ASKARI WA JKT WALIOFARIKI KATIKA AJALI WATAJWA, MIILI YAAGWA KWENDA KUZIKWA...
Father Kidevu Blog, Kigoma Vijana Saba wa Jeshi la kujenga Taifa(JKT) kikosi cha 821 Bulombora wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma waliofariki katika ajali baada ya gari wallokuwa wakisafiria kupinduka jana...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA TISA CHA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA IKULU...
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015Mwenyekiti...
View ArticleVYAMA VYA SIASA 5 VYAKUTANA NA WAANDISHI KUZUNGUMZIA UCHAGUZI
Viongozi wa vyama vya siasa vitano AFP, UMD, CHAHUSTA, JAHAZI ASILIA NA DEMOKRASIA MAKINI kwa pamoja tumeungana kutoa wito kwa wanasiasa wenzetu, viongozi wa dini na wananchi wote kwa jumla kuhusiana...
View ArticleBENKI YA CRDB YASAIDIA UJENZI VYUMBA VYA MADARASA GEITA
Benki ya CRDB kupitia tawi lake la mjini Geita imechangia ujenzi wa vyumba vya madarasa katika Shule za Msingi Mwatulole na Shule ya Msingi Geita ambayo baadhi ya majengo yalibomolewa na mvua kubwa...
View ArticleGESI YA BAGAMOYO ITALINUFAISHA TAIFA-MAGUFULI
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwanadi wagombea Ubunge wa jimbo la Chalinze,Mh Ridhiwan Kikwete (kulia) pamoja na Mh.Shukuru Kawambwa,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa wa...
View ArticleJK AUMWAGIA SIFA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KWA UWEKEZAJI BORA
Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi Subira Athumani, mfano wa kadi ya uanachama kupitia mpango wa “Wote Scheme” ambao unahusu kujiunga na uanachama kwa uchangiaji wa hiari. (Kushoto), ni Naibu waziri wa...
View ArticleLOWASSA ATIKISA MJI WA TARIME LEO
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Tarime katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa...
View ArticleWAZIRI MAGHEMBE AZINDUA BODI YA DAWASA ATAKA ICHAPE KAZI
Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Profesa Jumanne Maghembe akizungumza wakati wa kuzindua Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Saalam(Dawasa)jijini Arusha,katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya...
View ArticleHUAWEI YALETA FURAHA ONYESHO BONGO STAR SEARCH MASHABIKI WAJISHINDIA SIMU ZA P8
Mamia ya wapenzi wa Muziki waliofika kwenye ukumbi wa King Solomon kushuhudia fainali ya shindano la Bongo Star Search walipata fursa ya kuona simu mbalimbali za kampuni ya Huawei zilizopo kwenye...
View ArticleMAMA SAMIA AMALIZA KAMPENI MWANZA NA KUSHAMBULIA SHINYANGA
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan (wapili kushoto), akiwa katika Kivuko cha mv Misungwi, wakati akitoka jijini Mwanza kwenda sengerema kuendelea na kampeni zake leo....
View ArticleTECNO YAZINDUA SIMU MPYA YA PHANTOM 5 JIJINI DAR ES SALAAM
Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana akionesha simu aina ya Phanton 5 wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu hizo uliofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wadau mbalimbli wakiwa kwenye...
View ArticleMAFURIKO YA LOWASSA MJINI MUSOMA, MKOANI MARA LEO
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE MTWARA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote wakifunua pazia kuashiria kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko...
View ArticleRAIS WA NAMBIA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI TANZANIA
Rais wa Namibia, Hage Geingob akilakiwa na Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi...
View ArticleTAASISI YA MANJANO FOUNDATION WAENDELEA KUWANUFAISHA WANAWAKE
Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya Ujasiriamali kwa kutumia Vipodozi wakiwa kwenye mafunzo kwa njia ya Vitendo..Wanawake wachache wa jiji la Dar es salaam wameendelea kunufaika na mafunzo ya...
View ArticleMANJI AWAELEZA WANA MBAGALA KUU MIKAKATI YAKE PINDI WAKIMCHAGUA KUWA DIWANI WAO
Ni wakati wa wagombea wa nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Urais, Wabunge na Madiwani kunadi sera zao na za vyama vyao kwa wapigakura, hii ikiwa ni katika kuwashawishi wananchi hao kuwachagua...
View ArticleAIRTEL TANZANIA YAZINDUA KADI YA MALIPO YA 'AIRTEL MONEY TAP TAP'
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu ya Mkononi ya Airtel Tanzania , Bi. Jane Matinde akionyesha kadi mpya ya malipo inayotumia huduma ya Airtel Money iliyopewa jina la Airtel Money ‘ Tap Tap’ katika...
View ArticleTTCL WAZINDUWA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
Meneja wa Kanda ya TTCL Dar es Salaam Kati, Jane Mwakalebela (kushoto) akimkabidhi zawadi ya utendaji bora Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma...
View ArticleYAMOTO, KALUNDE KUPAMBA TUZO ZA WANAMICHEZO NA KIKWETE LEO
BENDI ya Yamoto na Kalunde zinatarajiwa kutumbuiza wakati wa sherehe za Tuzo za Wanamichezo Bora na Tuzo ya Heshima ya Rais Jakaya Kikwete leo Oktoba 12, 2015.Maandalizi kuhusiana na tuzo hizo...
View Article