Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10872 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGODI WA DHAHABU WA BULHANHLU WAINGIA MAKUBALIANO NA TAASISI YA BENJAMINI...

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Bulyanhulu Graham Crew akibadilishana hati za makubaliano na Afisa Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa,Dkt Ellen Mkondya wakati wa hafla ya makabidhiano ya hati hizo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOZO DARAJA LA NYERERE KUANZA RASMI JUMAMOSI

Katibu Mkuu wa Wizara hiyo (Sekta ya Ujenzi) Eng. Joseph NyamhangaSERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imetangaza rasmi tozo zitakazotumika katika Daraja la Nyerere jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI TBL GROUP WAPIMA AFYA ZAO

Kampuni ya TBL Group imeendesha zoezi la upimaji wa Afya za wafanyakazi wake  ikiwa ni utekelezaji wa kampeni ya Afya kwanza iliyozinduliwa hivi karibuni  lengo kubwa likiwa ni kulinda afya za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIWANGO VYA KUBADILISHA FEDHA KATIKA MADUKA YA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

F

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TTB, TAFORI NA MAKUMBUSHO YA TAIFA WAPATA WENYEVITI WA BODI NA WAJUMBE WAPYA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MALIASILI NA UTALIITAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIUTEUZI WA WENYEVITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI WA SHIRIKA LA MAKUMBUSHO YA TAIFA, TAASISI YA UTAFITI WA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA MIAKA SITA YA CHAMA CHA WATANZANIA WALIOSOMEA CHINA (CAAT)

Chama cha Watanzania Waliosoma China kwa kiingereza China Alumni Association of Tanzania (CAAT) kinapenda kukukaribisha katika sherehe ya maadhimisho ya miaka 6 (2010-2016) tokea kilipozaliwa.Sherehe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAAMKA TENA CONCERTY MEI 20 SI YA KUKOSA MLIMANI CITY

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES ZA MSIBA WA MTOTO WA MUHIDIN ISSA MICHUZI

MAZIKO ya mtoto wa Muhidini Issa Michuzi, Marehemu  Maggid Muhidin Michuzi (pichani) aliyefariki Mei 8, 2016 huko Afrika ya Kusini alikokuwa masomoni yamepangwa kufanyika Jumamosi Saa 10 kwemmakaburi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIKETI ZA BAHATI NASIBU YA TAIFA KUANZA MWEZI HUU MSHINDI WA JUU KUNYAKUA...

Mwenyekiti wa kampuni ya Gidani ambayo ni kampuni mama ya  Murhandziwa Limited,Profesa Bongani Aug Khumalo akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na kuanzishwa na mchezo wa Bahati Nasibu ya Taifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MeTL YAKANUSHA KUFICHA SUKARI, YAELEZA HALI HALISI

Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) imekanusha taarifa ambayo ilitolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa kampuni hiyo imeficha sukari tani 2,990 katika Bandari Kavu (ICD) ya PMM...

View Article

JARIDA LA WIKI LA WIKI LA NISHATI NA MADINI TOLEO 119

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya tukio la uapisho wa Rais Museveni katika Uwanja wa Kololo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA UGANDA YOWERI KAGUTA MUSEVENI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni jijini Kampala mara baada ya kumalizika kwa sherehe za uapisho wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA MISS TANZANIA IMEKUJA KUTEMBELEA MAZOEZI YA ZAN AQUA MISS DAR CITY...

 Warembo wanaoshiriki shindano la kumsaka malkia wa Kitongoji cha Dar City Centre 2016 'Miss Dar City Centre 2016' wakiwa katika mkutabno na wajumbe wa Kamati ya Miss Tanzania waliowatembelea katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO MEI 13,2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO YA COPA UMISSETA YAZINDULIWA MKOANI KILIMANJARO

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akikagua moja ya timu iliyoshiriki mashindano ya uzinduzi wa michezo ya COPA UMISSETA kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,mjini Moshi ambayo mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI YA MWISHO YA MTOTO WA ISSA MICHUZI MAGGID MUHIDINI MICHUZI

Baba wa marehemu (mwenye kofia), Issa Michuzi akipewa pole na baadhi waombolezaji mara baada ya maziko ya mtoto wake Maggid Muhidin Michuzi (18)yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAYUNGA KUZINDUA VIDEO YAKE NA AKON KATIKA FINALI ZA AIRTEL TRACE MUSIC STARS

Mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika, Nalimi Mayunga akirekodi video yake na mwanamuziki nguli wa miondoko ya R& B Akon nchini Marekani.mwanamuziki nguli wa miondoko ya R& B...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE MTANZANIA ASHINDA TUZO YA UBUNIFU YA UBORESHAJI WA HUDUMA ZA BIMA YA...

Mwanamke kutoka Tanzania Lilian Makoi Rabi amekuwa miongoni mwa washindi wa tuzo ya ubunifu wa kuleta mabadiliko kwenye jamii inayotolewa na Kongamano la Uchumi Duniani linalofanyika kila mwaka ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUKURANI TOKA KWA FAMILIA YA ANKAL MICHUZI KUFUATIA MSIBA WA MWANAE MAGGID

Familia ya Ankal Muhidin Issa Michuzi  inapenda kutoa  shukrani nyingi sana sana kwa ndugu, jamaa, majirani, marafiki na wafanyakazi wenzie kwa kujitoa kwa hali na mali katika wakati huu mgumu wa msiba...

View Article
Browsing all 10872 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>