHA TUPU
RAIS wa klabu ya soka ya Simba, Evans Aveva, (pichani juu), jana alikuwa kama kocha wa Chelsea, Josse Morinho, kutokana na jinsi alivyokuwa akiwaelekeza wachezaji wa timu ya viongozi wa Simba dhidi ya...
View ArticleMAGUFULI AWATAKA WANA CCM KUSHIKAMANA NA KUWA WAMOJA HASA KIPINDI HIKI CHA...
Dkt John Pombe Magufuli kwa pamoja akicheza wimbo wa Adinselema uliokuwa ukiimbwa na wanachama hao mara baada ya kumpokea na kuamsha shamra shamra na shangwe za hapa na pale.Pichani kulia ni Mke wa...
View Article