Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA NISHATI NAMADINI PROF. MUHONGO AKAGUA MAENDELEO YA UTANDAZAJI...

 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akiwa na Balozi wa China nchini, Lu Youqing walipokuwa wakikagua mitambo ya kisasa ya kuunganisha mabomba ya kusafirishia gesi, katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

REDD'S MISS TEMEKE ATOA MSAADA WA VITABU VYA SH. 300,000 SHULE YA MSINGI...

Malkia wa Redd's Miss Ilala 2013, Doris Mollel akiwa na wanafunzi baada ya kukabidhi msaada wa vitabu  30 vyenye thamani ya sh. 300,000 kwa Shule ya msingi Guluka Kwalala, Jimbo la Ukonga, Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LB DRESSES MISS JAMAICA UNIVERSE CHANTAL ZAKY AT ATLANTA FASHION NIGHT OUT ON...

WE ARE VERY HAPPY AND FORTUNATE TO DRESS MISS JAMAICA UNIVERSE 2012 CHANTAL ZAKY FOR THE ATLANTA FASHION NIGHT OUT ON AUG 25th 2013. CHANTAL WAS ONE OF THE HOSTS FOR THE NIGHT.The Boss of LB Apparel...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMAKI SAMAKI YATEKETEA KWA MOTO WAKATI WA UBOMOAJI

Hivi ndivyo ilivyo sasa Bar maarufu ya SAMAKI SAMAKI iliyokuwa ikivuma sana jijini Dar es Salaam. Bar hii iliyokuwa maeneo ya Mbezi Beach jijini imefikwa na janga la moto hii leo majira ya saa 3:15...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONDIA WA DUNIA FRANCOIS BOTHA ATUA JIJINI DAR

Bondia wa Dunia wa uzito wa juu  Francois Botha akionyesha jinsi ya kupambana kulia ni Yasini Abdalla Rais wa Shirikisho la ndondi nchini ,kushoto ni mdau wa ndondi , uwanja wa ndege wa Kimataifa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGENI MJINI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka bungeni mjini Dodoma leo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA TFF HII LEO

MAANDALIZI MKUTANO WA UCHAGUZI TFFSekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inaendelea na maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi utakaofanyika Oktoba 26 na 27 mwaka huu jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YA CCM YAMALIZA MGOGORO WA MADIWANI BUKOBA

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi  wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uamuzi wa kamati kuu wa kubatilisha kufukuzwa kwa madiwani wa Bukoba nje ya ukumbi wa NEC.****TAARIFA KWA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIFAA VYA LIGI KUU KUKABIDHIWA LEO

MDHAMINI Mkuu wa Ligi Kuu ya Zanzibar, Kinywaji kisicho na kilevi cha Grand Malt, maarufu kama ‘Grand Malt Premier League’ leo wanatarajia kukabidhi vifaa kwa timu shiriki za ligi hiyo katika hafla...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA CHLORIDE EXIDE YASAIDIA KITENGO CHA EMERGENCY CHA HOSPITALI YA...

Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Chloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo kulia na  Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza wakikabidhi Betri za kampuni hiyo kwa  Mkuu wa Kitengo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAHABARI KUKUTANA NA REDD'S MISS TANZANIA 2013 KESHO

 WAREMBO 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2013, leo wanatarajiwa kukutana rasmi na waandishi wa habari, ili kila mmoja kutoa mtazamo wake shughuli itakayofanyika katika hoteli ya Giraffe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REDD'S MISS TANZANIA 2012 AAGWA TAYARI KUSHIRIKII MISS WORLD NCHINI INDONESIA

Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara (kulia) akimkabidhi Bendera ya Taifa,Redd's Miss Tanzania 2012/13,Brigitte Alfred Lymo (katikati) anaetarajiwa kuondoka hivi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REDD'S MISS TANZANIA 2012 AAGWA TAYARI KUSHIRIKII MISS WORLD NCHINI INDONESIA

Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara (kulia) akimkabidhi Bendera ya Taifa,Redd's Miss Tanzania 2012/13,Brigitte Alfred (katikati) anaetarajiwa kuondoka hivi karibuni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEREEE CO YAJA NA MEN'S WEAR KINONDONI TX

 WADAU mbalimbali mnakaribishwa SEREEE CO, Kinondoni jirani na Soko la TX. Ndani ya SEREEE CO utakutana na huduma mbalimbali nzuri za kuvutia pamoja na mambo mazuri kibao kama vile MEN'S WEAR SHOP,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUREJESHWA KWA URUSHAJI MATANGAZO RADIO IMAAN FM NA KWA NEEMA FM RADIO

KUREJESHWA KWA URUSHAJI MATANGAZO RADIO IMAAN FM NA KWA NEEMA FM RADIO1.0 Utangulizi:Mnamo tarehe 26/02/2013 Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ilitoa uamuzi wa kuvifungia vituo vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKOFU MOSES KULOLA AFARIKI DUNIA

Taarifa ambazo zimetufikia hivi punde zinasema kuwa Askofu Mkuu wa Evangelistic Assemblies God Tanzania, Moses Kulola amefariki dunia takriban dakika 25 zilizopita.Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJUE MTUMISHI WA MUNGU ASKOFU MOSES KULOLA

Moses Kulola, alizaliwa mwezi Juni 1928, katika familia ya watoto kumi, na watano kati yao bado ni hai. alisajiliwa katika shule ya kwanza mwaka 1939 iitwayo Ligsha Sukuma shule ya misheni baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EDWARD LOWASSA ASHEHEREKEA MIAKA YAKE 60 YA KUZALIWA

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli mkoani Arusha, Edward Lowassa akilishwa kipande cha keki na mkewe wakati wa maadhimisho ya siku yake ya Kuzaliwa ambapo kiongozi huyo alitimiza miaka 60 Agosti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STAND UP FOR AFRICAN MOTHERS CAMPAIGN – FUNDRAISING GALA DINNER

Montage Managing Director Ms.Teddy Mapunda speaks to the media during press conference of announcing the date for Fundraising Gala Dinner which will be on 11th October,2013  at  Dar es Salaam Serena...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MDAU BOKHE ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE

 Bokhe akipozi kwa picha katika hafla ya kuzaliwa kwake iliyofanyika jana Bokhe akikata keki kama ishara ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake katika hafla fupi ya chakula cha jioni iliyofanyika...

View Article
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>