SERIKALI KUANZA UTEKELEZAJI WA RIPOTI YA APRM
Katibu Mtendaji toka Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) Rehema Twalib akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu mpango wa Serikali kuanza utekelezaji wa ripoti ya APRM,kwenye...
View ArticleWASHINDI WA TIGO ‘MILIKI BIASHARA YAKO’ WAKABIDHIWA BAJAJI ZAO
Meneja Chapa wa Tigo, Bw. William Mpinga (kulia) akimkabidhi ufunguo wa Bajaji mshindi wa pili wa promosheni ya ‘Miliki Biashara Yako’, Bw. Riziki Lucas Kisemo (36) mfanyakazi wa viwandani, mkazi wa...
View ArticleMeya Slaa azindua rasmi kambi ya Redd’s Miss Ilala
Na Mwandishi WetuMEYA wa wilaya ya Ilala, Jerry Slaa amewataka warembo wa wilaya ua Ilala kuangalia mbele zaidi mara baada ya shindano hilo waone kuna vitu wamejifunza ili kuweza kuwasaidia katika...
View ArticleWANIGERIA KUITIKISA KENYA KATIKA MIONDOKO YA BOOMBATAA
Wasanii kutoka Nigeria, Panshak Zamani, anayejulikana zaidi kwa jina la Ice Prince(Pichani kulia, pamoja na David Adedeji Adeleke, wanatarajia kuwa wasanii wakubwa watakaoitikisa Kenya mwishoni mwa...
View ArticleSTARS YAWASILI UGANDA TAYARI KUIKABILI CRANES
Baadhi ya wachezaji wa timu ya taifa, Taifa Stars na benchi la ufundi wakiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebe nchini Uganda jana tayari kwa mchezo wa marudiano na timu ya Taifa ya...
View ArticleTANGAZO LA MSIBA
Familia ya Mr. A Alfaghee inasikitika kutangaza kifo cha binti yao mpendwa MAIMUNA FATMA KARUMBA kilichotokea jana London UK. Ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki mchango wako wa dhati unahitajika ili...
View ArticleBINTI APOTEA AKIELEKEA SHULENI TANGU JUMATATU 22 MWEZI HUU
Pichani ni Mather Joseph mwenye umri wa mika 16. ni manfunzi wa Chuo cha ufundi cha St. Peter Parish aliondoka nyumbani akielekea shuleni huko oysterbay akiwa amevalia ngua za shule sketi ya damu ya...
View ArticleUBALOZI WA MAREKANI WAIPONGEZA TTCL KWA KUTOA HUDUMA BORA ZA MAWASILIANO...
Afisa Mtendaji mkuu wa TTCL Dtk. Kamugisha Kazaura akibadilishana mawazo na Kiongozi wa ujumbe kutoka ubalozi wa Marekani hapa nchini Bw. Jeff Shrader. Kiongozi wa ujumbe kutoka ubalozi...
View ArticleEAC Bra Survey team in Uganda
The EAC Brand 2013 survey team embarked on a week-long mission to Uganda on how citizens perceive the regional integration activities, programme and how much they understand of the Community. The...
View ArticleTBL YAKABIDHI KISIMA CHA SH. MILIONI 28 KIJIJI CHA ISNURA, MBARALI, MKOANI...
Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Gulam Kiffu kulia na Meneja kampuni ya bia (TBL) Nicolaus Kanyamala wakizindua kisima cha kijiji cha Isnura Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Gulam Kiffu akimtwisha maji mwenyekiti wa...
View ArticleWERUWERU GOLDEN JUBILEE ALUMN MEETING
"Hongera...Weruweru,umlezi wetuuu...."If this line reminds you of our beloved school,then this is for you. In preparations for our big celebrations of Weruweru's Golden Jubilee,we have a meeting on...
View ArticlePOLISI 3,092 WAMEHITIMU MAFUNZO CCP MOSHI WANAKUJA MTAANI
Zaidi ya Askari Polisi wapya 3,092 wamehitimu mafunzo yao ya awali ya Polisi katika Chuo cha Polisi (CCP) kilichopo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro hii leo. Polisi hao wapya ambao wanaingia mtaani...
View ArticleSTARS WAKIWA MAZOEZINI MANDELA NATIONAL STADIUM (NAMBOOLE)
Wachezaji mbalimbali wa Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Satrs' ambao wanasakata kabumbu ndani ya nchi wakijifua katika Uwanja wa Taifa wa Mandela uliopo Nambole nchini Uganda. Stars ipo nchini Uganda...
View ArticleSIMALENGA NA NEEMA WAIAGA RASMI KAMBI YA MAKAPELA TANZANIA
Kambi ya Wasinii wa Filamu na Maigizo pamoja na Kambi ya Waanahabari Makapela Tanzania imepata pigo kubwa baada ya Mwanachama wake Nguli, Simon Simalenga kuamua kuiaga kambi hiyo na kuingia rasmi...
View ArticleTAARIFA UJUIO WA WAZIRI MKUU WA THAILAND NCHINI
Ndugu Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam,Napenda nichukue fursa hii kuwajulisha rasmi kwamba Nchi yetu imepata heshima ya kutembelewa na Waziri Mkuu wa Thailand ambaye atawasili Nchini tarehe...
View ArticleUfadhili kampeni za uchaguzi zakuza rushwa EAC
Na Anne Kiruku,EANA Kukosekana kwa utashi wa kisiasa kwenye vita dhidi ya rushwa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kunatokana na jinsi kampeni za uchaugzi wa kisiasa zinavyofadhiliwa. Mkutano...
View ArticleWANAMBWEWE WAKUTANA NA MBUNGE WAO LEO
MBUNGE wa Chalinze, wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani, Saidi Mwanamdogo, akizungumza na wanachama wa Mfuko wa Maendeleo ya Wanambwewe waishio Dar es Salaam (MNDF), leo katika ukumbi wa Shule ya Msingi...
View ArticleZIARA A RAIS JK MKOANI KAGERA
Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya. Rais Jakaya Mrisho...
View ArticleVODACOM ELIMU EXPO YAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM
Naibu Waziri wa Elimu, Phillip Mulugo (katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Elimu Expo, Joel Njama (kulia) na Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa, wakigonganisha glasi, kama...
View ArticleMSTAHIKI MEYA JERRY SILAA KUPITIA MDAU AKABIDHI VIFAA KWA AL - MADRASSATUL...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akizungumza na uongozi wa Al Madrassatul Munauwaratul Islamiya iliyopo Msasani Bonde la Mpunga Ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam wakati wa hafla fupi...
View Article