DKT SHEIN AMNADI DKT MAGUFULI KISIWANI UNGUJA LEO,ASEMA ANATOSHA KUWA RAIS WA...
Mgombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt Mohamed Shein akimnadi Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli mbele ya...
View ArticleNMB YAZINDUA RASMI JENGO LAKE JIPYA LA MAKAO MAKUU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo jipya la makao makuu ya NMB na tawi jipya la NMB Private Banking kwenye jengo la...
View ArticleTANGAZO: IBRAHIMU ZUBEIR 'KIKATIO' CHAKO CHA UCHAGUZI KIMEOKTWA
Ibrahim Zubeir, Mkazi wa Karume, na ambaye ulijiandikisha katika Kituo cha Serikali za Mtaa B, tafadhali wasiliana na msamaria mwema mwenye namba hii 0713411444 upate 'KIKATIO CHAKO' ulichopoteza....
View ArticleMAMIA WAMUAGA MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE NA NDUGU ZAKE NYUMBANI KWAKE...
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deogratias Filikunjombe wakati wa ibada ya kuuaga iliyofanyika nyumbani kwake Kijichi Dar es Salaam leo mchana. Majeneza...
View ArticleCOKE STUDIO YAPELEKA SHANGWE KWA WANAFUNZI MBEYA,DAR, ARUSHA NA MWANZA
Wanafunzi wakipozi na vinywaji vyao vya Coke wakati wa tamasha la Koke Studio.*****************Shangwe ya Coke studio yaleta furaha kwa wanafunzi mashuleni -Mwanza,Dar,Mbeya na Arusha waonyesha vipaji...
View ArticleSILLASMBUYA NA ANCILLA WALIVYOMEREMETA
Bwana na Bibi harusi wakiingia kanisani kwa ajili ya kufungishwa ndoa katika kanisa la KKKT Sinza jana Jumapili.(Picha na Geofrey Adroph) Mchingaji akitoa neno kwa wanandoa hao waliofunga pingu za...
View ArticleACACIA YADHAMINI PAMBANO LA SOKA LA VIONGOZI WA DINI NA MABALOZI KUHAMASISHA...
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye ni nahodha wa timu ya viongozi wa dini, Alhadi Mussa Salum, akinyanyua juu kikombe cha ushindi wa pili baada ya kumalizika kwa pambano la soka kati ya viongozi...
View ArticleVODACOM YAJIPANGA KUZUIA MIMBA MASHULENI
Mgeni rasmi katika mahafali hayo,Geogia Mutagahywa alishindwa kujizuia wakati wanafunzi wa shule hiyo wakitoa burudani kwa wageni waalikwa.Mgeni rasmi katika mahafali ya 13 ya kidato cha nne katika...
View ArticleMAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE KANDA YA ZIWA, ASEMA TANZANIA YA KESHO...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea kufanya vyema katika mikutano yake kanda ya ziwa kwa kupita sehemu mbali mbali ikiwepo Mabatini...
View ArticleLOWASSA ALIVYOTIKISA JIJI LA MBEYA KATIKA MKUTANO WAKE WA KAMPENI
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mbeya katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika...
View ArticleTANGAZO LA KIFO CHA LINUS ANDEA SALEMA
Familia ya marehemu Andrea Joseph Salema inasikitika kutangaza kifo cha ndugu yao Linus Andrea Salema kilichotokea tarehe 18.10.2015 katika hospitali ya Moravian –Sikonge Tabora. Mipango ya mazishi...
View ArticleAGRICS YAKABITHI MBEGU ZA MAHINDI NA ALIZETI KWA WAKULIMA MKOANI SHINYANGA NA...
Afisa Miradi wa kampuni ya Agrics Ltd, Bwana Semeni Kime (wa pili kulia) akifurahi na wakulima wa kijiji cha Mwakabeya baada ya kuwakabidhi wakulima hao mbegu za mahindi, alizeti pamoja na mbolea kwa...
View ArticleWAHITIMU ADILI HIGH SCHOOL WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI
Mgeni Rasmi katika Mahafali ya kwanza ya Shule ya Sekondari Adili High School,Moshono Jijini Arusha,Profesa Raymond Mosha akiangalia kazi zilizoandaliwa na wanafunzi wa masomo ya Sayansi ikiwa ni...
View Article20 WACHAGULIWA KUSHIRIKI KATIKA SHINDANO LA BONGO STYLE
Kipande cha Video ya mahojianoKuelekea Shindano la Bongo Style Competition , Ambalo linatarajiwa kufanyika Mwishoni mwa mwezi wa Kumi na moja mwaka huu, Majaji wamefanikiwa kuwapata washiriki ambao...
View Article