Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10872 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI WA GATES FOUNDATION YA MAREKANI

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza na Naibu Mkurugenzi Kanda ya Afrika wa  Gates Foundation ya Marekani, Haddis Tadesse, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAKUNA MGOGORO WA JK KUKABIDHI KIJITI CHA UENYEKITI KWA DK. MAGUFULI

NA BASHIR NKOROMOCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, hakuna mgogoro uiopo wa kukabidhiana kijiti cha Uenyekiti ndani ya chama hicho na kuonya vyombo vya habari kuacha kupotosha umma."Napenda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPULIZA KIPENGA WA MECHI YA YANGA VS ESPERANCA HUYU HAPA

Mwamuzi Joseph Odartei Lamptey, Jumamosi Mei 7, 2016 anatarajiwa kuwa mwamzi wa kati katika mchezo wa kimataifa kuwania Kombe la Shirikisho Barani Afrika utakaozikutanisha timu za Young Africans ya Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA MASHINDANO YA UMISSETA COPA COCA COLA WAFANA

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla wakati wa Uzinduzi wa mashindano ya UMISETA ambayo mwaka huu yamedhaminiwa na kampuni ya Coca Cola.Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa Sokoine mjini Mbeya juzi....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKATIBU WAKUU WA VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA NCHINI...

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahaman Kinana akitoa mada kwenye Kongamano la siku Nne la Makatibu Wakuu wa vilivyokuwa Vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika. Kongamano hilo linafanyika Victoria Falls...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AMUWAKILISHA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI MAZISHI YA LUCY KIBAKI NCHINI KENYA

Mwili wa mke wa aliyekuwa rais wa Kenya Mwai kibaki , mama Lucy Kibaki ukiwasili kwa hapo jana katika eneo la Bunge la Odhaya kaunti ya Njeri,mjini Nairobi nchini Kenya. Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERENGETI BOYS KUAGWA KESHO KARUME

MWENYEKITI wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi kesho Mei 9, 2016 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya kuiga timu ya soka ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 17...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI YA KUPAA KWA BWANA YESU JIJINI ARUSHA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia waumini aliposhiriki ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana katika Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI,JAFARY MICHAEL ATEMBELEA KATA ZILIZOATHIRIKA NA...

Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael (mwenye suti) akiwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Raymond Mboya (Kulia) wakizungumza na Diwani wa kata ya Ng'ambo ,Genesis Kiwhelu walipofika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC WA WILAYA YA SHINYANGA AKABIDHI HATI 92 ZA KIMILA

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Mhe. Josephine Matiro akimkabidhi Anna Kadilana mkazi wa kijiji cha Nyida hati yake ya hakimiliki ya kimila. Anna alisema, "Nimeamua kukata hakimiliki kwa sababu ya kukwepa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANGAZAJI WA CNN RICHARD QUEST AFURAHISHWA NA VIVUTIO VYA UTALII TANZANIA...

Mkurugenzi wa Masoko kutoka Bodi ya Utalii Tanzania TTB Bwa Philip Sebastian akimuonyesha jambo Mwandishi maarufu na mtangazaji wa Kimataifa kutoka Shirika la habari la CNN la Marekani Bwana Richard...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIWANGO MBALIMBALI VYA KUUZA NA KUNUNULIA FEDHA JIJINI DAR ES SALAAM HII LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB YAZINDUA RASMI UUZAJI WA HATI FUNGANI ZAKE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AZINDUA JENGO LA KITEGAUCHUMI LA PPF JIJINI ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akihutubia wakazi wa arusha na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati alipozindua rasmi, Jengo la Kitegauchumi la Mfuko huo (PPF)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AAGWA LEO NA MABALOZI WAPYA WA TANZANIA NCHINI JAPAN NA URUSI

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan, Balozi Mathias Chikawe, Balozi huyo alipofika kumuaga katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,...

View Article


IJUE HATI FUNGANI YA NMB INAYOANZA KUUZWA KESHO NCHINI KOTE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA: KIFO CHA MTOTO WA MUHIDIN ISSA MICHUZI AITWAE MAGGID MUHIDIN

Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin kilichotokea jana Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa masomoni.Msiba upo Nyumbani kwa Mama Mzazi wa Marehemu, Tegeta...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATI FUNGANI ZA NMB KUANZA KUUZWA LEO KATIKA MATAWI YAKE YOTE NCHINI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) akipeana mkono na Meneja Miradi na Maendeleo ya Biashara kutoka Soko la Hisa Tanzania, Patrick Mususa mara baada ya benki hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MSTAAFU NA MWENYEKITI WA CCM KIKWETE ATEMBELEA DARAJA LA NYERERE...

Rais Mstaafu awamu ya nne na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wakitembelea daraja la Nyerere, Kigamboni jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA MZAZI WA TEDDY MAPUNDA MAREHEMU BENADETTE IZENGO AZIKWA MAKABURI YA...

Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanania Dk. Gharib Bilal wa tatu kutoka kushoto na Mama Salma Kikwete wa kwanza kushoto wakishiriki mazishi ya Merehemu Benadette Izengo mama wa...

View Article
Browsing all 10872 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>