BODA TU BODA YA MWANA MAMA WA MTWARA
Pikipiki ilirukiwa fasta na Mwana mama huyu, wasio mfahamu wengi walimshangaa, alivaa Kofia ngumu kisha akapachika pochi yake anapotaka na kisha akaiwasha. Huu ni usafiri wake anaoumiliki na huutumia...
View ArticlePRADO INAUZWA
PRADO TX IN GOOD CONDITIONModel: 1997 Millage: 115,000kmCc 3000Engine 1KZ Diesel,Color: Green 2 toneTransmission: AT5doors, 8passengers, AC, PS, PW, AL, ABS.Price: Tsh 19m/- NegotiableTEL:...
View ArticleMIFUKO YA HIFADHI YA JAMII PAMOJA NA SSRA YATOA MISAADA KATIKA WODI YA WAZAZI...
Mkuu wa Kitengo cha uhusiano bi Sara Msika akikabidhi msaada wa shuka 100 na magodoro 30 katika wodi ya wazazi ya chikandeMkuu wa kitengo cha uhusiano cha SSRA Bi Sara Msika akiwa amembeba mmoja kati...
View ArticleDRAFT 3-The Natural Gas Policy of Tanzania-2013
Draft 3- The Natural Gas Policy of Tanzania -2013to be presented to MPs tomorrowKesho jumamosi wabunge tumealikwa kwenye semina kuhusu sera ya Gesi Asilia. Tumegawiwa tayari nakala zetu, tena zipo...
View ArticleKinywaji cha Chilly Willy yamwag vifaa kwa Taswa FC, Taswa queens
Meneja Masoko wa kinywaji cha Chilly Willy kinacho sambazwa na kampuni ya TSN Group, Yohana Manoli (Kushoto) akimkabidhi jezi mwenyekiti wa Taswa FC, Majuto Omary (wa kwanza kulia) katika hafla fupi...
View ArticleMAANDALIZI YA REDDS MISS MOSHI YASHIKA KASI.
MAANDALIZI ya Redds Miss Moshi 2013 yatakayofanyika Jumamosi, May 18 katika ukumbi wa Aventure, Mjini hapa yameanza kushika kasi.Akizungumza na Tanzania Daima, mratibu wa mashindano hayo, Mkurugenzi wa...
View ArticleYANGA ILIVYOTWAA UBINGWA WA SOKA TANZANIA BARA MBELE YA SIMBA
Nahodha wa Yanga, Nidir Haroub 'Canavaro' akiwa amenyanyua kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara pamoja na wachezaji wenzake. Raha ya ushindi. Kocha wa Yanga, Ernst Brandts akiwa amebebwa...
View ArticleWINLADY WHITE NDIYE REDD'S MISS MOSHI 2013
Mkurugenzi wa Executive Solution, Aggrey Mareale (wa kwanza kulia, alivaa mavasi meusi), Mshindi wa pili, Veronica Chami, mshindi wa Redds Miss Moshi, Winlady White (mwenye taji), mshindi wa tatu,...
View ArticleKAMPUNI YA MONTAGE YAIKABIDHI WAMA MILIONI 70 KUSAIDIA AFYA YA MAMA NA MTOTO...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Salma Kikwete akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni 70 kutoka kwa Mkurugenzi wa Montage Limited, Teddy Mapunda...
View ArticleMTWARA WAPOKEA TUZO ZA SAFARI LAGER
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba,Ponsiano Nyami (kushoto), Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (wapili kushoto),Meya wa Maspaa ya Mtwara Mikindani,...
View ArticleIRINGA KIMENUKA HII LEO KATI YA POLISI NA MACHINGA
Habari zilizotufikia ni kwamba vurugu zimezuka tena Iringa kati ya Polisi na Wamachinga na kwamba Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa (Chadema) anatafuta na polisi kwa kuhusishwa na uhamasishaji...
View ArticleMKUTANO WA MWENYEKITI WA CCM RAIS KIKWETE NA WABUNGE WA CCM
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akizungumza wakati wa kikao chake na wabunge wa CCM, leo Mei 19, 2013, katika ukumbi wa jengo la White House, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma. Wengine kutoka...
View ArticleREDDS MISS KIBAHA 2013 NI NZERA KITANO
ALIYEKUWA mshiriki namba 6 katika shindano la kumsaka Redds Miss Kibaha 2013 Nzera Kitano ameibuka kua Redds Miss Kibaha 2013 katika shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa Conteainer Kibaha Maili Moja...
View ArticleMZEE ALLY KLEIST SYKES AFARIKI DUNIA JIJINI NAIROBI LEO
FAMILIA YA SYKES INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MZEE WAO ALLY KLEIST SYKES (PICHANI) KILICHOTOKEA LEO MEI 19, 2013 KATIKA HOSPITALI YA AGA KHAN JIJINI NAIROBI, KENYA, ALIKOKUWA AMELAZWA.MSIBA UKO...
View ArticleMISS TABATA KUTEMBELEA MIKUMI MEI 26
Washiriki wa Miss Tabata 2013 (pichani) watatembelea mbuga ya wanyama ya Mikumi wikiendi ijayo. Mratibu wa shindano hilo Godfrey Kalinga anasema lengo la ziara hiyo ni kukuza utalii wa ndani, na...
View ArticleREDD'S MISS KIGAMBONI 2013 NI JUNI 7 MWAKA HUU
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Kigamboni wakiwa kwenye mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na kinyang'anyiro hicho kitakachofanyika Ijumaa Juni 7 mwaka huu kwenye ukumbi wa Navy Beach ulioko...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOTEMBELEA BANDA LA NSSF
Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifandji ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori wakati alipotembelea banda la NSSF katika maonesho ya Wiki...
View ArticleMAN U KUTETA NA AIRTEL JUU YA MRADI WA AIRTEL RISING STARS NCHINI
Viongozi wawili kutoka Manchester United -- Anthony Benerjee, Mkurugenzi wa Uhusiano na Michael Higham, Meneja Uhusiano wanatua jijini Dar es Salaam Jumatano hii kufanya manzungumzo na viongozi wa...
View ArticleHOTUBA YA 'SUGU' YAPIGWA 'STOP' BUNGENI NA KIKAO CHA BUNGE KUAHIRISHWA
Hotuba ya Kambi ya Upinzani Bungeni kwa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo iliyokuwa ikisomwa na Msemaji (Waziri Kivuli wa Wizara hiyo) ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) Joseph...
View Article