Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10583 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANASHERIA KUONGOZA KAMATI NYETI ZA TFF

JAJI Steven Ihema na wakili mwandamizi, Bi. Jesse Mguto wataongoza kamati muhimu za za maadili za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zilizoundwa baada ya kufanya mabadiliko kwenye katiba ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAELEZO WAADHIMISHA MIAK 95 YA MANDELA KWA KKULA KEKI

 Afisa Habari Mwandamizi wa Idara ya Habari Maelezo, Anna Itenda akikata keki ya maadhimisho ya miaka 95 ya Rais wa Kwanza Mzawa wa Afrika Kusini, Nelson Mandela ambaye  ametimika miaka 95 tangu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMSUNG YAJA NA E-WARANT KUEPUKA BIDHAA FEKI

Meneja mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sryvester Manyara (kushoto)  akimkabidhi simu,Mwandishi wa Gazeti la Habari Leo,Theopister Nzanzugwanko mara baada ya kushinda kwenye droo ya wanahabari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHRISTABELLA MSANGI SPECIAL NIGHT ILIVYOFANA USIKU WA KUAMKIA LEO

Biharusi Mtarajiwa, Christabella Msangi akipunga mkono kusalimia wageni waalikwa katika tafrija yake ya kukata na shoka iliyofanyika ukumbi wa Lion Hotel Sinza jijini Dar es Salaam usiku wa Julai 18,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MULA MULA APOKELEWA KWA SHANGWE WASHINGTON DC

Mama Balozi Liberata Mula mula akipokelewa na mama Munanka baada ya kukutana na kujitambulisha kwa rais Obama huko White house alhamisi. Balozi Mula mula alitoa shukrani za dhati kwa mabalozi wenzake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RORBERT KINYAIA NA CHRISTABELLA MSANGI WALIVYOMEREMETA

 Maharusi Norbert Kinyaiya na mkewe kipenzi Christabella Msangi wakiwa wenyew furaha baada ya kufunga ndoa yao takatifu leo Julai 20, 2013 katika kanisa Katoliki Parokia ya Seregerea jijini Dar es...

View Article

EAC yazindua utafiti wa uelewa wa raia kuhusu mtangamano

Na Mwandishi wa EANAArusha, Julai 21,2013(EANA) -  Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk Richard Sezibera ameelezea umuhimu wa kuifanya jumuiya hiyo kuwa yenye msisimko zaidi na ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO YA CARNIVAL 2013 MAREKANI

Maandamano yakiwa yamechanganya kama mdundiko.Mdau Charles Kaiza akiwakilisha kwenye Carnival 2013 huko Baltimore Maryland. Kwa picha zaidi bofya Sundayshomari.com

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA GREEN WASTE PRO YAKABIDHI NDOO 16 ZA RANGI KATIKA SHULE YA BUNGE...

  Meneja Muajiri wa kampuni ya usafi katika manispaa ya Ilala ya Green Waste Pro Ltd. Bi. Vidah Joseph (katikati) pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo na wanafunzi na walimu wakifanya usafi katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK.SHEIN, AFUTARISHA CHOKOCHO PEMBA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) pamoja na Viongozi na wananchi na  waumini wa Dini ya Kiislamu wa Chokocho jimbo la Mkanyageni Mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mashindano ya kusoma Quran tukufu kitaifa yamalizika

Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Seif Salim Said ambaye ni mremavu wa macho akisoma wakati wa fainali zake leo.Na Mwandishi WetuMASHINDANO ya kitaifa ya kuhifadhi Quran tukufu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.THOMAS LUTUO NA NURU LWAMBANO WALIVYO IAGA KLABU YA MAKAPERA TANZANIA

Maharusi Dk. Thomas Lutuo na Nuru Lwambano wakiwa ni wenye furaha dakika chache baada ya kuvishana pete za ndoa katika Kanisa Katoliki Parokia ya St. Peters Oysterbay, jijini Dar es Salaam. Ndoa hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE NA MAKAMU WAKE WAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA ASKARI WALIOKUFA DARFUR

 Majeneza yenye miili yakiwa eneo la tukio tayari kuagwa. Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSHINDI WA KWANZA WA NYUMBA YA YATOSHA KUPATIKANA MWISHO WA MWEZI HUU

Meneja Mawasiliano wa shirika la nyumba la Taifa Bw, Yahaya Charahani akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati ambapo waandishi hao walitembelea eneo la kibada wilaya ya Temeke kujionea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA ISERE SPORTS YASAIDIA VIFAA TIMU YA FRESH NIGA YA KILWA MASOKO

Mkurugenzi wa masoko wa Kampuni ya Isere Sports inayoshuhulika na uagizaji na uuzaji wa vifaa vya michezo,Abbas Isere (kulia) akimkabidhi jezi Katibu Mipango wa timu ya Fresh Niga ya Kilwa Masoko...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUMO MPYA WA USAJILI WA VIZAZI NA VIFO KUPITIA MKAKATI WA USAJILI WA WATOTO...

Mgeni Rasmi,  Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki akimkabidhi mmoja wa akina mama aliyejitambulisha kwa jina la Fides Samson akikabidhiwa cheti cha kuzaliwa cha mtoto wake mwenye umri...

View Article

BALOZI LUMBANGA AWA MWENYEKITI WA BODI YA PPRA

NA JENNIFER CHAMILA- MAELEZORAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amemteua Balozi Matern Lumbanga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Manunuzi Serikalini ( PPRA).Kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARCLAYS BANK TANZANIA YAIPATIA MILIONI 120 TAASISI YA NKWAMIRA KUSAIDIA VIJANA

 Meneja Mawasiliano na Huduma za Jamii wa Benki ya Barclays Tanzania, Tunu Kavishe (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamaniya shilingi Milioni 120 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la...

View Article

KAULI YA BALOZI LIBERATA MULAMULA

Na Swahili TVMhe. Balozi Liberata Mulamula ametoa kauli ya kuwaunganisha watanzania wote, amesema kamwe hatoruhusu tofauti na makundi katika jamii za kitanzania. Ameyazungumza hayo katika papo kwa hapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AGONGWA NA GARI NA KUFA PAPO HAPO DAR ES SALAAM HII LEO.

 Mkazi wa Dar es Salaam ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja leo amefikwa na umauti baada ya kugongwa na gari aina ya Nissan ambalo linafanya shughuli za kubeba abiria kati ya Gongo la...

View Article
Browsing all 10583 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>