WERUWERU GOLDEN JUBILEE – ALUMNI MEETING
Weruweru Golden Girls,Please be advised that Alumni Meeting at Cine Club, Mikocheni B, on Sunday, September 1st, 2013 at 3:00pm. For registration and pledges please visit www.weruweru.mediart.co.tzLet...
View ArticleDOMITILA NJIKU SPECIAL NIGHT
Hakika ni usiku wa furaha sana kwa Binti Domitila Njiku ambapo amekutana na familia yake ndugu jamaa na marafiki pamoja na ndugu wa familia ya mumewe mtarajiwa katika chakula cha usiku cha kumuaga...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE ARRIVES IN AUSTRIA ATTENDS UN-EUROPEAN COMMISSION'S HIGH...
President Jakaya Mrisho Kikwete is received by the Mayor of Salzburg, Mr Wilfred Haslauer at the Salsburg Airport in Austria on Thursday August 29, 2013 ahead of a High Level Retreat on “NEW IDEAS FOR...
View ArticleSBL YAUNGA MKONO KILIMO KWANZA
Wakulima wa shayiri katika kata ya Ngare Nairobi mkoani Kilimanjaro, wakikagua shayiri ya mkulima mwenzao ambaye alipata mbegu kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti. Kampuni hiyo iliwatembelea wakulima...
View ArticleAIRTEL YATOSHA ZIMEBAKI SIKU 5 KWA NYUMBA YA PILI
Airtel Yatosha inazidi kupamba moto. Zimebaki siku CHACHE SANA kwa wewe MTEJA wa Airtel kuibuka mshindi wa Nyumba ya kisasa ya Airtel Yatosha iliyojengwa na Shirika la nyumba la taifa (NHC) iliyopo...
View ArticleDK. MAHANGA ATEMBELEA VIWANDA, MASHAMBA YA CHAI NJOMBE
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga (kulia) akioneshwa mitambo ya kuzalisha majani ya chai katika Kiwanda cha Chai cha Luponde, wilayani Njombe, alipofanya ziara ya kutembelea viwanda...
View ArticleYAHAYA YA LADY JAY DEE YAMJAZA MAHELA LULU WAKATI WA UZINDUZI WA MY FOOLISH AGE.
UIMBAJI stadi wa Wibo wa YAHAYA wa Nguli wa muziki wa Kizaki kipya Lady Jay Dee umemjaza mahela Msanii wa Filamu aliyejizolea umaarufu kwa miaka ya hivi karibuni, Elizabeth Michael ‘Lulu’ wakati...
View ArticleCHEKA AMSHINDA MMAREKANI PHILL WILLIAMS KWA POINT
Bondia Francis Cheka wa Tanzania (kulia) akimuadhibu mpinzani wake Mmarekani, Phill Williams, wakaati wa pambano lao la raundi 12 la kuwania Ubingwa wa Dunia uzito wa Super Middle (WBF) lililofanyika...
View ArticleBAILEYS YADHAMINI ONESHO LA MAVAZI LA NECHA LA MBUNIFU DANIELA RAYMOND
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia kinywaji chake cha Baileys imedhamini onesho la Mavazi lijulikanalo kama NECHA la mbunifu wa mavazi Daniela Raymond. Onyesho hilo lilifanyika ktik kituo cha...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE APOKEWA NA GWARIDE LA SUNGUSUNGU WA AUSTRIA
Taswira za askari wa jadi wa jimbo la Tyrol huko Alpbach nchini Austia wakiingia kwa gwaride rasmi lililoandaliwa kwa heshima ya Rais Jakaya Kikwete aliye katika mkutano wa Kamisheni ya Ulaya mjini...
View ArticleREDD'S MISS TANZANIA PHOTOGENIC 2013 KUJULIKANA LEO
WASHIRIKI wa shindano la Redd's Miss Tanzania leo watapata fursa ya kumjua mrembo wa kwanza kuingia katika hatua ya Nusu fainali ya Shindano la Redd's Miss Tanzania 2013 wakati mrembo mmoja kati ya...
View ArticleWERUWERU GOLDEN JUBILEE – ALUMNI MEETING
WERUWERU GOLDEN JUBILEE – ALUMNI MEETINGWeruweru Golden Girls,Please be advised that the Alumni Meeting will be held on Sunday, September 1st, 2013 at 3:00pm at Cine Club,Mikocheni....
View ArticleMTWARA WAPOKEA KWA SHANGWE SEMINA YA FURSA KWA VIJANA
Meneja Kiongozi,Uhusiano NSSF Makao makuu jijini Dar,Eunice Chiume akizungumza mapema leo kwenye semin ya FURSA iliyofanyika kwenye ukumbi wa Pentecoste Ligula B,uliopo mkabala na Kituo cha Vijana...
View ArticleMAKEKE COLLECTION YAZIDI KUNOGA
Hii ni kampuni mpya mitindo ambayo imeanza kupamba moto toka mwishoni mwa mwaka jana chini ya designer JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA pamoja na SCHOLASTICA WA MAKEKE AFRIKA na kutwaa umaarufu wa kutosha...
View ArticleUMOJA WA VIJANA WAPATA KATIBU MKUU MPYA
Katibu Mkuu aliyemaliza muda wake Martin Shigela akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Ndugu Mboni Muhita kabla ya kuanza kwa kikao cha wajumbe wa baraza la Umoja wa Vijana katika Afisi...
View ArticleAIRTEL YAPATA MKURUGENZI MPYA WA IT
Airtel Tanzania inatangaza uteuzi wa Bw. Frank Filman kuwa mkurugenzi wa kitengo cha teknolojia ya IT aliyechukua nafasi hiyo rasmi kuanzia sasaFilman ambaye ni mtanzania alianza kazi Airtel akiwa...
View ArticleTUSKER LITE LAUNCH - LAKE ZONE
Wakizundua rasmi bia ya Tusker Lite kanda ya ziwa katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Golden Crest jijini Mwanza, kutoka kulia ni Meneja mipango na masuala ya habari wa Kampuni ya bia ya...
View ArticleMCHAKATO WA TUSKER PROJECT FAME 6 WAANZA KWA KISHINDO
Vijana wakitoa burudani wakati wa amsha amsha hiyo ya kusaka washiriki wa Tusker Project Fame.Baada ya ya Shangwe za Tusker Project Fame kurindima katika mikoa ya Arusha, Mbeya, Mwanza juzi Septemba...
View ArticleCHEKA APOKELEWA KWA SHANGWE MOROGORO
Bondia Francis Cheka akiwa sambamba na Mkanda wake aliokabidhiwa Agost 30 baada ya kumtwanga Mmarekani Phil William mwishoni mwa wiki ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar,pichani bondia huyo...
View ArticleHAPPINESS WATIMANYWA NDIYE REDDS MISS TANZANIA PHOTOGENIC 2013
Redd’s Miss Tanzania Photogenic 2013, Happiness Watimanywa (19) akipozi kwa p[icxha mara baada ya kuibuka mshindi wa taji hilo na kuwa mrembo wa kwanza kutinga nusu fainali za Miss Tanzania 2013 baada...
View Article