Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SAMIA AFUNGA KAZI GEITA VIJIJINI

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananch baada ya uwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK KIGODA AFARIKI DUNIA LEO NCHINI INDIA ALIKOKUWA AKITIBIWA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LAFARGE TANZANIA YAZINDUA SARUJI MPYA “TEMBO SUPASET 42.5”

 Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa Lafarge Tanzania, Allan Chonjo (wa kwanza kulia) akizungumza machache mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa chapa mpya ya saruji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, UMOJA NA HAKI KATIKA...

Mtoamada katika Mdahalo kuhusu Amani, Umoja na Haki Tanzania, Bw. Humphrey Polepole akielezea mawazo yake mbele ya washiriki katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam jana nyuma ni Balozi Getrude...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STARS VS ALGERIA NOVEMBA 14 TAIFA DAR ES SALAAM

Mchezo wa hatua ya pili kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwaka 2018 nchini Urusi kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Algeria (The Fox Desert) utafanyika tarehe 14...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya mtoto wa kike yaliyo ratibiwa na WiLDAF...

Mkurugenzi wa WiLDAF Dkt. Judith Odunga akitoa neno la ufungunzi katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike dunianiNaibu Mkurugenzi wa WiLDAF Ndugu Anna Kulaya akielezea tafiti mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO YATIMA WA KITUO CHA VALENTINE CHILDREN HOME WAPIMWA AFYA ZAO

Muhudumu wa afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo tandika Dar es salaam Bi, Latifa Masasi wa pili   mpima mtoto Nuru Edward wa kituo cha kulea watoto yatima cha Valentine children...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWA YAMPA TUZO RAIS JAKAYA KIKWETE KWA MCHANGO WAKE KATIKA MICHEZO NCHINI

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto akimpa Rais  Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake mkubwa katika kuendeleza michezo nchini wakati wa hafla...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO

Mwandishi Wetu Rais Jakaya Kikwete Alhamis Wiki hii anatarajiwa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani. Mradi huo wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo utakaokuwa wa aina yake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

2015 CHILDREN'S REPORTING AWARDS

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

COKE STUDIO YALETA BURUDANI DAR, MWANZA, ARUSHA NA MBEYA

 Ma Dj walikuwa wakifanya mambo kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri. *************Onyesho la muziki la Coke Studio ambalo linajumuisha Kolabo ya wanamuziki wa kitanzania kwa kushirikiana na wanamuziki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNIFU WA MAVAZI NCHINI WAKUSANYA NGUVU KWA PAMOJA KUHUBIRI JUU YA UMUHIMU...

Mbunifu wa Mavazi nchini, Mustafa Hassanali akizungumza na  Waandishi wa Habari hawapo pichani juu ya umuhimu wa Amani hususani katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, Mwaka huu na kusisitiza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI JENGO LA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI DODOMA

Rais  Jakaya Mrisho Kikwete, leo, tarehe 15 Oktoba, 2015, amelifungua rasmi jengo la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi mkoani Dodoma.Akizungumza wakati wa ufunguzi huo, Rais Kikwete ameipongeza Ofisi ya Taifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE LEO, AHUTUBIA KISARAWE,UKONGA

Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akimpongeza mmoja wa wakazi wa Ukonga mara baada kughani shairi lililokuwa likimsifia kuwa ana sifa zote za kuwa Rais wa Tanzania,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPA KAZI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AITIKISA SENGEREMA LEO

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sengerema kwa tiketi ya Chadema,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe  akizungumza na waandi wa habari wapo picha juu ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo utakaokuwa wa aina yake Afrika Mashariki na Kati,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STOP PRESS: DK EMANUEL MAKAIDI WA NLD AFARIKI DUNIA MCHANA HUU LINDI

 Habari zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Mwanasiasa Mkongwe nchini Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dk Emmanuel Makaidi (74) amefariki dunia hii leo mchana.Dk Makaidi pia alikuwa ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STOP PRESS: DEO FILKUNJOMBE, RUBANI WILLIUM SLAA NA WENGINE WATATU WAFARIKI...

Maafisa wa Polisi na wataalam wakichunguza mabaki ya chopa 5Y-DKK aliyokuwa akisafiria Mgombea Ubunge wa Ludewa na kupata ajali eneo la Hifadhi ya Selous, Kilombero mkoani Morogoro jana.Picha: Francis...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA POSTA YABORESHA ZAIDIN HUDUMA ZAKE, MTEJA ATATOA MAONI BILA KUANDIKA...

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Sabasaba Moshingi(wapili kulia), akihudumia wateja kwenye tawi la benki hiyo Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa Oktoba 16, 2015, kwenye...

View Article
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>