Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10590 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA TAIFA STARS YATAMBULISHWA RASMI

Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa Stars iliyoteuliwa hivi karibuni na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Bwana Farough Baghozah leo hii amekutana na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena...

View Article


MAMA SALMA KIKWETE AFUTA DHANA POTOFU DHIDI YA MTOTO WA KIKE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDESAMBURO AMUOMBEA KURA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI JAFARY MICHAEL

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini aliyemaliza muda wake ,Philemoni Ndesamburo,akimnadi mgombea Ubunge katika jimbo hilo Jafary Michael (Chadema) katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika kata ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATAKIWA KUKABILIANA NA VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI

Na Woinde Shizza,Arusha Kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Octoba 25 mwaka huu Serikali imetakiwa kukabiliana na viashiria vya uvunjifu wa amani na kuvipatia ufumbuzi ili kuhakikisha uchaguzi huru na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO YA TIGO IGOMBE MARATHON YAFANA MJINI TABORA

Washindi wa kike wa mbio za Tigo Igombe marathon, wakiwa katika picha ya moja baada ya kushiriki mbio za Tigo Igombe marathonWanariadha wakianza mbio za Igombe marathon zilizo dhaminiwa na Tigo, mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT FENELLA MUKANGARA AAHIDI KUIJENGA KIMBAMBA MPYA

Mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm jimbo la kibamba dkt Fenella Mukangara Wananchi wakimsikiliza Mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm jimbo la kibamba Dk Fenella Mukangara.******Na Jimmy...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SHUJAA WA CHAKULA BI. BAHATI MURIGA AHUDHURIA TAFRIJA UBALOZI WA...

 Bi Bahati Muriga akielezea ni jinsi gani alivyo na furaha kufika ubalozini na kuweza kukutana na watu mbalimbali kutoka mashirika tofauti hususan OXFAM. Bi Bahati Muruga akiwa pamoja na mwenyeji wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUAWEI P8 NDIO MPANGO MZIMA

Mwamndishi wa Habari na Blogger, Mroki Mroki 'Father Kidevu' pichani, ameishushia sifa simu mpya ya kisasa ya Huawei P8 kutokana na ubora wake wa kufanya kazi.Akizungumza wakati wa kutafuta maoni juu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHOPA ILIYOPATAAJALI NA KUUWA WATU 4 AKIWEPO FILIKUNJOMBE ILIKUWA YA KALONZO...

 Helokopta aina ya Eurocopter AS 350B3  yenye namba za usajili 5Y-DKK. Ilikuwa na uwezo wa kubeba tani 1. HELKOPTA iliyoanguka na kusababisha vifo vya watu wanne akiwepo Mgombea Ubunge wa jimbo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIIZA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SEPTEMBA

Mshambuliaji wa timu ya Simba, Hamisi Kiiza ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Septemba.Kwa kuibuka mchezaji bora, Kiiza atazawadiwa sh. milioni moja kutoka kwa mdhamini wa Ligi hiyo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete leo akabidhi jeshi la polisi magari 399 mapya kati ya 777...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu alipowasili Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 tayari kukabidhi...

View Article

WATANZANIA WAASWA KUDUMISHA AMANI SIKU YA UCHAGUZI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMNADI NAMELOK SOKOINE MONDULI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Moita ambapo alimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Monduli Ndugu Namelok Sokoine pamoja na Diwani wa kata hiyo.  Katibu Mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE JIJINI DAR,APOKELEWA KWA KISHINDO

Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Ubungo.Sinza jijini Dar kwenye uwanja wa TP wakati wa kampeni.Dkt Magufuli ameendelea na kampeni zake mkoani Dar es salaam,ambapo kesho ataendelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AHUTUBIA TANGA

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wakati akiwasili kwenye viwanja wa Indian Ocean,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA APONGEZA UWEKEZAJI KIWANDA CHA KILOLMBERO SUGAR

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiitambulisha chapa ya Bwana Sukari katika hafla ya uzinduzi iliyofanyika Serena Hotel jiji Dar es Salaam jana. Wanaongalia ni Balozi Ami Mpungwe, Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII WA COKE STUDIO APONGEZWA KWA KUSHINDA TUZO

Msanii aliyeshiriki katika msimu wa tatu wa Coke Studio unaoendelea kuoneshwa Clouds TV Vanessa Mdee, amepongezwa kwa kupata tuzo ya msanii bora wa kike Afrika Mashariki kwenye tuzo za Afrimma...

View Article


WAANDISHI WA HABARI WAASWA KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA KAZI YAO KATIKA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWALA WAHAKIKISHIWA USALAMA WA KUTOSHA KWA RAIA NA MALI ZAO SIKU YA UCHAGUZI

Na Father Kidevu BlogWANANCHI wilayayani Newala wamehakikishiwa usalama wa kutosha siku ya kupiga kura na kutakiwa kujitokeza kupiga kura na kuwachagua viongozi wao bila wasiwasi wowote.Akizungumza na...

View Article

JARIDA LA WIKI LA NISHATI NA MADINI TOLEO LA 90

View Article
Browsing all 10590 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>