Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10590 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRISHO NGASSA ATAMBULISHWA RASMI KUREJEA YANGA HII LEO

Katibu Mkuu wa Mabingwa wa Soka  Tanzania Bara, Yanga ya jijini Dar es Salaam, Lawrence Mwalusako amemtambulisha rasmi Mshambuliaji Mrisho Khalfan Ngassa kuwa mchezaji mpya kujiunga na timu hiyo msimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI WAWILI MBARONI KWA KUSINDIKIZA MAGUNIA YA MIRUNGI HOLILI

Mahmoud Ahmad Arusha.Jeshi la polisi mkoani hapa limefanikiwa kukamata magunia 30 ya bangi huku askari wawili wa jeshi hilo mkoani hapa wakikamatwa wakati wakisindikiza magunia 18 ya madawa ya kulevya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

REDD'S MISS TANGA KUJULIKANA JUNI 22 MWAKA HUU

Na Mwandishi Wetu SHINDANO la mkutafuta malkia wa Mkoa wa Tanga mwaka huu "Redd's Miss Tanga 2013" litafanyika Juni 22 kwenye Uwanja wa Mkwakwani,Mkoani humo. Akizungumza na gazeti hili jana Mkurugezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA ALLY SYKES JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mjane wa marehemu Ally Sykes, Zainab Ally, wakati alipofika kuhani msiba huo wa mwasisi wa TANU, aliyefariki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FLAVIANA MATATA KUSHIRIKI KATIKA MISA YA KUMBUKUMBU YA MV BUKOBA

Mwanamitindo, Flaviana Matata (wa pili kulia) akiomba dua katika kaburi la mama yake Mzazi maeneo ya Igoma mkoani Mwanza katika siku ya kukumbuka ajali ya MV Bukoba iliyoua watu takribani 1000  Mei 21,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI MHESHIMIWA JOSEPH O. MBILINYI...

MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI MHESHIMIWA JOSEPH O. MBILINYI (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO KWA MWAKA WA FEDHA 2013/2014(Inatolewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA NUSU FAINALI WIKI HII TAYARI KUWANIA UBIGWA WA PAN-AFRICAN...

Mei 15, 2013 Dar es Salaam, Jumatano iliyopita kupitia televisheni za ITV na Clouds TV timu ya Ghana iliyoshinda katika kipindi cha Tisa cha GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE walifurahia kupata nafasi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA AKUTANA NA DR JEROME PAULSON KUTOKA MAREKANI NA VIONGOZI WA CHAMA...

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimkaribisha kwa mazungumzo Daktari bingwa wa watoto Jerome Paulson, Mkurugenzi wa Afya ya watoto na Mazingira...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MNAOTAKA UONGOZI MARUFUKU KUJIPITISHA PITISHA KWA WAPIGA KURA: CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaonya na kuwapiga marufuku, makada na wanachama wake wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao, kutothubutu kuanza kujipitipitisha kwa wapiga kura...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHAMIM ALIVYOTWAA TAJI LA REDD'S MISS MZIZIMA 2013

 Redd's Miss Mzizima 2013,Shamim Mohamed (kati) akipunga mkono muda mfupi baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa taji hilo katika shindano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Lamada jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA BARAZA LA USIMAMIZI WA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa baraza la usimamizi wa Mawasiliano Afrika, uliofunguliwa leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Raia waachwa nje ya mchakato wa mtangamano wa EAC-utafiti

 By Mtuwa Salira,EANA Matokeo ya kwanza ya utafiti juu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeonyesha kwamba jumuiya hiyo iliundwa kama chombo kilichoandaliwa kuwepo kwa maslahi ya serikali na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REDD'S MISS MARA 2013 KUFANYIKA JUNI 7 MWAKA HUU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MKUU WA HELVETIC SOLAR ENG. PATRICK NGOWI ATEMBELEA IPP MEDIA

Mkurugenzi Mkuu wa Helvetic Solar Contractors Eng. Patrick Ngowi akiwa na mwenyeji wake Mkurugenzi Mkuu wa ITV na Radio One Bi. Joyce Mhavile alipofika katika ofisi hizo mapema leo kwa ajili ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FANI YA UANDISHI WA HABARI IMEVAMIWA, TUSIPOZIBA UFA TUTAJENGA UKUTA.

Pichani ni waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika maandamano ya amani (Picha na Maktaba). ---Watu wengi kwa sasa wameibuka na kutokea kuipenda fani ya uandishi wa habari bila kujua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA JAY ALIPOKABIDHIWA KADI YA CHADEMA NA SUGU

Msanii nguli wa hip hop Prefesa Jay akikabidhiwa kadi ya CHADEMA na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama sugu jana DodomaMSANII wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule (Profesa Jay),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAZINDUA OFA KABAMBE KUPIGA SIMU KWENDA NJE YA TANZANIA

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Airtel Tanzania, Beatrice Singano (kushoto) na Meneja Biashara za Kimataifa wa Kampuni hiyo, Prisca Tembo (wa pili kutoka kulia) wakizindua huduma mpya ya kupiga...

View Article


TANGAZO KWA WADAU WOTE WA FATHER KIDEVU BLOG

NDUGU WASOMAJI WA BLOGU HII MTANIWIA RADHI KWA KUTORIPOTI TUKIO LA VURUGU NA UHALIFU UNAOENDELEA MKOANI MTWARA . BLOGU HII KUONESHA KULAANI VITENDIO HIVYO VYA KINYAMA  KWA WANANCHI  WASIO NA HATIA,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REDDS MISS KURASINI 2013 YAIVA

Baadhi ya washiriki wa shindano la Redd's Miss Kurasini 2013 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa Equator Grill. Warembo 11 wa kitongoji hicho watapanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

13 WAJISHINDIA ZAWADI KATIKA DROO YA MAISHA BOMBA NA BARCLAYS BANK

Mmoja wa wateja wa benki ya Blarclays ambaye pia ni Mwandishi wa Habari wa Magazeti ya Serikali, Regina Kumba akichagua moja ya majina katika droo ya bahati nasibu ya Beki hiyo ijulikanayo kama ‘Maisha...

View Article
Browsing all 10590 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>