GERALD NGOWI ALIPOKULA NONDOZZ TOKA CHUO KIKUU MZUMBE
Mdau wa mtandao huu ndg gelard ngowi akipozi wakati wa mahafali ya chuo kikuu mzumbe akisubiri kutunukiwa nondoz yake katika maswala ya uhasibu na fedha ambapo alitunukiwa shahada ya kwanza( BA IN...
View ArticleTUMEWADHIBITI M23 NGUVU ZETU SASA ZIKO KWA FDLR- MONUSCO
Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, katika Eneo la Maziwa Makuu, Mary Robinson akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa, baada ya...
View ArticleAJALI YA BASI LA SHUKRANI HII LEO KABUKU; 12 WAPOTEZA MAISHA 93 WAJERUHIWA
Basi la Burudani baada ya ajali leo Wilaya ya Handeni, Tanga. Taarifa kutoka wilayani Korogwe ambazo zimethibitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo zinasema kuwa watu 12 hadi sasa...
View ArticleLowassa uso kwa uso na Jenerali Musuguri
Waziri Mkuu mstaafu akifurahia jambo na mkuu wa majeshi mstaafu Jenerali David Musuguri walipokutana uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Nyerere jijini dar es salaam jana.Jenerali Musuguri ambaye...
View ArticleMTEMVU AZIDI KUWAPATIA WATANZANIA KAZI DUBAI
Mwenyekiti wa Kampuni ya Bravo, Abbas Mtemvu (kulia) akimkabidhi Mkazi wa Bagamoyo, Asha Vitalis tiketi ya ndege na nyaraka zingine kwa jili ya safari ya kwenda kufanya kazi Dubai, aliyotafutiwa kazi...
View ArticleVIONGOZI AFRIKA WAMEONYESHA NJIA KATIKA KUPAMBANA NA MALARIA-BALOZI MANONGI
Muwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya mwaka 2013 ambayo hutolewa kila mwaka na Shirika la Afya Duniani, Balozi...
View ArticleRais Kikwete aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akingoza kikao cha kamati kuu ya CCM kilichofanyika katika makao makuu ya CCM Mjini Dodoma leo.Kushoto ni Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein na...
View ArticleMAELFU YA WANANCHI AFRIKA KUSINI WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MADIBA
Maelfu ya waombolezaji ambao ni raia wa Afrika Kusini na wasio raia wa Afrika Kusini wakiwa katika foleni ndefu kuingio akatika Jengo la Union kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Rais wa kwanza Mweusi...
View ArticleMWANAMKE AMWAGIWA MAJI YA MOTO MWILI NA KUMUUNGUZA VIBAYA
Muuguzi wa zamu Bi. Neema Bayo akimfunika majeruhi Bi. Neema Teti aliyemwagiwa maji ya moto mwili mzima, kwa kudaiwa kuwa na uhusiano na mume wa mtu. Bi. Neema Teti aliyemwagiwa maji ya moto mwili...
View ArticleLOWASSA ANUSURIKA KIFO AJALI YA NDEGE YA PRECISION ARUSHA LEO
Waziri Mkuu mtstaafu ambaye pia niMbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa ni mionghoni mwa abiria 37 na wafanyakzi 4 wa ndege ya Shirika la Ndege la Precion Air walionusurika kifo hii leo jijini...
View ArticleMWINYI ATUNUKU VYETI MAHAFALI YA KWANZA CHUO KIKUU CHA KAMPALA LEO
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Alhaji Ali Hassani Mwinyi leo alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) naMahafali ya kwanza ya Chuo hicho kufanyika...
View ArticleWATU 6 WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE 3 WAKIJERUHIWA BAADA YA NGEMA KUKATIKA NA...
Na kijiwechetu.blogspot.comWATU Sita wamepoteza Maisha na wengine watatu wakijeruhiwa vibaya baada ya Ngema kukatika na kuwafukia wakiwa wanachimba mchanga katika machimbo ya Pumwani, wilaya ya Moshi...
View ArticleKUFUATIA AJALI YA ARUSHA PRECISION AIR YASOGEZA MBELE SAFARI ZAKE ZA NDEGE
Precision Air Flight 422, a flight from Dar es Salaam to Arusha, using ATR 42-600 (code number PWI) departed Dar es Salaam without incident at 11:20am today, 13December 2013, carrying 37passenger on...
View ArticleTAARIFA YA DKT. REGINALD A. MENGI MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP LIMITED YA...
1. Nafurahi kwa nafasi ya kuwa nanyi leo kwa kuwa sekta binafsi itapata nafasi ya kipekee kesho tarehe 16 Desemba 2013, ya kuwa na mkutano chini ya Mhe. Rais Kikwete kama mwenyekiti.2. Mimi...
View ArticleRais Kikwete ampa pole Lowassa
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na kumrekebisha tai mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa ambaye juzi alinusurika katika ajali ya ndege baada ya ndege aliyokuwa akisafiria inayomilikiwa na...
View ArticleWABUNGE WAHENYA NA MAFAILI KUHOJIWA NA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA
Nape akizungumza leo:Picha na Bashir Nkoromo NA BASHIR NKOROMOKamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kikao chake kilichofanyika jana mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete...
View ArticleDKT.STANFORD NA CESILIA WALIVYOMEREMETA KATIKA NDOA YAO
Wakiwa na bashasha ya kuanza maisha mapya kama mume na mke ni wanandoa wapya, Dk. Stanford Mwakatage na mkewe Cesilia Semion ambao walifunga ndoa yao takatifu Desemba 14, 2013 katika Kanisa la...
View ArticleUNIC YAFANYA MAFUNZO YENYE TIJA YA UJASIRIMALI PEMBA
Mshehereshaji Bw. Salum Msellem kutoka Istiqama Radio akitambulisha meza kuu kwa washiriki wa mafunzo ya Ujasiriamali ya siku moja kwa Vijana Visiwani Pemba yaliyofanyika mwishoni mwa juma kwenye...
View Article