Ufunguzi rasmi wa ofisi ya AzamTV
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Azam Media,Yussuf Bahresa akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Televisheni yao ya Azam kwenye makao makuu yao yaliopo Pugu Road,jijini Dar es Salaam leo. Mkurugenzi...
View ArticleKIJIJI CHA QUNU ALIKOZIKWA MZEE NELSO MANDELA
Daraja la waendao kwa miguu likipita juu ya barabara mpya ya lami inayojengwa kuelekea kijijini Qunu.Siku ya mazishi barabara ya kuelekea Qunu ilifungwa na ni magari yaliyokuwa na kibali tu ndiyo...
View ArticleSIKU MANDELA ALIPOKABIDHIWA VIATU VYAKE NA MAMA VICKY NSILO SWAI 1995
Rais wa kwanza Mzalendo na Mpigania Uhuru wa Afrika Kusini, Nelson Mandela ‘Madiba’ akiwa ameshikilia viatu vyake ambavyo aliviacha nyumbani kwa Mzee Nsilo Swai alipoingia Tanzania kwa mara ya kwanza...
View ArticleNSSF YABEBA TAMASHA LA UTAMADUNI HANDENI 2013
Meneja wa NSSF mkoani Tanga, Frank MadugaMSIMU wa kwanza wa Tamasha la Utamaduni Handeni, lililokuwa likisubiriwa kwa hamu hatimaye lilifanyika Juzi, wilayani Handeni Tanga ambapo kama ilivyokuwa...
View ArticleMATUKIO YA MICHEZO YA BANDARI ‘INTER-PORTS’
Katibu Mkuu wa Dowuta Taifa, Bw. Jonathan Msoma akizungumza na Wanamichezo wa Bandari, katika siku ya kufunga michezo iliyofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Sigara Chang’ombe. Kulia ni Kaimu...
View ArticlePRECISION AIR AIRCRAFT BACK TO SERVICE
Precision Air is glad to inform the public and its passengers that the aircraft that had tyre deflation landing incident on 13 December 2013 is operational and back in traffic.Precision Air Flight 422,...
View ArticleANITA'S DIARY BY LULU MERO
ANITA'S DIARY. The one and only fiction novel about a Tanzanian Girl named Anita who studied abroad, and faced challenges living alone away from her rich family in college in the States, and then she...
View ArticleHALI ILIVYOKUA UWANJA WA NDEGE WA ARUSHANDEGE YA SHIRIKA LA ETHIOPIANI...
Ndege ya abiria aina ya Boeing 767 ya shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines) ikiwa imesimama nje ya Uwanja wa Ndege wa Arusha baada ya kushindwa kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
View ArticleMDAU GREYSON MWASE ALAMBA NONDO YA MASTAZ KATIKA CHUO KIKUU CHA LEEDS NCHINI...
Bw. Greyson Mwase ambaye ni Afisa Mawasiliano katika Wizara ya Nishati na Madini akiwa ameshikilia shahada yake ( M. A. in Corporate Communications and Public Relations)mara baada ya kutunukiwa...
View ArticleSILAHA ZA JADI
Silaha za ulizni majumbani au katika maofisi si Bunduki na Bastola pekee lakini hata hizi silaha za jadi (mishale) nayo ni silaha muhimu na nzuri hasa. Pichani ni mchuuzi wa zana hizo za ulinzi akipita...
View ArticleGWARIDE SI LELEMAMA
HATA KAMA IMEVUNJIKA GEARIDE LINAENDELEA... Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Kikosi cha Maji, wakiwa katika gwaride maalum hivi karibuni huku mmoja wao akiwa ameshikilia kitako cha bunduki...
View ArticleMSIKILIZE WAZIRI WA MALI ASILI NA UTALII, BALOZI HAMISI KAGASHEKI AKITANGAZA...
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamisi Kagasheki amejiuzulu wadhifa wake baada ya mjadala mkali na wakina Bungeni mjini Dodoma leo jioni. Hii inatokana na Operesheni Tokomeza iliyolenga kuondoa...
View ArticleRAIS KIKWETE ATENGUA UTEUZI WA MAWAZIRI WAKE WANNE NI KATIKA SAKATA LA...
Rais Jakaya Kikwete ametengua rasmi uteuzi wa Mawaziri wa nne waliokuwa wakituhumiwa kwa makosa mbalimbali ya ukiukwaji wa haki za kiraia wakati wa Oparesheni Tokomeza Ujangili iliyokuwa ikiendeshwa na...
View ArticleHOTUBA YA MH ZITTO Z. KABWE - KIGOMA – 21 DESEMBA 2013
Leo nina furaha kubwa sana kwani baada ya safari ndefu na yenye changamoto nimerudi nyumbani kuwasalimu wananchi wenzangu! Na hii si salamu za kawaida bali nawasalimu kwa salaam za demokrasia,...
View ArticleSIMBA BINGWA NANI MTANI JEMBE 2013, YAIFUMUA YANGA 3-1 HII LEO TAIFA
Wekundu wa Msimbazi simba ya jijini Dar es Salaam leo imefanikiwa kwa mara nyinge kuzima kidomo domo, mikogo na mbwe mbwe za kila namna za watani wao wa jadi Yanga kwa kuwafunga magoli 3-1 katika...
View Article